Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Sote tunajua uhasama uliopo kati ya Jeshi la polisi na Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA na sote tumesikia matamshi ya pande zote mbili: Kuwa, CHADEMA wanawatuhumu polisi kuhusika na...
2 Reactions
44 Replies
4K Views
KUTOKUWEPO KWA NYERERE NA UWEPO WA WADAI HAKI ISIWE NEMBO YA KUHALALISHA UKANDAMIZAJI. MWALIMU Nyerere katika uhai wake amehusishwa na ukombozi na mpigania uhuru wa nchi, pia alisaidia kujenga...
0 Reactions
0 Replies
773 Views
Elekezeni macho na masikio mjue yanayofichwa na watawala.umeya ulipatikana kwa kupindisha sheria kwa nguvu.Wananckhi wakaandamana kutaka sheria zifuatwe,polisi wakau raia wasio na hatia. Baada...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndugu wanajamvi. Nawasalimu wote itifaki ikizingatiwa. Sote tunafahamu kwamba upinzani mkubwa katika uchaguzi wa madiwani ulikuwa kati ya CCM na CHADEMA. Takwimu zinaonyesha CHADEMA walikuwa...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
I predict that the denouement of the riddle of the arusha will soon come. The agenda is being set at this trial. Whether the peaceful ways I have favored will prevail depends on what the...
0 Reactions
0 Replies
822 Views
ndugu zangu heshima kwenu naanza na kuwatakia amani kwa kila apendaye haki na kutimiza wajibu wake katika kutafuata haki hiyo.Nimekaa na kutafakari sana haya yanayotokea Hapa Arusha ni vitu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Sasa ni dhahiri CCM Imezidiwa.Matokeo ya Uchaguzi wa Kata mbalimbali uliofanyika Jumapili yamepeleka kilio kikubwa CCM. Ni kweli pia kwamba kwa Idadi ya Kata CCM imepata kata nyingi Lakini...
12 Reactions
86 Replies
8K Views
Baada ya watu kukaa na kutokujua kati ya polisi au wafuasi nani karusha bomu katika mkusanyiko wa chadema arusha, kiongozi mahiri ambae ni jembe la kutegemewa kadondosha machozi mengi akikumbuka...
0 Reactions
0 Replies
609 Views
Kusema kuwa mtu/kitu kife hiyo sio dhamira njema.Ndg wassira alisema mwaka 2013 CHADEMA lazima ife alikuwa na dhamira gani? Katika hali ya kawaida huwezi kuua chama kama hujaua watu,kwani chama...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Nineikuta Facebook kwa Shabiki wa CHADEMA na alichokuwa ameandika hapo chini je hii ni kweli au kaweka chumvi Kutenga mil 100 eti zawadi kwa atakaye mtaja mhusika wa bomu la Arusha sio tu...
19 Reactions
128 Replies
15K Views
VUGUVUGU la Uchaguzi Mkuu wa 2015 linazidi kupamba moto ambapo juzi aliyekuwa Waziri Mkuu, Frederick Sumaye, ameomba CCM itoe ruhusa mapema kwa wanaowania urais kuanza kutangaza nia lakini bila...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Haki ya Mungu sasa ninapenda kufanya hivyo. Kauli za viongozi wetu pindi yanapotokea mauaji yanayofanywa na Polisi kwa raia yananisukuma kufanya hivyo. Siyo hivyo tu bali pia matumizi ya kidhalimu...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Kijana mmoja wa chadema ambae amejeruiwa vibaya na mlipuko wa bomu polisi na usalama wa taifa wamzingira na kutaka kumchukua wakidai wa kuwa ndio muhusika wa kurusha bomu,cha kushangaza na...
5 Reactions
111 Replies
11K Views
Kwa matukio yaliyojirudia mara mbili, tena kwa kiasi kikubwa yakionesha serikali kuhusika kwa nama moja kuua wanchi wasio na hatia yeyote, je hili halitoshi kufanya serikali kuajibika? Katika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu zangu, matukio ya vurugu na mauaji katika Taifa letu sasa yamefikia hatua mbaya. Tararibu, tumeiona amani ya Tanzania ikizikwa kwa nguvu. Kumekuwapo kurushiana maneno makali tangu kuanza...
4 Reactions
65 Replies
6K Views
Uongozi Maana Yake ni Nini Jamani Wananchi? Mauaji ya Arusha Yametikisa Taifa Letu. Watu Watatu Mpaka Leo Wamekufa kwa Kupigwa Risasi Migongoni na Wengine Bado Wanateseka Hospitalini Arusha. Kitu...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
  • Closed
Nimetafakari matukio ya mauaji na majeruhi yanayotokea katika mikutano na harakati nyingi za CHADEMA na kubaini kuwa mara nyingi wahanga wakuu ni wale wenye majina ya Kiislamu. Ebu tuangalie...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Ndugu wanajamvi kwanza ni wape pole kwa yote yanayotokea na najua mengi tutazidi kuyasikia lakini kitu kinachonishangaza Tanzania ni nchi inayosemekana ni yenye Amani na UPENDO UPENDO wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Askari wakiwatawanya Wananchi waliokusanyika katika viwanja vya Soweto jijini Arusha kuombeleza vifo vya wenzao waliouawa kwa bomu Tangu Tanzania ianze kuwa na uhusiano wa karibu na Taifa la...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Kazi ya polis kwa sasa ni kukamata,kupiga na kutesa wabunge wa chadema.Najiuliza mbona hawawakamati wauza madawa ya kulevya,mafisadi,wahujumu uchumi,wauaji nk?. Ukweli uko hivi,mtenda jambo...
0 Reactions
0 Replies
878 Views
Back
Top Bottom