Sina imani tena na Chadema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sina imani tena na Chadema

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by William Mshumbusi, Jul 8, 2012.

 1. William Mshumbusi

  William Mshumbusi JF-Expert Member

  #1
  Jul 8, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 874
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Naona wazi sasa sinema la siasa la siasa linavyovutia watu na kuacha watu na matumaini na shida zisizotatulika.

  CHADEMA WANASHINDWA KUPIGANIA MAMBO MUHIMU SASA KAMA bei duni za Pamba, na minofu ya samaki Mgomo wa madaktari, Mgogoro wa walimu na selikali au Uporwaji wa madini wanatuletea tena move ya maigizo ya dr Slaa, Myika na Lema eti wanataka kuuawa!!

  Lengo la muvu hii watu waache kujadili mambo nyeti wajadili utumbo huo. Mi sasa sioni harakati za chadema bali siasa uchwala. Sioni umoja tena wa chadema bungeni.

  Wanasiasa Mnakera, mnakera kweli. Wawaache wanaharakati wadili na Mnyika kwa lipi.

  Washabiki wa vyama fumbua macho Chadema washakula chunguza uone.

  Siamini kwenye miujiza au habari za kuhusu freemason na mikanda yao ya habari za "microchip".
  Ila chadema inavyoenda nahisi sasa Mbowe kawekewa Microchip na sasa anaendeshwa na mtambo uliopo ikulu. Hakuna kitu sasa. Wakulima jipiganieni. Wavuvi jipiganieni, walimu jipiganiene. CHADEMA HAKUNA UMOJA TENA WANAONGEA WANAPATA POSHO wanarara.

  siasa siasa siasa zinakera. A
   
 2. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #2
  Jul 8, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,249
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  kama huna imani na chadema, nakushauri uwe na imani na tlp, then kafie mbele
   
 3. n

  ndomyana JF-Expert Member

  #3
  Jul 8, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4,732
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Nasisis hatuna iman tena na wewe
   
 4. Kibwebwe

  Kibwebwe JF-Expert Member

  #4
  Jul 8, 2012
  Joined: Jun 26, 2012
  Messages: 797
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  mkuu kwani lazima quote post yote unatuchosha bwana c uchangie tu
   
 5. F

  FJM JF-Expert Member

  #5
  Jul 8, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Wapiganie bei ya pamba toka kaburini? Mbona unakuwa mlafi wa mali kabla ya uhai? Na umeshindwa nini wewe binafsi kupagania bei ya pamba badala ya kutegemea wanaume wengine wakufanyie hiyo kazi?

  Watu wanahofia maisha yao wewe unaongea bei za pamba?
   
 6. B

  Babuu Rogger JF-Expert Member

  #6
  Jul 8, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 80
  Kama kupigania wameshapigania, si li chama lenu la magamba ndio mnawanyonya watanzania, SHAME ON YOU GAMBA.
   
 7. m

  majebere JF-Expert Member

  #7
  Jul 8, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 4,522
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Chadema kwisha kazi yake. Hawamalizi huu mwaka.
   
 8. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #8
  Jul 8, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Lini ulikuwa na imani na chadema wewe?
  Pumba zako tunazikumbuka.
  Mbona unakuwa na mawazo kama ya kuku wewe? Eti wapigani bei ya pamba sijui nini! Kwani chadema ndiyo wanaongoza serikali?
   
 9. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #9
  Jul 8, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Wenzako kuwa hatarini kutokana na kupigania haki yako wewe ndiyo unawakana na kusema huna imani nao, wao watajitahidi vipi kukusimamia wewe unayelalamika wakati wao kwasasa nguvu yao ni umma (ukiwemo wewe). Inasikitisha sana pale mtu anayepiganiwa haki hajitambui na kuwa ndiye anakatisha tamaa wale wanaompigania.
   
 10. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #10
  Jul 8, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,249
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  aksante umesomeka, lakini natumai wewe si one of magamba's activist at work
   
 11. F

  FJM JF-Expert Member

  #11
  Jul 8, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Kwenye red: Wote? Msitu utatosha kweli?
   
 12. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #12
  Jul 8, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  sasa imani yako iko chama gani? Chausta?
   
 13. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #13
  Jul 8, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Kilaza wewe.....kwani lini ulikuwa na imani na chadema????...wewe mwenyewe umetumwa kubadilisha upepo.....sasa waambie waliokutuma kuwa ole wao hao waliotishiwa maisha wapatwe na lolote baya!.....mshaifanya tanzania nchi yenu peke enu eeh?
   
 14. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #14
  Jul 8, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Ningeshangaa ukosekane?
   
 15. TOWNSEND

  TOWNSEND JF-Expert Member

  #15
  Jul 8, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,597
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Na nukuu maneno ya spika!!!!!!! waliokubali waseme ndio....ndiooooooooo wasiokubali waseme sio......sioooooooooooooooooo nafikiri waliokubali wameshinda.
  halafu linganisha na hoja yako.
  au wewe ni no buku no cotton ...mtakoma na body ya pamba ni cdm maanake wameshatangaza bei ya pamba ni sh 650/=
   
 16. bemg

  bemg JF-Expert Member

  #16
  Jul 8, 2012
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,706
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  chadema itetee bei a pamba kwani inaserikali.Kama huna imani nayo unaweza ukaweka imani yako kwa ccm au cuf au udp
   
 17. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #17
  Jul 8, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145

  Hahahahahahaha.....nimecheka kwa masikitiko vile kubwa zima unaota huku haujalala!
   
 18. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #18
  Jul 8, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Chadema wananchi wanaitaji kujua mtawafanyia nini sio siasa zenu za matukio.
   
 19. Gwalihenzi

  Gwalihenzi JF-Expert Member

  #19
  Jul 8, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 5,117
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  mnampango wa kuwauawa wote? lakini historia inaonesha kuwa hakuna mauaji ya kimbari yaliyowahi kufanikiwa!
   
 20. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #20
  Jul 8, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,748
  Likes Received: 12,842
  Trophy Points: 280
  Sina imani na mtoa mada ana nia ya kuwafanya watu waichukie chadema!
   
Loading...