Picha: Pinda amtembelea NASARI na NAMELOK hospitali Arusha; Lowassa pichani yasemekana akimbia pigo


nngu007

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Messages
15,871
Likes
90
Points
145
nngu007

nngu007

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2010
15,871 90 145
[h=3]MTOTO WA MKULIMA MIZENGO PINDA AWAJULIA HALI WABUNGE WA CHADEMA NASARI, NAMELOK HOSPITALINI ARUSHA.[/h]


[h=3][/h]
Waziri mkuu, Mizengo Pinda akimpa pole mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nasari ambaye amelazwa katika hospitali ya Serian Arusha anakotibiwa kwa madai ya kushambuliwa na wananchi eneo la Makuyuni. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri mkuu, Mizengo Pinda akimpa pole Mbunge wa Viti Maalum, Namelok Sokoinine aliyelazwa kwenye hospitali ya Serian Arusha baada ya kuvunjika mguu akiwa nyumbani kwake. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

[h=3]HII NI TASWIRA YA VURUGU ZA ARUSHA BAADA YA POLISI KUWATAWANYA WANANCHI ENEO LA SOWETO HALI ILIKUWA HIVI.[/h]

ASKARI WAKIWA WAMEIMARISHA ULINZI.
VIZUIZI MBALIMBALI VIKIWA VIMEWEKWA BARABARANI WAKATI WA VUR
UGU ZA WANANCHI NA POLISI JIJINI ARUSHA LEO.

VIZIWIZI MBALIMBALI VIKIWA VIMEWEKWA BARABARANI WAKATI WA VURUGU ZA WANANCHI NA POLISI JIJINI ARUSHA LEO.
MOTO UKIWA UNAWAKA KATIKATI YA BARABARA WAKATI WA VURUGU HIZO
WASAMALIA WEMA WAKIMSAIDIA MTOTO BAADA YA KUTOKA VURUGU HUKU NYUMA YAO KUKIWA NA KUNDI KUBWA LA ASKARI.
Sehemu ya umati wa waombolezaji wa wahanga wa mlipuko wa bomu wakiwa katika viwanja vya Soweto mjini Arusha wakiwa kwenye maombolezo muda mfupi kabla ya polisi kuwatawanya na kuwapiga mabomu ambapo inadaiwa kuwa watu wawili wamepoteza maisha na majeruhi wasiojulikana huku wabunge wawili wakidaiwa kushikiliwa na jeshi la polisi akiwemo Mh Tindu Lissu na Mh Mustapha Akoonay kutokana na vurugu hizo.
MHE TUNDU LISSU HII NI PICHA YA MAKTAABA .


[h=3] EDWARD LOSSAWA ANUSURIKA KUUAWA.[/h]


WAZIRI MKUU MSTAAFU EDWARD LOWASSA.WW.JUMAMTANDA.BLOGSPOT.COM 
KATUMBACHAKO

KATUMBACHAKO

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2012
Messages
394
Likes
12
Points
35
Age
29
KATUMBACHAKO

KATUMBACHAKO

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2012
394 12 35
Amani imetoweka! No difference btn Tanzania and Syria
 
K

kinauche

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
7,684
Likes
850
Points
280
Age
68
K

kinauche

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
7,684 850 280
Ina maana hadi waziri mkuu anayembelea majeruhi spika na naibu spika hawajui kama kuna wabunge waliolazwa hospitalini? Huyu mama ana roho mbaya komesha. Yaani ni shabiki wa chama kiasi hicho? Walau hata angejinafikisha. Si mbunge wake anaumwa bhana? Sasa anashindwaje kumpa pole. Ukistaajabia ya Musa ...

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
nngu007

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Messages
15,871
Likes
90
Points
145
nngu007

nngu007

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2010
15,871 90 145
Amani imetoweka! No difference btn Tanzania and Syria
Ni Kikwete na kundi lake kudai AMANI ni MABABU zake walileta akaamua kutoangalia MISINGI gani NYERERE akuutumia ili kufurahisa upande mmoja wa wapiga kura ambao wanadhani Nyerere aliwanyima ELIMU zaidi ya WAKOLONI

Inasikitisha this is what goes around comes around
 
Ablessed

Ablessed

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2013
Messages
4,620
Likes
121
Points
145
Ablessed

Ablessed

JF-Expert Member
Joined Mar 19, 2013
4,620 121 145
Mbona sielewi Lowasa ataka kuuawa kwa sababu gani tena.
 
K

kinauche

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
7,684
Likes
850
Points
280
Age
68
K

kinauche

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
7,684 850 280
Mbona sielewi Lowasa ataka kuuawa kwa sababu gani tena.
Ebu fungukeni. Amekosa nini rais mtarajiwa?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Songoro

Songoro

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2009
Messages
4,129
Likes
51
Points
0
Songoro

Songoro

JF-Expert Member
Joined May 27, 2009
4,129 51 0
Kikwete una boa sana kuvumilia wavuta Bhangi mpaka wanavunja Amani, tangu umeingia U Amiri Jeshi wako tunauoana kwenye kuKagua Gwaride na kugawa Nishani kwa wanajeshi, Onesha nguvu ulizopewa na Katiba, Mkapa alipo Beep kwa Katibu mtendaj wa Chama Mzee Kolimba na Mkurugenzi mkuu wa Usalama wa Taifa Mzee Imran Kombe akina Mrema walijua jamaa yupo Serious hatanii!
 
B

Bangoo

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2011
Messages
5,600
Likes
6
Points
135
B

Bangoo

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2011
5,600 6 135
Hao wananchi walivyo wengi ccm lazima wapagawe!
 
A

asakuta same

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2011
Messages
15,035
Likes
99
Points
0
A

asakuta same

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2011
15,035 99 0
edward lowassa anusurika kuuawa wapi?
halafu hatutaki picha za maktaba hapa.
 
Ablessed

Ablessed

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2013
Messages
4,620
Likes
121
Points
145
Ablessed

Ablessed

JF-Expert Member
Joined Mar 19, 2013
4,620 121 145
Ebu fungukeni. Amekosa nini rais mtarajiwa?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Nami najiuliza ni kwanini , tusubiri anaejua atujuze maana nimeona hapo juu ya picha yake kuna hilo la kutaka kuuawa, nimebaki na maswali mengi kuliko majibu.
 
Eng. Y. Bihagaze

Eng. Y. Bihagaze

Verified Member
Joined
Sep 8, 2011
Messages
1,481
Likes
37
Points
145
Eng. Y. Bihagaze

Eng. Y. Bihagaze

Verified Member
Joined Sep 8, 2011
1,481 37 145
Mie sijacomment Chochote mpaka Muda huu tokea majuzi, naona watu wamejiandaa kung'oa post Za baadhi yetu.. Hatuweki petrol Kwenye Moto, moto wenyewe umeshajichochea Hata ukiweka petrol ni kuizima kasi yake isiyodhibitika..

Ukiona raia ameshika Jiwe, anakimbiza GARI la Polisi lenye Askari wanne outshoot, wawili wana Silaha Za kutupia mabom ya machozi na wawili wana MSG flat-on, na raia haogopi analikimbiza tu GARI huku akitukana Na GARI linamkimbia sipati Picha raia huyu akipewa Silaha atafanyaje...! Ushenzi wa UONGOZI Wa Nchi hii Kwa sasa Umetudumbukiza hapa..si rahisi Jiwe likabaki juu ya Jiwe..!! ALUTA.. Embu nikae kimya kwanza..ila nasema CCM Na Watoto wa Vigogo mko tayari kuona Damu zisizo na Hatia zinamwagika kuliko kuachia Demokrasia ichukue mkondo wake..
 
Mfamaji

Mfamaji

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2007
Messages
6,612
Likes
685
Points
280
Mfamaji

Mfamaji

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2007
6,612 685 280
Na huyo Namelo alinjukia mguu huko Makuyuni au? Maana alikuwa LOWASA TEAM
 
Kibanga Ampiga Mkoloni

Kibanga Ampiga Mkoloni

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2007
Messages
16,687
Likes
3,243
Points
280
Kibanga Ampiga Mkoloni

Kibanga Ampiga Mkoloni

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2007
16,687 3,243 280
Inasemekana wakati mabumu yanaanza alikiuwa anapita mitaa hiyo kwahiyo na yeye chamoto alikiona mzee Mamvi!
 
Nduka

Nduka

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2008
Messages
8,520
Likes
839
Points
280
Nduka

Nduka

JF-Expert Member
Joined Dec 3, 2008
8,520 839 280
Sijapata kuona makamanda wazembe kama hao waliomkosa Lowassa, pamoja na uzee na ugonjwa wanamkosa vipi? Je ingekuwa wanatakiwa wamsurubishe kamanda kijana kama kama Nassari si wangeishia kuona upepo tu¿
 

Forum statistics

Threads 1,275,055
Members 490,894
Posts 30,531,653