Army ready to defend Malawi says MDF Commander Odillo

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,573
The Malawi Defence Force (MDF) "is ready to protect citizens and the interests of the country," the Army Commander General Henry Odillo told The Sunday Times in an exclusive interview.

Odillo, recently inducted into the Hall of Fame by the United States military college, guaranteed that with the MDF, "peace in Malawi will be there and we can assure Malawians that they are safe."

He said it was "critical that the country should remain peaceful and stable to move forward...the society and individuals should use combined effort to ensure that this is sustained".

The Commander urged Malawians not to leave the sustenance of peace to the military alone, but ensure that there is stability in the areas that they are living in by relaying information to Police and the Army when "unusual things happen around them."

"This is why we have our police presence in all regions of the country; so, if people in that locality have noticed unusual issues happening around them, I think they should not sit down and pretend that there is nothing happening, they should be reporting these things to the Police.

"That is where issues start being exposed; you start understanding the picture of what is developing around you," he said.

HUGE RESPONSIBILITY
He said the MDF had a " huge responsibility ... whereby we should now start realizing our position in terms of what sort of contribution can we make to support our democracy in this country? It is not an easy task."

He said he was convinced that despite the challenges the Army encounters, officers, soldiers and members of the Malawi Defense Force should have a clear focus in their role in the Malawi society.

Odillo did not mention the Lake Malawi dispute that has seen Tanzania putting a marine boat in the disputed area.
 

Attachments

  • Screenshot.png
    Screenshot.png
    138 KB · Views: 200
  • 2.png
    2.png
    50.9 KB · Views: 266
  • 1.png
    1.png
    47.8 KB · Views: 1,973
  • Screenshot-No Fear:Malawi Army Ready To Defend Their Lake, Citizens-Commander General Henry Odil.png
    Screenshot-No Fear:Malawi Army Ready To Defend Their Lake, Citizens-Commander General Henry Odil.png
    130.8 KB · Views: 167
We tanzanians we a tird of ths let them invade us then they a going to see that we ain't such humble n i thnk there's someone behind ths no longer diplomarcy here uh!!!??!!
 
I've confidence in the TPDF. And recently I was telling these Malawians on facebook that we have one of the best armies in Africa. We're like a soccer team, our soldiers are involved in professional work all over Africa either as military advisers or in peacekeeping missions

We'll call up our soldiers, definitely their exposure is enormous having been working with soldiers from all over the world
 
Malawi embu jaribu kuingia vitani bila kupata msaada wowote kutoka kwa UK, muone kama mtachukua Wiki moja.
 
Lets give diplomacy a chance, afterall he did not mention Tanzania in his talk.
 
hahahaha let the malawians invade our great nation and we gonna show them that our army is one of the best in the whole africa and actually the best in east and central africa.... we gonna call upon all our soldiers all over afrca and the world to fight malawi in a week.. so longer as they dont get help from UK, we gonna smash urass
 
How long is the capital of Malawi from the centre of lake Nyasa? I just want to estimate number of hours that TPDF could spend to capture their capital, 'coz TPDF soldiers are already sailing at the centre of the lake.
 
Mzee Mwanakijiji alishauri kuwa nasi tuingie mkataba wa utafiti wa mafuta kwenye ziwa sehemu yetu, nami naongezea tuwape wajomba zetu kina boro yang, kama kikitaka kunuka wamalawi wakiwajumuisha akina donald ramsfield wajikute wanavaana na kina yao mi, tong fei na bruce lee!!!

Mwasemaje.
 
Last edited by a moderator:
Mzee Mwanakijiji alishauri kuwa nasi tuingie mkataba wa utafiti wa mafuta kwenye ziwa sehemu yetu, nami naongezea tuwape wajomba zetu kina boro yang, kama kikitaka kunuka wamalawi wakiwajumuisha akina donald ramsfield wajikute wanavaana na kina yao mi, tong fei na bruce lee!!!

Mwasemaje.
Hahahahahaahahaa, JK alishaenda canada kusign dili la utafuti nafikiri wanasubiri tu wakishakinukisha basi wamalawi watakosa hata hicho kidogo!! chezea mali wewe banda!!!
 
did you expect him to say something different from what he said? That is the "standard" statement which even the most coward army commander would provide. Ha ha ha ha ha!

that is exactly the army slagon all over the world, and this builds your soldier`s molale and threatens your enermy.
 
We tanzanians we a tird of ths let them invade us then they a going to see that we ain't such humble n i thnk there's someone behind ths no longer diplomarcy here uh!!!??!!

Sema lugha unayoiweza ili ueleweke! Usidhani Chancellor wa Ujerumani hajui lugha nyingine zaidi ya kijerumani anachoongea kila mahali anaposimama na kuongea jambo!
 
Mzee Mwanakijiji alishauri kuwa nasi tuingie mkataba wa utafiti wa mafuta kwenye ziwa sehemu yetu, nami naongezea tuwape wajomba zetu kina boro yang, kama kikitaka kunuka wamalawi wakiwajumuisha akina donald ramsfield wajikute wanavaana na kina yao mi, tong fei na bruce lee!!!

Mwasemaje.

Hapo umelonga ndugu yangu,kama huyu mkuu wao wa majeshi kasomeshwa na wamarekani ina maana kwamba pia marekani wapo nyuma yao na waingereza,mimi nasema hivi ndugu zetu sisi ni wachina na jirani zetu ni wajapan hawa wazungu sio binadamu haatufai watatunyonya tu halafu watatuacha hawawezi kutupa maendeleo ya viwanda kwa sababu bidhaa zao watamwuzia nani?sisi tumewasaliti sana wachina walikuwa tayari kuweka undugu na sisi Nyerere akakataa kisa anaogopa waingereza na wamarekani wakisikia watasemaje?,tungekuwa mbali sisi kitechnolojia.
Kuhusu Malawi huyu mama ni kibaraka tu kwanza kapewa uraisi kwa uchawi wa T.B. JOSHUA bila shaka ataenda kutusemea kwake ili atuloge vizuri kama alivyomloga BINGU WA MUTHARIKA akafa viongozi kuweni makini,na ndio maana tuombe mungu hata sisi wabongo tusije tawaliwa na mwanamke mana mwanamke ni dhaifu tu mzungu akimkonyeza anampa mgodi uwe wake,huoni wakati wa bakili muluzi na bingu sisi na malawi tulielewana lakini alipoingia malaya tu mambo yanaanza kuharibika,siwasemi vibaya wanawake ila mimi ni mfanyabiashara na ninajua tofauti ya biashara ikiongozwa na mwanamke na mwanaume wanawake si wabunifu bila kusimamiwa na mwanaume juu yake,hata huyu mama Banda ni nyege zitakuwa zinamsumbua tu,hana fuono wowote wa foreign policy ni kuiga tu.kama vita inabidi tujiandae kabisa tuweke meli zetu za jeshi kule tusijetuka vamiwa bila kujijua tukakuta tayari washaingia mbeya na ruvuma na kuharibu miund mbinu kama Amini alivyofanya.
 
attachment.php


Malawi imetangaza rasmi vita dhidi ya Tanzania. Nchi nyingine mkuu wa nchi ndiye mwanye dhamana ya kutoa matamshi hayo lakini tunaona Malawi nao wamekuwa na Rais dhaifu ambaye hajiamini na kuomba tamko litolewe na Mkuu wa majeshi nchini mwake.

Kikwete alizidi kuonyesha udhaifu wake alipokutana na Banda kwamba huyu ni dada yangu. Katika masuala mazito yenye kubeba dhamani nzito katika nchi na kimataifa anayachukulia kiulanini na kirafiki ati dadangu, alifikiri atamlainisha Joyce Banda kwa udhaifu wa kauli yake.

Joyce Banda naye anaonyesha dalili za udhaifu mkubwa ambao wenzake walimtangulia wamejitahidi kujiingiza kwenye mgogoro huo isipokuwa Kamuhuzu Banda pekee na yeye Joyce. Anachopigania atakuja kushtukia sheria za kimataifa zinamwacha na aibu kwa kupigania umbumbumbu wa kutojua nini ulimwengu wa leo sheria zinavyofuatwa.
 
Hahaha we mkali Mkuu it was soo close to wet Mt pants hahahahahaha Bruce lee, ping Kwan, choo chang and peter fang Dah umeua mkuu


Mzee Mwanakijiji alishauri kuwa nasi tuingie mkataba wa utafiti wa mafuta kwenye ziwa sehemu yetu, nami naongezea tuwape wajomba zetu kina boro yang, kama kikitaka kunuka wamalawi wakiwajumuisha akina donald ramsfield wajikute wanavaana na kina yao mi, tong fei na bruce lee!!!

Mwasemaje.
 
Last edited by a moderator:
unajua kuna mijitu ipo mipakani, haijui hata manzese ipoje, yan inawaza milio ya AK47, yan hao viumbe hata kesho wanataka kinuke! lawama hizi we mama.
 
Kwa matamshi ya mkuu wa majeshi wa Malawi. Jeshi letu lisogee mpakani bila kusahau kulinda mipaka yote pamoja na Dar. Angalau Dodoma, Singida na Tabora wana nafuu likitokea la kutokea.
 
Sema lugha unayoiweza ili ueleweke! Usidhani Chancellor wa Ujerumani hajui lugha nyingine zaidi ya kijerumani anachoongea kila mahali anaposimama na kuongea jambo!

Kaona uzi uko kizungu analazimisha mwisho haeleweki!
 
Mnapanua panua tu midomo hamjua hata mnachoongea.jeshi lipi mnalojidai nalo hili ambalo askari wanakufa kwa kuzama mtoni na kushindwa kuogelea..ptuuuh
 
Back
Top Bottom