Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Msajili wa Vyama vya Siasa nchini,John Tendwa amekaririwa akisema kuwa haiwezekani kufuta chama chochote cha siasa nchini hata kama itabainika kuwa chama kinahusika na vurugu za Arusha. Amesema...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Jambo hili ni gumu kea kweli
5 Reactions
38 Replies
5K Views
Muda huu RICHARD TAMBWE HIZA anaongea LIVE EATV katika kipindi cha HOT MIX. Anasema alihama CUF kwasababu ni chama cha mtu mmoja - MAALIM SEIF na Wazanzibar wanaelewa hivyo kwamba CUF ni Seif na...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Ndugu Wana-JF na Watanzania wote wapenda haki, Nimeguswa sana na nimehuzunishwa sana na tukio la mlipuko wa Bomu kwenye mkutano wa CHADEMA tarehe 15/06/2013 katika kuhitimisha kampeni za Uchaguzi...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimekuwa mwanachama wa TANU ( baadaye CCM )tangu mwaka 1972 hadi tarehe 16/06/2013,nimejifunza mengi katika siasa za nchi hii hususani baada ya mfumo wa vyama vingi mwaka 1992.Katika mfumo wa...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Watoto waliokaa hapo juundiyo waliokufa na baadhi kuumia vibaya kwa bomu, ndiyo lilipo angukia.. kutoka kushoto mwenye-tshirt nyekundu ameumia vibaya sana na wapili kutoka kwake ndiyo Judy...
27 Reactions
166 Replies
14K Views
Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) amezidi kumng’ang’ania Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Wilfred Lwakatare (pichani) baada ya kuanza...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Mh. Mnyika anasema kuwa: 1. Lukuvi amesema uongo huku akijua ukweli 2. Polisi ndio waliotupa Bomu na kumtorosha mhalifu. 3. Hao wanaotetea Polisi ndio wanaowatumia Polisi kufanya mauaji. 4...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Jamani mfikishieni ujumbe Mh Obama kwamba Tanzania inaongozwa na maharamia ya demokrasia na wanachotaka ni kupata uhalali tu katika kufunika dhulma zao!
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Taarifa zilizothibitishwa ni kuwa miongoni mwa makamanda wa makao makuu ya polisi walioteuliwa na IGP Mwema kwenda kuchunguza Arusha Bomu lililolipuliwa kwenye mkutano wa Chadema naye yupo ndani...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Ingekuwa Nape sawa, kwani yeye ni mtu wa propaganda. Lakini huyu waziri anayetoa kauli kny serikal? yaani anasema wananchi waliokusanyika pale mkutatoni waliomuona mtu aliyelenga kuwauwa halafu...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
TAMKO RASMI CHADEMA UK CHADEMA UK awali ya yote tunapenda kutoa pole kwa waTanzania na wapenzi wa CHADEMA waliopatwa na kukutwa na janga la kurushwa kwa bomu kwenye mkutano wa CHADEMA wa...
5 Reactions
27 Replies
4K Views
Kweli Kama unayo akili Kama ya Nape, Mwigulu, Lukuvi na baadhi yao bora ukamwomba mungu/mtume ili uweze kusamehewa dhambi zako na kupewa akili japo ya kujua Watanzania wanataka nini na tuko...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nguli wa siasa nchini mhe. Wassira leo katika mahojiano ya kipindi cha jambo leo amemjibu Mbowe kufuatia kauli yake ya serikali kuhusika na mashambulizi ya kutaka kumuua. Amehoji mzee Wassira...
1 Reactions
66 Replies
6K Views
WanaJf. Napenda kumtangaza Mh.Sumaye( waziri Mkuu mstaafu) kuwa ni nabii anayeishi katika kile alichosema wakati wa kinyang'anyiro cha kugombea urais mwaka 2005 hasa hasa kwa haya yanayoendelea...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
MTOTO WA MKULIMA MIZENGO PINDA AWAJULIA HALI WABUNGE WA CHADEMA NASARI, NAMELOK HOSPITALINI ARUSHA. Waziri mkuu, Mizengo Pinda akimpa pole mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nasari ambaye...
0 Reactions
24 Replies
6K Views
1.Tukio la Mulipuko Bomu Mkutano wa Chadema lina mtaji wa 100m 2.Tukio la Mulipuko Bomu Kanisa la Katoliki Arusha halina Mtaji!! 3.Tukio la Kumuua padri Mushi halina mtaji 4.Tukio la kumupiga...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
  • Closed
Mnyika aliposema kwamba serikali ya JK ni dhaifu alikosea sana. Siku za karibuni serikali ya rais Jk imeweza kujiweka katika hali fulani ya kutawala. Kuna watu walioweka maalum kwa ajili ya...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
katika uchaguz huo CCM Imepata kata 16 na chadema imepata kata 6. kwa kawaida CCM wanaonekana wameshinda lakin si kwel kwa sababu yenyewe ilikuwa inatetea kata 20 matokeo yake imepoteza kata 4 na...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
U.S condemns Arusha bombing.
0 Reactions
49 Replies
5K Views
Back
Top Bottom