TAMBWE HIZA: CUF ni chama cha mtu mmoja

TAMBWE HIZA: CUF ni chama cha mtu mmoja

Joined
May 24, 2012
Posts
54
Reaction score
10
Muda huu RICHARD TAMBWE HIZA anaongea LIVE EATV katika kipindi cha HOT MIX. Anasema alihama CUF kwasababu ni chama cha mtu mmoja - MAALIM SEIF na Wazanzibar wanaelewa hivyo kwamba CUF ni Seif na Seif ni CUF. Na wanaotaka serikali tatu ni waroho wa madaraka... Anasema hata mtu yeyote aliyeko ndani ya CCM anayemkosoa Rais ni yule aliyekuwa akihitaji kuteuliwa na kuwa amamkuu wa wilya mkoa nk.
MY TAKE Je! ni kosa kukosoa hata kwenye udhaifu?
 
Alisha wahi kusema ukiwa CCM utakuwa na mataitzo ya akili......naona na yeye saiv atakua na hayo matatizo...
 
Kwani Tambwe alishatekeleza ahadi aliyoitoa akiwa CUF kuwa akihamia CCM atamlala/ kumzini mama yake?!

Mtu aliyefikia kutoa kauli hii sidhani kama anapaswa kusikilizwa.
 
Ivi alishamlala Mama yake?mana alishatoa ahadi,kuwa ni bora amgegede kuliko kurudi CCM
 
Huyo Tambwe Hiza akaanze kwanza kulala na mama yake kama alivyojiapiza, na hapo CUF na watu wengine watamsikiliza.
 
Ivi alishamlala Mama yake?mana alishatoa ahadi,kuwa ni bora amgegede kuliko kurudi CCM

kweli njaa ni kitu kibaya katika siasa nasikia alimpiga dole manake ili mzimu usimdhulu si tayari jamani katimiza ahadi
 
Unashangaa nini? Ndio akili zake hizo! Laana ya mama yake mzazi inamtafuna sasa.

kweli kabisa lana ya mama ake inamtesa, aliapa mbele ya umati wa watu kuwa akirudi ccm amlale mama ake Agnes tena kwa kumtaja jina.
 
Cuf wanamkubali maalim seif anamsimamo hayumbi tuchukulie Mtu Kama tambwe ungempa nafasi Kama ya seif si angeuza chama ccm wanavyoitafuta cuf waiue wanachemka viongozi ni madhubuti
 
Kwani Tambwe alishatekeleza ahadi aliyoitoa akiwa CUF kuwa akihamia CCM atamlala/ kumzini mama yake?!

Mtu aliyefikia kutoa kauli hii sidhani kama anapaswa kusikilizwa.
Kumbe amelaaniwa. Biblia inasema alaaniwe yeye alalaye na mama yake na watu wote waseme 'Amina'. Tangu lini aliyelaaniwa akawa na akili timamu.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Watu kama Kina Tambwe ndiyo aliyosema Machali kuwa wawe wanapimwa akili kabla ya kufikiriwa kujiunga na chama kingine cha siasa baada ya kufukuzwa kwenye chama kimoja. Wako wengi wanaopaswa kupimwa akili zao kama ni timamu.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
itakuwa tayari kashamdona mama yake maana sasa yuko ccm ..sijui ni mtamu au .....tambwe atwambie sasa harusi yake na mama lini?
 
Kweli siasa ni mchezo wa kijinga ni sawa na kuingiza ulimi puani na kisha kuurudisha mdomoni.
CUF ni Maalim Seif na Jusa.
 
Huyu jamaa ni kanjanja kwenye siasa. Shule ndogo halafu anataka kufanya siasa kubwa
 
muda huu richard tambwe hiza anaongea live eatv katika kipindi cha hot mix. Anasema alihama cuf kwasababu ni chama cha mtu mmoja - maalim seif na wazanzibar wanaelewa hivyo kwamba cuf ni seif na seif ni cuf. Na wanaotaka serikali tatu ni waroho wa madaraka... Anasema hata mtu yeyote aliyeko ndani ya ccm anayemkosoa rais ni yule aliyekuwa akihitaji kuteuliwa na kuwa amamkuu wa wilya mkoa nk.
My take je! Ni kosa kukosoa hata kwenye udhaifu?
wanasiasa njaa..ndio walivyo...alipokua kule akimsifu huyo seif na kukipiginia chama cha cuf..leo...kafukuzwa..njaa inamsumbua...sasa hio ccm ni chama cha paka sia watu?
 
Kumbe amelaaniwa. Biblia inasema alaaniwe yeye alalaye na mama yake na watu wote waseme 'Amina'. Tangu lini aliyelaaniwa akawa na akili timamu.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

CCM Ilimwona anaafadhali kuliko Wengine ikampa kuongoza Kitengo cha Propaganga.Najiuliza,Waliobaki wanaLaana Kiasi gani>
 
Back
Top Bottom