Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Imeandikwa tarehe 30 Novemba 2012 na Christopher Maregesi, Bunda | HabariLeo SAKATA la posho kwa watendaji wanaolipwa mshahara baada ya kupoa kwa wabunge, limehamia katika halmashauri nchini...
2 Reactions
31 Replies
4K Views
Nimesoma Gzt la Raia Mwema la Tarehe 28Nov 2o12 na kushangazwa sana na Kauli ya Mangula kuwa Waziri Gerdon Lwenge ni Mwaadilifu Wakati Taarifa ya Tathimini ya Uchaguzi wa NJOMBE imemtaja kuwa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Anaitwa Mansoor Yusuf Himidi alikuwa Waziri asiyekuwa na Wizara maalum na mweka hazina wa CCM kabla ya kufukuzwa kazi na Rais wa Zanzibar Dr. Ally Mohammed Shein. Na wadhifa huo kupewa bi Shawana...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Mngeiita ni ya wagogo eti ni kwa kuwa tu kiliasisiwa na kaskazini mwakiita chama cha kikabila toka kaskazini. Kwa mara nyingine watanzania wamepata pa kuanzia kuitoa ccm na genge lao madarakani...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Kiongozi mashuhuri wa upinzani nchini ambaye pia ni Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Wilbrod Slaa amesema Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Nape Nauye ni mtu anayepiga mayowe na asiyejua ni nini watanzania...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Wakuu, inatakiwa niseme ukweli maana nikiwa mzaliwa wa kijiji hiki nimefurahishwa sana na ushindi wa CDM kwa sababu kuu zifuatazo: 1. Kata ya Ipole ikuwa ngome kuu ya CCM katika jimbo la Sikonge...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Ukiandika tamko la polisi likawa la kipuuzi, unadhalilisha jeshi. Tunafikiri na wengine hawana akili, lakini kumbe pengine sio. Sasa kwanini wewe uliyepewa jukumu la kukaa mezani kuandika kwa...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Labda kabla ya kupata majibu ningependa kuonyesha namna mie ninavyoelewa kuhusu chama kuunda serikali, mie nina elewa kama ifuatavyo; Chama cha siasa kinaposhinda uchaguzi mkuu (Raisi na viti...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ijumaa, Novemba 30, 2012 05:20 Na Audax Mutiganzi, Bukoba CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Kagera, kimeiagiza Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba, kutoa taarifa...
1 Reactions
0 Replies
949 Views
Wadau wenzangu naamini kabisa umasikini wetu woote huu ni kwa sababu ya democracy, tangu tukubali na kuanza kuiiishi democracy ndivyo umasikini unavyotuumiza aliye nacho atabaki kuwa nacho na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Salaam wanabodi! Umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi kata ya Ruanda mkoa wa mbeya jijini mbeya unaendelea ingawa nimeingia kwa kuchelewa nitajaribu kuleta kile nitakachopata hapa updates...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mbunge wa CHADEMA John Mnyika amemuunga mkono Waziri wa CCM Dr Harrisson Mwakyembe katika kazi za Serikali ya Rais Kikwete ya kuondoa foleni Dar es salaam kwa ubunifu wa usafiri wa treni yenye...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Mjumbe wa kamati kuu ya CDM amewavutia maelfu ya watu katika mji wa Geita kwa hotuba yake hadi kupelekea watu wengi kumkabidhi kadi za CCM akiwemo kada maarufu na aliyekuwa mwenyekiti wa CCM...
3 Reactions
57 Replies
7K Views
Nape acha Propaganda; Zungumzia hoja za msingi. http://youtu.be/r22-nn7wxdo
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari zenu wanaJf.nimetafakari kwa kina nikaona bora nilete uzi/mada hii ili tuweze kutafakari kwa pamoja na kuweka kumbukumbu sawa na zilizosahi zaidi kuhusiana viongozi wa kiserikali hasa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau nimetuma maoni haya ktk tume ya katiba,nanyi ni ruksa kutuma yenu usikopi yangu,nimeweka hapa kuwapa hamasa tu kuwa kumbe inawezekana. 1.KUSIWE NA VYEO VYA WAKUU WA WILAYA 2.MAWAZIRI...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Send to a friend Monday, 03 December 2012 22:30 By Lucas Liganga,The Citizen Chief Reporter Dar es Salaam. Wrangles within Chama Cha Mapinduzi have been cited by an international...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
For the record kwa jina naitwa fred kavishe wengi mnaweza msinijue.miaka 22.elimu bado nasoma.twende kwenye hoja moja kwa moja. Jana nilitoa hoja wakati nachangia topic ya mzee mwanakijiji...
8 Reactions
89 Replies
6K Views
If the acquisition succeeds, there is a higher probability of an emerging trend of mergers and acquisitions in the gold industry. Photos/FILE Nation Media GroupBy ERICK KABENDERA Special...
0 Reactions
1 Replies
972 Views
51 years after independence, 50 libraries, adult illiteracy 27.5 % By Waryoba Yankami 4th December 2012 Email Print Prof...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom