Mheshimiwa Sumaye - Nabii halisi anayeishi

dotto

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
1,725
255
WanaJf. Napenda kumtangaza Mh.Sumaye( waziri Mkuu mstaafu) kuwa ni nabii anayeishi katika kile alichosema wakati wa kinyang'anyiro cha kugombea urais mwaka 2005 hasa hasa kwa haya yanayoendelea hapa nchini.
 
Anaingia madarakani kwa kuchafua wenzake kwa kalamu atatoka kwa kudungua wenzake kwa mtutu!!! Arusha wamedunguliwa au hujui!!!????
 
Anayeingia ikulu kwa kusafisha njia kwa kalamu akishaingia huko atatumia risasi kjiwekea makao
 
[QUOTE=dotto;6613332]Anaingia madarakani kwa kuchafua wenzake kwa kalamu atatoka kwa kudungua wenzake kwa mtutu!!! Arusha wamedunguliwa au hujui!!!????[/QUOTE]

''Anayetumia kalamu kuwachafua wenzake ili apate madaraka basi akiyapata atatumia risasi kuwaondoa ambao mkosoa" Says by Sumaye!
 
Anayeingia ikulu kwa kusafisha njia kwa kalamu akishaingia huko atatumia risasi kjiwekea makao

aliwahi kuiambia serikali hii, kujibizana kisiasa na Chadema ni kazi ya ccm

mawaziri, polisi na dola wamepuuza.
 
Huyo Sumaye ni mnafiki mkubwa.
Ilipaswa kusema ''SUMAYE NI 'NABII' MNAFIKI ANAYEISHI KINAFIKI''

Hayo maneno ya kumnanga Kikwete, Sumaye aliyasema 2005 baada kuona anaelekea kushindwa kwenye kinyang'anyiro cha urais ndani ya CCM, lakini jambo la ajabu ni kwamba baada ya hapo:

1/Sumaye aliongoza CCM na serikali yake akiwa waziri mkuu kumpigia kampeni nchi nzima Kikwete 2005 na kuhakikisha anashinda tena kwa kishindo!!!

2/Sumaye amekuwa akisema mara kwa mara kuwa ana imani kubwa na uongozi wa Kikwete kwa namna unavyoongeza nchi kwa Amani na Utulivu!!

3/Sumaye amekuwa mara kwa mara akiupongeza Uongozi wa CCM chini ya uenyekiti wa Kikwete kuwa umefanya kazi kubwa na nzuri katika kuhakikisha CCM inaendelea kuwa madarakani dhidi ya upinzani unaochipukia.

*'Nabii' wa kweli anasema na kutenda kile anachokiamini, lakini Sumaye hana hizo sifa za kuwa 'Nabii' wa kisiasa.
 
Jibu hoja hapa kwa kile alichosema Sumaye wakati huu uki reflect kile kilichopo kwa sasa!! Hivi ulishafanya hata mtihani wowote ukafaulu??? Kwa majibu haya sidhani kama wewe ni msomi mahiri!
 
WanaJf. Napenda kumtangaza Mh.Sumaye( waziri Mkuu mstaafu) kuwa ni nabii anayeishi katika kile alichosema wakati wa kinyang'anyiro cha kugombea urais mwaka 2005 hasa hasa kwa haya yanayoendelea hapa nchini.
Ndugu ukweli ni kwamba sasa ni dhahiri kwamba viongozi wetu hawako kwa maslahi ya wananchi tena. Ukitaka kujua ukweli serikali ya CCM haina kauli moja. Walau tunasikia kauli ya CHADEMA kupitia kwa Mh. Mbowe, CCM imetoa kauli yake kupiti kwa Nape, Serikali tumemsikia Wassira, Lukuvi, Makinda akidai hajui waliko wabunge wa CHADEMA, Pinda naye anatoa kauli ingine ya kuingilia mazishi ya wanachama wa CHADEMA,

Hofu na swali langu ni je Wako wapi akina Mzee Msekwa, Mwinyi, Mkapa, Warioba, Salim,Butiku, hivi hamuioni aibu mnayotuletea katika nchi yetu. Kama watu hawana tena uwezo wa kuongoza si wakapumzike majumbani kwao tu. Ebu jitokezeni mmalize jambo hili, waachani CHADEMA wafanye IBADA na kuwaaga marehemu wao. Mbona wale waliouawa Arusha kipindi cha mwanzo hamkuwaingilia na mambo yakaisha kwa AMANItena bila ulinzi wa polisi wakamaliza na tayari tumeshasahau? TUMIENI Busara na akili kidogo tu hamtadharaulika, kama watu wameshawakataa mioyoni mwao hamwezi kutumia misuli kurejesha imani yao kwenu. Ninyi rudini Bungeni mkapitishe budget yenu kwa kishindo tu kwa kauli ya ndiyooooooooooooooooooooooooo!

Anaingia madarakani kwa kuchafua wenzake kwa kalamu atatoka kwa kudungua wenzake kwa mtutu!!! Arusha wamedunguliwa au hujui!!!????

Wee jamaa uko na kumbukumbu kama memorycard. Asante sana kutukumbusha.
 
WanaJf. Napenda kumtangaza Mh.Sumaye( waziri Mkuu mstaafu) kuwa ni nabii anayeishi katika kile alichosema wakati wa kinyang'anyiro cha kugombea urais mwaka 2005 hasa hasa kwa haya yanayoendelea hapa nchini.

Huyo sio nabii wala shemasi alishindwa kushauri mkapa vizuri wakatumia nguvu kuzuia maandamano kule zenz 2001 zaidi ya 30walifariki kwa sababu za siasa
 
Back
Top Bottom