Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kile kinachoonekana kuchoshwa na utawala mbovu wa chama cha mapinduzi,viongozi wa kidini mkoani mtwara wamehoji kwa nini jeshi la wananchi linapita mitaani na kupiga watu pasipo kosa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Tuesday, June 18, 2013 Mbunge wa Nkassi Kaskazini Ali Mohamed Keissy ALIKINUKISHA BUNGENI LEO. ANATAKA WALE WOTE WALIODHULUMU SHIRIKA LA NDEGE WAFUFULIWE HATA KAMA WAMEKUFA ILI MIFUPA YAO ISAGWE...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Kamanda huyo ni yule aliyehamia CHADEMA mwezi uliopita,amekamatwa leo na kupelekwa gereza la wilaya. Kisa ni kwenda CHADEMA.
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Kamanda wa polisi mkoani kagera philp kalangi amemaliza press cof hivi punde na kueleza kuwa jeshi hilo limetoa kibali kwa CHADEMA kufanya maandamano na mkutano wa kumpokea mwenyekiti wa CHADEMA M...
2 Reactions
59 Replies
5K Views
Mbunge Godbless Lema akihojiwa na mwandishi wa sunrise radio amesema wanao ushahidi wa tukio lililotokea siku ya tarehe 15/june/2013. Kwamba polisi wanaoonekana kurusha risasi siku hiyo walitokea...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinatoa taarifa za Hujuma zinazoendelea katika chaguzi za marudio kwa kata mbalimbali hapa nchini. Kwa masikitiko makubwa CHADEMA kinatoa taarifa ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
  • Closed
Wakati akichangia kwenye bajeti ya serikali Machali alimuona naibu waziri wa fedha mama Mbena akimunyoshea kidole cha kumsonya hapo hapo Machali akawaka akamwambia waziri uwe na adabu acha...
6 Reactions
85 Replies
10K Views
Mambo mengi yanasemwa kupitia post mbali mbali juu ya Paul Kagame (mmoja kati ya Pan Africanists wachache waliosalia). Watanzania na wafrika kwa ujumla tunayo hiyo syndrome ya kuaminishwa mambo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ninapenda kutangazia wanaccm wote akiwemo katibu wa uenezi na itikadi ndugu Nape Naunye kuwa mm MAMBOKI leo nimeamua kujiunga na CHADEMA. Na kadi yao ya ccm nimempa mjumbe wangu. Kuna mambo ambayo...
10 Reactions
42 Replies
4K Views
Mabadiliko katika orodha ya mambo ya Muungano yamekuwa yakifanyika kwa kuzingatia Katibana sheria kwa madhumuni ya kuimarisha Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Hayo yalisemwa jana na Waziri wa...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI TAREHE 18/06/2013 RAMBI RAMBI KWA WAFIWA BAADA YA MLIPUKO WA BOMU KWENYE MKUTANO WA CHADEMA MJINI ARUSHA CUF-Chama cha Wananchi kinatoa pole kwa Wafiwa na...
1 Reactions
36 Replies
3K Views
Ndugu zangu wana wa Tanzania, ninawaomba niwaambie kitu kimoja kikubwa sana na muhimu sana kwa uhai na amani ya taifa letu. Nia ya kumpiga tunayo, sababu ya kumpiga tunayo na uwezo wa kumpiga...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Inawezekana hivi ninavyoandika ujumbe huu upo sehemu ukitathimini mafanikio ya mipsngo yako ulioplan huko Arusha, bila shaka unafurahi kwa kuona umefanikiwa kile ulichopanga japo uliowalenga...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Yaani ndiyo kazi waliyotumwa hao Chagonja na kikosi cha mwema huko arusha
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Leo huwezi ukamuambia Mtanzania Tanzania ina amanin ikiwa watu wanauawa kikatili wengine kuteswa na majibu ni yale yale ya kikasuku CCM wanahusika na kiitikio chake ni CDM wanahusika,jioni hii...
0 Reactions
1 Replies
973 Views
Ni mlipuko wa bomu tena ktk mkutano wa watani zangu(CHADEMA). Safari hii damu imemwagika tena. Nape katoa kauli kuishutumu CHADEMA. Mbowe anatoa kauli kuishutumu CCM na serikali yake. Hakika...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
NI DHAHIRI CCM IMEAMUA KUANZISHA VITA KUPITIA HIZI CHAGUZI. WAKULAUMIWA KWA YATAKAYOTOKEA NI WAO SOMA HAPA; Chaguzi zageuzwa ulingo wa damu • Risasi, mawe, mikuki, vyatumika na Waandishi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Moja ya mambo abunge anayo sema ni kuwa serekali ikitaka kukupa madeni makubwa ni lazima bunge liizinishe.......
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Takriban wanachama 100 wa CCM, wakiwemo waliokuwa wagombea wa CCM (2) kati ya watano waliokuwa wanagombea kata 5 za Arusha mjini na mabalozi 23, wanajiandaa kuhamia CHADEMA baada ya kuchukizwa na...
6 Reactions
67 Replies
6K Views
Recently the Minister of Finance Dr. Mgimwa has announcedin the parliament that all the government workers will use their own personal vehiclesin order to reduce public expenditure this is a...
0 Reactions
0 Replies
571 Views
Back
Top Bottom