Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu zangu wana JF na walio wapigania haki wa ukweli, nikiwa binadamu mwenye akili timamu na aliyekuwa kiongozi{wa vijana} na mfuasi mkubwa wa chama cha MAPINDUNZI nimeamua kuachana na siasa za...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
http://www.youtube.com/watch?feature=player_detailpag e&v=nPHU0Msrt6k#t=36s
1 Reactions
0 Replies
2K Views
SABABU ZA KUPIGWA MAWE AU KUHARIBIWA MALI WANAHABARI WA VYOMBO VYA HABARI VYA CHAMA NA SERIKALI HIZI HAPA: Katika vurugu zilizotokea hivi karibuni huko Mtwara, mmoja wa waathirika wa vurugu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Huyo mtu ni mwana CCM kabisa na mzee wa siku nyingi tukiwa kwenye gari kuelekea kazini, nikawa nimenunua gazeti yeye akaniuliza kuna habari gani mpya , ni kamwambia habari ya mlipuko wa Arusha na...
9 Reactions
28 Replies
4K Views
CCM NI MTUHUMIWA NAMBA MOJA . Mimi NI MTANZANIA kijana wa umri wa miaka zaidi ya kumi nane, kijana mwenye elimu ya chuo kikuu. Leo asubuhi mida ya saa tano nilikuwa na fuatilia bunge na ndipo...
7 Reactions
156 Replies
14K Views
BONYEZA uangalie Bomu lilivyo ripuka swahilivilla: Angalia kwa makini Video ya mlipuko wa bomu uliotokea juzi katika viwanja vya Soweto kwenye mkutano wa Chadema . Tuesday, June 18, 2013...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
JF Senior Expert MemberArray Join Date : 1st November 2010 Posts : 461 Rep Power : 530 Likes Received104 Likes Given2 Bajeti 2013/2014 kuleta maisha bora kwa kila mtanzania mshahara wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kufuatia janga la bomu huko Arusha eneo la Soweto....Je Mh JK ataahirisha kuhudhuria mkutano wa G8 kama alivyofanya wakati wa bomu lilipolipuka katika kanisa la Olasiti huko huko Arusha? Nauliza?
0 Reactions
8 Replies
1K Views
TAARIFA YA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA Kila mwaka tarehe 16/6 watoto wote Afrika huadhimisha siku ya mtoto wa afrika ikiwa ni Sehemu ya kumbukumbu ya kuwakumbuka watoto wenzetu waliouawa kikatiri...
3 Reactions
5 Replies
14K Views
Chaguzi ndogo za udiwani zilizofanyika sehemu mbalimbali ziligubikwa na vurugu wakati hali ilikuwa mbaya zaidi huko Makuyuni mkoani Arusha ambako Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari...
0 Reactions
39 Replies
5K Views
Wana jamii, leo ndiyo siku ambayo hatma ya maisha ya mtanzania kiuchumi kwa mwaka wa fedha 2013/2014 inaenda kuainishwa na waziri wetu wa fedha dr W.Mgimwa pale atakapo wasilisha bajeti ya...
12 Reactions
396 Replies
32K Views
CCM wameanzisha kikosi kazi kinacho anzisha thread hapa jamvini zenye mlengo wa kuwadhihaki wahanga wa BOMU la jmosi na viongozi wa CHADEMA.Nia yao hasa ni kutaka ku pre-determine reaction ya...
6 Reactions
16 Replies
2K Views
Nimeikopi toka kwenye fb wall ya Kamanda.Benny Mao . Nadhani ni uchambuzi unaostahili kuwa pinned kwenye Jukwaa la Siasa Jisomee: Tathimini na uchambuzi wa matokeo ya uchaguzi wa...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Polisi wameruhusu watu waingie uwanjani Gari la matangazo limeshawashwa
0 Reactions
16 Replies
2K Views
kila kukicha tanzania kunabadilika ungaidi unatengenezwa hivi 1. Serkali dhaifu isiyojali wananchi wake 2. Makundi ya watu kukandamizwa yakidai haki zao 3.vyombo vya dola kutumika kulinda maslahi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Bonyeza Vidio MICHUZI: KIJIWE CHA UGHAIBUNI
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF, Sasa imethibitika pasipo shaka kuwa serikali ya CCM haiku tayari uchaguzi ufanyike Arusha. Serikali inafanya hivyo kwa kutumia kisingizio kuwa Arusha hakuna amani na hakuna...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Akijibu swali aliloulizwa na waandishi wa habari,kama Chadema iko tayari kupokea zawadi sh milioni mia kutoka serikalini,kwakuwa CDM wamesema wana Video inaonesha mauaji yalivyofanyika huko...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wale vijana 500 waliopewa mafunzo ya kijeshi mbeya umewaacha solemba,hawana kazi za kufanya. Umetuachia shida mbeya yetu,ilitulia sasa tutaanza kupigwa nondo, mbeya tulisha sahau suala la nondo...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
1. Naomba Tume ya warioba iongezee maneno hapo kwenye Uhuru wa Kwenda Utakako bila bughudha, yaani iongelee kwa undani uhuru wa abiria. Hapa nchini ni tabia iliyojengekeka kwa abiria kutokuwa na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom