Serikali inatumia kigezo gani kuwalipa wabunge milioni 11 kwa mwezi?

M

Mpwechekule

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2012
Messages
221
Likes
0
Points
0
Age
46
M

Mpwechekule

JF-Expert Member
Joined Jul 8, 2012
221 0 0
Ni kigezo gani kinatumika kumlipa mbunge ambae kimsingi sifa yake ya kwanza ni kujua kusoma na kuandika, lakini mshahara na stahiki nyingine ni m 11 kwa mwezi, na wakati huo huo wanalipa mishahara ya waalimu madakitari na wataalam wengine mshahara wa laki 2 hadi m 2 au 3 kwa mwezi, ukizingatia kuwa hakuna mwalimu dakitari mwandisi ambae anaitwa hivyo bila kuwa na taaluma, je? hii nchi ni ya wanainchi au ya kundi dogo la wahuni wanaojiita wanasiasa? Ni kwali serikali inawajali wanainchi au wapo kwa ajili ya wanainchi? Ukizingatia kuwa mshahara kima cha chini ni 170000 wanajamvi nchi yetu hii tushikamane
 
Mkereketwa_Huyu

Mkereketwa_Huyu

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2011
Messages
6,339
Likes
2,029
Points
280
Mkereketwa_Huyu

Mkereketwa_Huyu

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2011
6,339 2,029 280
Wanalipwa hizo milioni 11 ili waweze kuhonga machangu dau kubwa pamoja na kufanya ufuska.
 
M

Mjenda Chilo

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2011
Messages
1,425
Likes
65
Points
145
M

Mjenda Chilo

JF-Expert Member
Joined Jul 20, 2011
1,425 65 145
Na ndo maana wanauwana kugombea hizo safari. na hiyo mil 11 bado hujaongeza posho za safari, hawa jamaa wakitoka bungeni wanageuka popo kwenye zile kamati zao ndani na nje ya nchi. Mbunge anakuwa na safari za mafunzo kuliko mtaalam aliyeajiriwa kwa kazi hiyo, huu si usengeNYAJI mtupu.
 
Inno laka

Inno laka

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2012
Messages
1,592
Likes
451
Points
180
Age
27
Inno laka

Inno laka

JF-Expert Member
Joined Mar 24, 2012
1,592 451 180
Hapo tunanyonyana majitu menyewe yanasinzia tu bungen watu tunafanya kaz masaa ishirin na nne m2 unamlipa 170000/= sasa ifike sehem tushikamane
 
B

blueray

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Messages
2,219
Likes
6
Points
0
B

blueray

JF-Expert Member
Joined Sep 15, 2012
2,219 6 0
Wafanyakazi na wakulima wataendelea kupunjwa mpaka watakapoamka kutoka usingizini Na kumuondoa madarakani mkoloni mweusi anayetuibia kila kitu na kutufanya tuwe hoi.

Hata ukilalamika kwa kutoa machozi ya Damu ni kazi bure. Matumaini yaliyopo sasa hivi ni wananchi wote kujiunga na M4C
 
Nsiande

Nsiande

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2009
Messages
1,649
Likes
19
Points
135
Nsiande

Nsiande

JF-Expert Member
Joined Jul 27, 2009
1,649 19 135
I don't see anything wrong with that salary,

We should let these people who speak on our behalf earn comfortably so they can execute their duties, we should measure them by their perfomance , that is what we should question and not how much they are paid if parliament compensation committee has endorsed it considering other factors
 
dudus

dudus

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2011
Messages
9,183
Likes
8,945
Points
280
dudus

dudus

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2011
9,183 8,945 280
Inatumia kigezo cha UPOLE wa watanzania.
 
M

Mpwechekule

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2012
Messages
221
Likes
0
Points
0
Age
46
M

Mpwechekule

JF-Expert Member
Joined Jul 8, 2012
221 0 0
Nashukuru kwa michango yenu crashwise, mkereketwa, mjenda chilo, inno laka na blueray na kwa kuujua ukweli huu, tufanye nini sasa wakuu kukomesha ukandamizaji huu, najua watu kama ritz hawawezi changia hii kwa kuwa ni makada lakini wakumbuke kuwa wao pia ni watanzania, na nchi ni yetu na si ya viongozi
 
A

adolay

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2011
Messages
8,120
Likes
4,274
Points
280
A

adolay

JF-Expert Member
Joined Dec 8, 2011
8,120 4,274 280
I don't see anything wrong with that salary,

We should let these people who speak on our behalf earn comfortably so they can execute their duties, we should measure them by their perfomance , that is what we should question and not how much they are paid if parliament compensation committee has endorsed it considering other factors

Good

If they speak on our behalf does their decision influence positively the status of our daily life? one should earn more for good performances and not for poor performances.

And if speaking on our behalf is a factor for their better earnings what consideration do you take for those who care about our health? I mean Doctors and nurses ?

All in all these people does not understand their responsibilities and accountability over the government, why should they be paid highly while in the same house of assembly big thieves stay in peace and poor Tanzanians suffers much as the outcome of fake and inhuman contracts being undertaken by ministers who are as well members of Parliament?
 
Ciril

Ciril

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2011
Messages
6,497
Likes
2,687
Points
280
Ciril

Ciril

JF-Expert Member
Joined Jan 10, 2011
6,497 2,687 280
Ni kigezo gani kinatumika kumlipa mbunge ambae kimsingi sifa yake ya kwanza ni kujua kusoma na kuandika, lakini mshahara na stahiki nyingine ni m 11 kwa mwezi, na wakati huo huo wanalipa mishahara ya waalimu madakitari na wataalam wengine mshahara wa laki 2 hadi m 2 au 3 kwa mwezi, ukizingatia kuwa hakuna mwalimu dakitari mwandisi ambae anaitwa hivyo bila kuwa na taaluma, je? hii nchi ni ya wanainchi au ya kundi dogo la wahuni wanaojiita wanasiasa? Ni kwali serikali inawajali wanainchi au wapo kwa ajili ya wanainchi? Ukizingatia kuwa mshahara kima cha chini ni 170000 wanajamvi nchi yetu hii tushikamane
Wananchi tuache kulalamika tuchukue hatua 2015 tupa ccm kule,sio vibaya tukianza mwanzo.Mifumo mingi ya Serikali hii ya ccm imekaa kiwizi wizi tu hakuna usawa wala nini.
 
M

Mpwechekule

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2012
Messages
221
Likes
0
Points
0
Age
46
M

Mpwechekule

JF-Expert Member
Joined Jul 8, 2012
221 0 0
inatumia kigezo cha upole wa watanzania.
siamini kuwa watanzania ni wapole ninachoamini bado watanzania wengi hatujui haki zetu, na mafisadi wa mali za uma na siasa wanatumia huu mwanya, siku wakijua haki zao hakika hutaamini na uongozi wa kifalme utakwisha
 
msnajo

msnajo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Messages
2,897
Likes
663
Points
280
msnajo

msnajo

JF-Expert Member
Joined Jan 20, 2011
2,897 663 280
I don't see anything wrong with that salary,

We should let these people who speak on our behalf earn comfortably so they can execute their duties, we should measure them by their perfomance , that is what we should question and not how much they are paid if parliament compensation committee has endorsed it considering other factors
Your answer is too weak brother/sister! You are talking of performance, which one exactly? The performance of our MPs is directly linked to the voter's problems! Now if the voter's social life is exacerbated by having poor MPs, what impresses you with that huge salary? Are you enjoying having poor education in our school? What about the rotten hospitals we have?? Think more wise!!
 
M

Mutakyamirwa

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2011
Messages
4,913
Likes
372
Points
180
M

Mutakyamirwa

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2011
4,913 372 180
I don't see anything wrong with that salary,

We should let these people who speak on our behalf earn comfortably so they can execute their duties, we should measure them by their perfomance , that is what we should question and not how much they are paid if parliament compensation committee has endorsed it considering other factors
To be paid in such amount of money simply because they represent us! You are joking! In fact the accumulated worth maintains their status quo and strategically used by the political party on power to pass illogical bills. Bills-laws that defend interest of few in the gvt. I would not bother if they work hard and proactively defend majority'interest. But it'snot the case.
 
OSOKONI

OSOKONI

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2011
Messages
10,986
Likes
4,041
Points
280
OSOKONI

OSOKONI

JF-Expert Member
Joined Oct 20, 2011
10,986 4,041 280
I don't see anything wrong with that salary,

We should let these people who speak on our behalf earn comfortably so they can execute their duties, we should measure them by their perfomance , that is what we should question and not how much they are paid if parliament compensation committee has endorsed it considering other factors
Are you sure they are speaking on our behalf?are you sure they are adressing our interests? and are pretty sure that they execute their duties?Most of them are sleeping during parliament sessions and they are defending their own interests and the interests of this corrupt government!Do you want to tell us that only MPs need better salary and not teachers, doctors, engineers etc who are durectly touching our daily life! I dont want to believe you are among them!
 
dudus

dudus

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2011
Messages
9,183
Likes
8,945
Points
280
dudus

dudus

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2011
9,183 8,945 280
siamini kuwa watanzania ni wapole ninachoamini bado watanzania wengi hatujui haki zetu, na mafisadi wa mali za uma na siasa wanatumia huu mwanya, siku wakijua haki zao hakika hutaamini na uongozi wa kifalme utakwisha
Sasa kwanini umeuliza swali ambalo jibu sahihi ulikuwa nalo? Au sio wewe uliyeanzisha huu uzi? Unge-twist hoja yako ikae kivingine kuliko jinsi ilivyokaa wakati tayari jibu ulikuwa nalo.
 
M

Mpwechekule

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2012
Messages
221
Likes
0
Points
0
Age
46
M

Mpwechekule

JF-Expert Member
Joined Jul 8, 2012
221 0 0
Sasa kwanini umeuliza swali ambalo jibu sahihi ulikuwa nalo? Au sio wewe uliyeanzisha huu uzi? Unge-twist hoja yako ikae kivingine kuliko jinsi ilivyokaa wakati tayari jibu ulikuwa nalo.
ndugu hoja iliyopo ndio msingi unaweza kuona sijakupinga ila kuna kitu ulichokiita upole mimi nimeona si upole labda ni kutojua haki zetu, bado naitaji mchango wako na wa mwingine kwa faida ya wote
 
M

Mazindu Msambule

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Messages
5,208
Likes
2,459
Points
280
M

Mazindu Msambule

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2012
5,208 2,459 280
I don't see anything wrong with that salary,

We should let these people who speak on our behalf earn comfortably so they can execute their duties, we should measure them by their perfomance , that is what we should question and not how much they are paid if parliament compensation committee has endorsed it considering other factors
Nimkupenda tu kwasababu unajua kingereza lakini uwezo wa kufikiri nakupa 10% ya maksi zote, kama kweli wewe huna conflict of interest na hili jambo halafu ukawa ni msomi mwenye fikra hizi basi nchi hii inasafari ndefu sana ya ukombozi lakini kama wewe sio msomi ila kingereza hiki aidha umejifunzia English course (though sishawishiki kuamini hivyo, cha english course hua kinajulikana) au umeishi nje ya nchi hasa zile zinazoongea Kingereza na huna conflict of interest then nakusamehe kwa vile hujui utendalo, cause fani zote zinafanywa on behalf of Tanzanians, Hivi jukumu la kumfanya mwanao ajue kusoma na kuandika ni nani? si ni lako kama mzazi? sasa kwavile eidha huna muda wa kutosha au huna ujuzi then inabidi kuwakabidhi walimu wafanye on my behalf!
 
Kurunzi

Kurunzi

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2009
Messages
4,237
Likes
597
Points
280
Age
39
Kurunzi

Kurunzi

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2009
4,237 597 280
Binafsi sihitaji mwakilishi naweza kujiwakilisha mwenyewe wanipe hiyo hela.
 
Forum statistics

Threads 1,238,695
Members 476,123
Posts 29,326,700