wagombea wakati wa uchaguzi wapimwe uwezo wao

mnyalutanana

Member
Nov 3, 2012
55
18
wakati wa uchaguzi, ni vema wagombea tukawapima uwezo wao wa kutatua matatizo kama vile ukosefu wa ajira,mfumuko wa bei, ufisadi n.k. Iwe inaandaliwa midaharo na wawe wanapambanishwa kwenye media ili sisi wananchi tupate nafasi ya kuchekecha sera zao. Naomba kuwasilisha
 
Back
Top Bottom