JWTZ kukabidhiwa mji wa Goma na UN-soldiers

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,571
[video=youtube_share;GjRe-iioKPY]http://youtu.be/GjRe-iioKPY[/video]

Goma, Democratic Republic of Congo - M23 rebels have held their official handover ceremony marking the end of the occupation of Goma in the eastern Democratic Republic of Congo (DRC).
"We are leaving Goma, the officials are leaving and the police are leaving," General Sultan Makenga, head of M23 army, said on Saturday.
"The fight is over now," he said, adding: "We are showing that we are respecting our commitment. I think Kinshasa will also respect this commitment."
Makenga said, however, that if Kinshasa did not honour their commitment, "we are not very far and we can come back".
Makenga said around 100 soldiers will stay around the airport.
 
Ndo matunda yanayoitwa Mtwetwe kule kwetu Usukumani? Uzuri wake nje tu lakini ndani limeoza. Kichwa cha habari hakiendani kabisa na ujumbe.
 
Ndo matunda yanayoitwa Mtwetwe kule kwetu Usukumani? Uzuri wake nje tu lakini ndani limeoza. Kichwa cha habari hakiendani kabisa na ujumbe.

Mbona naona kinaendana na habari yenyewe? Au hujasikiliza Video clip iliyoambatanishwa?
 
  • Thanks
Reactions: R.B
R.B Ongeza nyama basi kwenye hii habari iendane na heading bana!
 
Nimewapenda hao waasi kwa jinsi wanavyoongea kiswahili vizuri.
 
wana madai ya msingi
ya kudai ardhi na haki za watusi kwenye nchi ya watu?
jambo la msingi la kufanya ni kuwaorodhesha wote na kuwapa kijiji au ardhi mbali na mpaka wa rwanda, kama mwl alivyo kuwa ana fanya mgeni mkaazi wa karagwe una mpeleka songea au mtwara, akikaa hapo mpakani mwishowe watasema karagwe ni sehemu yao
 
Ndo matunda yanayoitwa Mtwetwe kule kwetu Usukumani? Uzuri wake nje tu lakini ndani limeoza. Kichwa cha habari hakiendani kabisa na ujumbe.
hajakosea mkuu.maelezo yote yapo ktk video.jaribu kui-preview.hata mimi nilidhani mleta mada kakurupuka.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom