Nassari aanika ufisadi wa madiwani wa CCM Arumeru

Nicole

Nicole

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2012
Messages
4,282
Likes
12
Points
0
Nicole

Nicole

JF-Expert Member
Joined Sep 7, 2012
4,282 12 0
Ameanika ufisadi huo katika mkutano wa hadhara aliofanya sokoni tengeru jijini arusha leo. Amesema madiwani hao wa CCM wamekataa mpango wake wa kujenga stendi ya kimataifa hapo tengeru badala yake wamegawa vibanda kwenye eneo la soko na kuwauzia matajiri wachache. Amesema mfano diwani wa viti maalum ccm frida kaaya ana vibanda 4 alivyowauzia matajiri hapo tengeru. Amesema tengeru ni eneo zuri la uwekezaji kwani kuna taasis mbalimbali kama chuo cha Nelson mandela alichozindua kikwete hivi karibuni, hoteli za kitalii, taasisi ya maendeleo ya mifugo, ziwa duluti n.k hivyo basi ni vyema wakasubiri mwekezaji atakayejenga soko la kisasa tengeru ili kila mtu anayeishi tengeru anufaike badala ya kugombea eneo la ekari 4 ambalo litanufaisha matajiri wachache. Katika kufanikisha hilo amesema amezungumza na wawekezaji mbalimbali akiwemo mkurugenzi wa mfuko wa hifadhi ya jamii(NSSF) Ramadhan Dau.Ambaye alimweleza wako tayari kufanya uwekezaji sokoni hapo na kukusanya ushuru kwa miaka 5-10 halafu baada ya hapo soko litakuwa mali ya wana arumeru. Amesema amefanya mengi kwa wana arumeru ambayo ccm walishindwa kufanya, ilhali yeye kwa muda wa miezi 6 ya ubunge wake ameweza kufufua zahanati na vituo vya afya vilivyokuwa havifanyi kazi ikiwemo majengo na ngarananyuki, amesambaza vitabu kwenye shule 12 za sekondari za kata, amefanikisha kupatikana ambulance mbili zilizokuwa hazifanyi kazi, amezindua shule ya kwanza ya mchepuo wa kiingereza(ya serikali) arumeru, amechimba visima vya maji mfano kata ya maroroni na kwingineko ingawa wenyeviti wa vitongoji na vijiji walikuwanakataa kuwapa wataalam ushirikiano.Amesema wana ccm wanapiga kelele yeye kununua kiwanja cha ujazo wa 900 meru mbona lowasa ana ekari 20 hawasemi.Hivyo alisusa kikao cha madiwani cha halmashauri ya meru na posho ya laki moja na sabini kwani hakutaka kushiriki kwenye mpango huo wa kifisadi unaolenga kuwakandamiza wananchi wa arumeru. kwahiyo amerudi kwa wananchi kuwaeleza yanayotendeka ili wananchi waamue.

Lema pia alikuwepo kumsapoti Nasari na akasema CCM imeamua kuwaajir Kinana na Mangula ili waendeleze uzoefu wao wa wizi katika chama cha mapinduzi.
attachment.php?attachmentid=73317&d=1354390142
attachment.php?attachmentid=73319&d=1354390142
attachment.php?attachmentid=73320&d=1354390142
 
Attachments:

P

politiki

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2010
Messages
2,373
Likes
187
Points
160
P

politiki

JF-Expert Member
Joined Sep 2, 2010
2,373 187 160
hasihishie hapo tuu, inabidi azunguke kata zote kuwaeleza wananchi waliowachagua hao madiwani jinsi ambavyo madiwani wao walivyowasaliti. wananchi ndio majaji wa kweli siku ya siku na siyo jk, mahakama wala mkurugenzi wa halmashauri. wananchi ndio waliowaajiri na ndio mwisho wa siku ndio watakaowatimua. nassari Good job for exposing bribery.
 
Daudi Mchambuzi

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Messages
36,682
Likes
47,359
Points
280
Daudi Mchambuzi

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2010
36,682 47,359 280
Nassary na Lema ni wakombozi wetu wa arusha na arumeru kwa ujumla.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Nicole

Nicole

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2012
Messages
4,282
Likes
12
Points
0
Nicole

Nicole

JF-Expert Member
Joined Sep 7, 2012
4,282 12 0
Ni kweli usemavyo mkuu,nimejaribu kuatach audio file la mkutano huo ila mchina wangu amegoma...
hasihishie hapo tuu, inabidi azunguke kata zote kuwaeleza wananchi waliowachagua hao madiwani jinsi ambavyo madiwani wao walivyowasaliti. wananchi ndio majaji wa kweli siku ya siku na siyo jk, mahakama wala mkurugenzi wa halmashauri. wananchi ndio waliowaajiri na ndio mwisho wa siku ndio watakaowatimua. nassari Good job for exposing bribery.
 
P

politiki

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2010
Messages
2,373
Likes
187
Points
160
P

politiki

JF-Expert Member
Joined Sep 2, 2010
2,373 187 160
Ni kweli usemavyo mkuu,nimejaribu kuatach audio file la mkutano huo ila mchina wangu amegoma...
endelea kujaribisha mkuu kwani tuna hamu sana ya kusikia maneno yenye busara muhimu sana mkuu
 
kbm

kbm

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Messages
5,103
Likes
231
Points
160
kbm

kbm

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2012
5,103 231 160
Tanzania mpya, inahitaji viongozi imara na mathubuti kama huyu kijana wa kusimamia na kutetea masirahi ya wananchi wa taifa hili. Kila la heri kijana wetu.
 
sixgates

sixgates

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2011
Messages
3,974
Likes
112
Points
145
sixgates

sixgates

JF-Expert Member
Joined Mar 19, 2011
3,974 112 145
Nassari sio mbunifu, mpenda sifa asifikiri kutaja watu na ku attack watu itammweka juu kisiasa..that kid is looking for public stunt.. Ajifunze kwa kaka zake mnyika, zitto, lissu.. Huyu kijana namshauri ajiwekee foundation nzuri kwa kuwa na wananchi wake,ajijenge ndani ya chama hizi tabia za kukurupuka na kubebesha watu allegation ambazo there is no evidence eti ujipatie umaarufu is a very bad behaviour. Ndio tupo kwenye movement za kupambana na ufisadi lakini hatuendi hivyo. Mimi nimempenda sana lissu amesema majudge wanateuliwa bila kumeet vigezo akiwa na evidence mkononi! Nassari wacha huo mchezo
 
unataka ushahidi gani wakati kila kitu wazi kwani viwanja vimeshagawiwa , unataka aweke foundation, foundation gani zaidi ya ku expose wezi. unampenda lissu kwa kuweka ushahidi. je umefanya nini kumueleza bosi wako jk kuwatimua kazi wahusika. wananchi anaowautubia wanayajua hayo na ndio maana wanamuunga mkono na siyo wewe unayehisi kuwa anatafuta umaarufu kama umaarufu anao tayari hana haja ya kutafuta kitu ambacho anacho.
 
Arushaone

Arushaone

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2012
Messages
14,637
Likes
1,115
Points
280
Arushaone

Arushaone

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2012
14,637 1,115 280
Ni kweli pale Tengeru naona kasi ya majengo mapya eneo lililotengwa kwa kina mama kwa kuwa soko la awali limekuwa dogo. Ahsante Ciello kwa taarifa.
 
Last edited by a moderator:
Medical Dictionary

Medical Dictionary

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2012
Messages
1,053
Likes
7
Points
135
Medical Dictionary

Medical Dictionary

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2012
1,053 7 135
Nassari sio mbunifu, mpenda sifa asifikiri kutaja watu na ku attack watu itammweka juu kisiasa..that kid is looking for public stunt.. Ajifunze kwa kaka zake mnyika, zitto, lissu.. Huyu kijana namshauri ajiwekee foundation nzuri kwa kuwa na wananchi wake,ajijenge ndani ya chama hizi tabia za kukurupuka na kubebesha watu allegation ambazo there is no evidence eti ujipatie umaarufu is a very bad behaviour. Ndio tupo kwenye movement za kupambana na ufisadi lakini hatuendi hivyo. Mimi nimempenda sana lissu amesema majudge wanateuliwa bila kumeet vigezo akiwa na evidence mkononi! Nassari wacha huo mchezo
mkuu unauhakika gani kwamba nassari hana ushahidi..?
Nassari ni mjumbe katika vikao vya halmashauri,ambapo maamuzi hayo huwa yanafanywa katika vikao hivyo,kwahiyo ni dhahiri kuwa nassari ana ushahidi..
Pia hata ushahidi wa kimazingira upo,kama upo arusha nadhan unaona kinachoendelea tengeru..
Mkuu jibu njoo ujibu hoja
 
Ronal Reagan

Ronal Reagan

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Messages
4,837
Likes
1,551
Points
280
Ronal Reagan

Ronal Reagan

JF-Expert Member
Joined Nov 4, 2010
4,837 1,551 280
Naomba kujuzwa hivi Mh. Nassari ni member humu JF?

Kwa sababu ni vizuri na MUHIMU sana awe na hiyo mikataba au maandishi ya kuthibitisha huo ufisadi, na ikiwezekana aweke kwenye public domains.
 
S

swrc

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2012
Messages
442
Likes
1
Points
0
Age
48
S

swrc

JF-Expert Member
Joined Jun 17, 2012
442 1 0
yeye anafanya kazi za wananchi waliomtuma, amerudi kwao kuwapa yaliyojiri katika mkutano wilayani, wananchi ndio wangemuuliza ayadhibitishe hayo na wala si wewe
 
S

Suzy M

Member
Joined
Oct 26, 2011
Messages
15
Likes
0
Points
0
S

Suzy M

Member
Joined Oct 26, 2011
15 0 0
Nassari sio mbunifu, mpenda sifa asifikiri kutaja watu na ku attack watu itammweka juu kisiasa..that kid is looking for public stunt.. Ajifunze kwa kaka zake mnyika, zitto, lissu.. Huyu kijana namshauri ajiwekee foundation nzuri kwa kuwa na wananchi wake,ajijenge ndani ya chama hizi tabia za kukurupuka na kubebesha watu allegation ambazo there is no evidence eti ujipatie umaarufu is a very bad behaviour. Ndio tupo kwenye movement za kupambana na ufisadi lakini hatuendi hivyo. Mimi nimempenda sana lissu amesema majudge wanateuliwa bila kumeet vigezo akiwa na evidence mkononi! Nassari wacha huo mchezo
Mbona umekua makali hivyo ?!we lazima utakua ni mmoja kati ya hao madiwani unajalibu kujitetea ili upate public sympathy ,una uhakika gani kwamba hana evidence?
 
M

Mthuya

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2011
Messages
1,415
Likes
65
Points
145
M

Mthuya

JF-Expert Member
Joined Jun 9, 2011
1,415 65 145
Nassari sio mbunifu, mpenda sifa asifikiri kutaja watu na ku attack watu itammweka juu kisiasa..that kid is looking for public stunt.. Ajifunze kwa kaka zake mnyika, zitto, lissu.. Huyu kijana namshauri ajiwekee foundation nzuri kwa kuwa na wananchi wake,ajijenge ndani ya chama hizi tabia za kukurupuka na kubebesha watu allegation ambazo there is no evidence eti ujipatie umaarufu is a very bad behaviour. Ndio tupo kwenye movement za kupambana na ufisadi lakini hatuendi hivyo. Mimi nimempenda sana lissu amesema majudge wanateuliwa bila kumeet vigezo akiwa na evidence mkononi! Nassari wacha huo mchezo
Utakuwa mafisadi wanakupakata
 
Nicole

Nicole

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2012
Messages
4,282
Likes
12
Points
0
Nicole

Nicole

JF-Expert Member
Joined Sep 7, 2012
4,282 12 0
Alisema ushahidi anao kwani kuna tajiri mmoja amezungumza naye na amemdhibitishia kuwa ameuziwa vibanda 4 kwa gharama ya 16 milion....
Naomba kujuzwa hivi Mh. Nassari ni member humu JF?

Kwa sababu ni vizuri na MUHIMU sana awe na hiyo mikataba au maandishi ya kuthibitisha huo ufisadi, na ikiwezekana aweke kwenye public domains.
 
ligendayika

ligendayika

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2012
Messages
1,175
Likes
50
Points
145
Age
46
ligendayika

ligendayika

JF-Expert Member
Joined Aug 31, 2012
1,175 50 145
Nassari sio mbunifu, mpenda sifa asifikiri kutaja watu na ku attack watu itammweka juu kisiasa..that kid is looking for public stunt.. Ajifunze kwa kaka zake mnyika, zitto, lissu.. Huyu kijana namshauri ajiwekee foundation nzuri kwa kuwa na wananchi wake,ajijenge ndani ya chama hizi tabia za kukurupuka na kubebesha watu allegation ambazo there is no evidence eti ujipatie umaarufu is a very bad behaviour. Ndio tupo kwenye movement za kupambana na ufisadi lakini hatuendi hivyo. Mimi nimempenda sana lissu amesema majudge wanateuliwa bila kumeet vigezo akiwa na evidence mkononi! Nassari wacha huo mchezo
wewe ni walewale wa leta ushahidi umaarufu gani anaoutaka mbona tayari anao. ungekua na busara kidogo ungesema asiishie kukataa posho ya kikao cha halmashauri akatae na posho za bunge linapopitisha madudu manake ndo yaleyale Watz rtunapenda mtu anaedanganya kuliko anaesema ukweli ndio maana hii ni nchi pekee duniani ambapo viongozi wake wanadanganya sana hadhalani bila woga wala aibu
 
K

kambumbu

Member
Joined
Nov 11, 2012
Messages
5
Likes
0
Points
0
K

kambumbu

Member
Joined Nov 11, 2012
5 0 0
Halloooo.nimeyapenda marumbano yenu bt tubishane kwa hoja marangapi mafisadi wanatuhumiwa wamekula mapesa ya nch or wananchi mwisho wa siku inakua ni historia hamna linalo fanyika chamsingi tukibadirika sisi wananchi hata nchi itabadilika tena kabisa ufisadi ,rushwa itaisha kabisa
 
K

kambumbu

Member
Joined
Nov 11, 2012
Messages
5
Likes
0
Points
0
K

kambumbu

Member
Joined Nov 11, 2012
5 0 0
MH.Nassari naamini nimchapakazi mzuri hawezi kujitafutia umaaufu lisemwalo lipo hata wananch wanaona sio kazamani people are changing day2day ufisadi nowdays nje njewatu hawaogopi wanaiba tu suruhisho ni katiba2 ndo itamaliza matatizo yote
 
Forum statistics

Threads 1,236,869
Members 475,318
Posts 29,270,366