kwa nini wasiwe na mkonga mmoja kama wa kwetu?
kuwa na mikonga 5 maana yake nini ?
sisi tuko wengi zaidi lakini nashangaa hatuna spidi kama hawa jamaa
Kenya plans to land 5th undersea cable |...
Kwa mtu anayefuatilia kwa ukaribu siasa za Tanzania kwa miaka hii ya sasa, jina la Dkt. Hamisi Kigwangala (MB) limekuwa jina jipya maarufu kwenye duru hizo, haswa kwa namna alivyoingia kwenye...
Kwa mjibu wa msemaji wa jeshi la Polisi Advera Senso kupitia Clouds Fm leo asubuhi mtu mmoja aliyemtaja kwa jina moja kama Komba ameshakamatwa kuhusiana na kuwepo mtandao mkubwa ndani na nje ya...
Mjadala mzito unaendelea Star Tv unaohusu sakata la Wizi wa fedha zilizohifadhiwa katika mabenki ya Uswizi. Naibu katibu Mkuu chadema na mleta hoja mkuu juu ya sakata hilo ndugu Zitto Kabwe ndani...
Rufaa ya aliyekuwa mbunge wa Arusha Godbless Lema, itasikilizwa December 4, na jopo la majaji wapya sio wa awali!
**********************
More:
Nov 29, 2012 - Gazeti la Mtanzania:
JAJI Mkuu wa...
Wana bodi heshima kwenu.
Nakumbuka serikali ilileta hoja ya kupandisha gharama za umeme kwa kipindi kifupi. Kwa upande wangu na wapangaji tulitoka kulipa elfu 15 mpaka 30 kila mpangaji tukaenda...
Kama ilivyoanza kama tetesi ndani ya JF (ref https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/357477-kibanda-kuwa-managing-editor-wa-new-habari-kuanzia-disemba-1-2012-a.html ),
Aliyekuwa mhariri...
Wazir wa Afya (siha) wa Serikali ya Umoja wa kitaifa Zanzibar ndugu Juma Duni Haji akihojiwa katika kipindi cha Saa ya Hamza Kasongo (Hamza Kasongo Hour) cha channel 10 alisema mkutano wa 8 wa CCM...
WATANZANIA INATUBIDI TUWE MACHO NA KITENDO cha serikali, eti kimeunda timu ya nguvu kushirikiana na polisi wa kimataifa kuchunguza scando ya pesa za uswiss. kumbuka ni serikali hii hii kupitia...
MBUNGE wa Ubungo (CHADEMA), John Mnyika ametoboa siri kuhusu kesi ya Dowans akisema kuwa serikali imetumia dola za Kimarekani milioni 29, sawa na zaidi ya sh bilioni 40 (sh bil. 45.7) kwa...
SHIRIKA la Umoja Umoja wa Wafanyabiashara Ndogondogo jijini Mwanza (SHIUMA), limetoa siku 14 kwa Mbunge wa Nyamagana, Ezekiah Wenje (CHADEMA), aombe radhi baada ya kubainika kwamba, alighushi...
Hii kitu ya wanasiasa wa CCM kuwasalimia wananchi kwenye mikutano eti 'Salaam Aleikum: Bwaba asifiwe' ni unafiki mkubwa wa viongozi wa CCM.
Kwanza haipendezi na zaidi ni kinyume cha katiba...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama cha mapainduzi(CCM),Majura Bulembo akionyesha moja za mikataba kati ya jumuiya hiyo na Mmiliki wa Shule za Green Acres iliyokiukwa jijini Dar es Salaam...
Mhe ANGELLA Kairuki ( naibu waziri katiba na sheria) wiki iliyopita aliwadanganya watanzania ktk ishu ya Mahakimu Wakazi wanaolipwa bure bila kufanya kazi yoyote kwa kusema kuwa " MAHAKIMU HAO...
Mwanasheria mkuu wa Serikali Fredrick Werema amesema serikali imeunda kikosi kazi kwa ajili ya kufuatilia sakata la mabilioni yaliyofichwa Uswiss.
Werema aliwataja wanaounda kikosi hicho kuwa ni...
UTANGULIZI
Nimeisoma makala nyingine ya Kibanda yenye kichwa kisemacho; KINANA NI KIMBUNGA baada ya ile ya kwanza iliyojinadi kwa kichwa kisemacho; NAMWOGOPA KINANA. Mwandishi huyu ni hodari...
Jumamosi, Agosti 25, 2012 06:43 Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Seif Sharif Hamad, amesema kazi kubwa...
Mwenyekiti wa BAVICHA John Heche, Katibu Mkuu wa BAVICHA Deogratias Munishi, Mbunge Peter Msigwa, Mbunge Rose Kamili na Mbunge Suzan Kiwanga leo wataunguruma Mjini Morogoro katika Kongamano la...
Inasikitisha sana kuona Secretariat ya CCM kuendelea kutumia fedha za walala hoi kuzunguka nchi nzima kutangaza propaganda/mikakati na mipango ya chama isiyotekelezwa miaka nenda rudi. Kwa sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.