CHADEMA imejipanga vipi kwenye majimbo haya?

gagonza

JF-Expert Member
Oct 18, 2009
309
98
CCM inafanya kila inalo wezekana kurudisha majimbo haya mawili Nyamagana na Arusha mjini, je CHADEMA wana mikakati gani sababu CCM imeshaanza mikakati yao.Sasa wanapita sehemu nyingi tu wanatoa pesa kwenye saccos mbalimbali na kumwaga sumu mbaya ya maneno na pesa.
 
Kichuli

JF-Expert Member
Apr 23, 2012
320
54
Wamejipanga kuajia yarudi ccm maake wameshindwa kuleta maendeleo kama walivyo ahidi matokeo yake wameleta maandamano na kuwa sababishia hasara kubwa kwa upande wa uchumi na kupita wakiombaomba ili wawachangie wawaletee uhuru wakati uhuru wanao!!!
 
Mlengo wa Kati

JF-Expert Member
Feb 16, 2011
2,730
491
nadhani Chadema wasihangaike na majimbo haya waende majimbo mengine ambako watu hawaja wafahamu udhaifu wao! Kwa Iringa mjini Mchungaji Msigwa alikuja na style ya kutaka watu waandamane kila siku watu wakawa wanasema huyu tumemchagua awe mbunge wetu afanye kazi sasa mbona kama anaendelea na kampeni,atafanya kazi lini ya kutuletea maendeleo?????
 
Christiano Ronaldo

JF-Expert Member
Feb 14, 2012
259
41
Siyo Nyamagana na Arusha tu, CHADEMA baada ya mwaka mmoja hivi itajikuta imezingirwa vibaya sana kwenye majimbo asilimia 60% wanayoyashika sasa hivi. 7bu? Walikuwa na mbio za soda, kumbe CCM marathoner mzoefu.
 
Mrdash1

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,378
331
ccm mbona mnashikilia majimbo mengi kote nchini kuliko cdm? hayo mawili waachieni cdm bana? ccm acheni ulafi! mridhike na hayo mengi ambayo tayari mnayo.
 
Respect Sennetor

New Member
Nov 26, 2012
4
0
Wananchi ndo watakaoamua ndugu zangu sisi pengine hatupo jimbo la Arusha wala Nyamagana tunapiga kelele tu humu!! The right leader from the right party will win the election, let's leave them decide wether ccm did o cdm did the best!!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Tadey P Assey

Member
Aug 20, 2011
18
0
Ccm acheni kulazimisha mambo kuweni na liberal mind mnafikiri mkiachia tume hure ya uchaguzi, vyombo vya dola, na uongo kama ule wa igunga kuna kitu mtashinda?, ni uroho tu umewajaa ilimfisadi nchi tu
 
JERUSALEMU

JF-Expert Member
Sep 19, 2012
3,015
3,284
Siyo Nyamagana na Arusha tu, CHADEMA baada ya mwaka mmoja hivi itajikuta imezingirwa vibaya sana kwenye majimbo asilimia 60% wanayoyashika sasa hivi. 7bu? Walikuwa na mbio za soda, kumbe CCM marathoner mzoefu.
mtafarijiana sana subiri 2015 mtaona kama mtayapa. kula ccm KURA CHADEMA. mijini watu wameerevuka hata iwe vipi ccm hawashindi hata jimbo moja, waende huko vijijini ambako watu bado wamelala.ccm mtaji wao ni akina mama wa vijijini.
 
Hiraay

Member
Jan 4, 2012
99
17
mtafarijiana sana subiri 2015 mtaona kama mtayapa. kula ccm KURA CHADEMA. mijini watu wameerevuka hata iwe vipi ccm hawashindi hata jimbo moja, waende huko vijijini ambako watu bado wamelala.ccm mtaji wao ni akina mama wa vijijini.

Hata huko vijijini mbona wananchi wameshawashtukia? Si majuzi katika chaguzi walipoteza kata nne pamoja na uchakachuaji!!! Hata jumla ya kura walizopata 28000 ni tofauti ndogo na CDM iliyozoa zaidi ya 20,000.
Waache wanganganie majimbo hayo ya nyamagana na Arusha waje kushtuka watakaponyanganywa ya Sumbawanga na Igunga kama walivyofanyiziwa huko Arumeru Mashariki.
 
Mzalendo wa ukweli

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
559
148
CCM inafanya kila inalo wezekana kurudisha majimbo haya mawili Nyamagana na Arusha mjini, je CHADEMA wana mikakati gani sababu CCM imeshaanza mikakati yao.Sasa wanapita sehemu nyingi tu wanatoa pesa kwenye saccos mbalimbali na kumwaga sumu mbaya ya maneno na pesa.Siasa za hapa nchini ni pasua kichwa,uliona wapi serikali inagoma kupeleka pesa kutekeleza miradi ktk majimbo ambayo yako chini ya upinzani????ni akili au matope??? Kuzunguka ktk haya majimbo nakugawa pesa sidhani kama ni mkakati chanya,watu wenye akili watachukua hizo pesa na kuzitafuna lakini ikifika wakati wa kupiga kura wanajua what to do. Acha ccm wahangaike usiku na mchana,hawana kazi ya kufanya coz nilitegemea majimbo ambayo wanayashikilia ndo wangekuwa wanahangaika na kuwekeza zaidi badala yake vijimbo vichahche hivyo vinawatoa povu.Poor thinking and poor stratergy!!!!!!!!!!
 
ungonella wa ukweli

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
4,210
554
nadhani Chadema wasihangaike na majimbo haya waende majimbo mengine ambako watu hawaja wafahamu udhaifu wao! Kwa Iringa mjini Mchungaji Msigwa alikuja na style ya kutaka watu waandamane kila siku watu wakawa wanasema huyu tumemchagua awe mbunge wetu afanye kazi sasa mbona kama anaendelea na kampeni,atafanya kazi lini ya kutuletea maendeleo?????
wacha we,kwa hiyo maendeleo yanaletwa na mbunge? Na si wananchi?
 
Lwesye

JF-Expert Member
Sep 29, 2012
5,292
1,137
Huwa nacheka CCM inavyo insult akili ya wananchi utasikia tutashinda kwa kishindo,2015 upinzani jimbo moja tu waataambulia sijui nini naini kwanza
wananchi tunajua kwamba nchi hii si ya Usalama wa Taifa kwa taarifa yao hakuna mwana usalama wa taifa atakaye kuwa Raisi sijui Membe sijui nani hiyo forget

Wana usalama wa taifa watengeneza kura maruhani S/A au china watapelekea wake zao hazitapenya
Matokeo ya uraisi,ubunge ,udiwani watake wasitake yatatangazwa vituoni husika period
 
Socratesson

Senior Member
Oct 5, 2012
119
23

Why don't YOU think as great thinkerS do, and not like A chicken as you do!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom