Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

  • Closed
Hadi sasa watanzania wamethibitisha kuwa nchi hii ilianza na Mungu, inaendelea na Mungu na itamaliza na Mungu. -Propaganda za ukabila zimeshindwa sana kila upande zimepigwa vita,sasa hivi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mida ya asubuhi hii nilikuwa napita maeneo ya central police, nikabahatika kubadilishana mawazo na baadhi ya askari polisi. Askari moja alinidokeza kuwa hii game ilipangwa na serikali ya ccm...
22 Reactions
355 Replies
27K Views
Jana nimeshangazwa na kitendo cha viongozi wetu wa kitaifa kama mh.Mbowe,Lema na Sugu walipotimua mbio ilihali wanajua kuwa katika mapambano ni viongozi ndjo wanapaswa kuwa mstari wa mbele kama...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Tanzania imekwama tulipo si pazuri tena nawatahadharisha mlitambue hilo watanzania wenzangu. Kinachofanyika sasa ni kama kuwaandaa watu waanze kuwa waasi ndani ya taifa lao. zinajengwa chuki dhidi...
0 Reactions
2 Replies
850 Views
Inasikitisha kuona watu wasio na hatia wanauwawa,polisi wanatumia nguvu kubwa kutawanya watu ambao kimsingi walikuwa hawafanyi fujo,hii inatia shaka pale wananchi watakapoamua kupambana na polisi...
0 Reactions
0 Replies
901 Views
Katika haya yanayotokea Kila siku katika nchi yetu Maaskofu na Mashehe mnatakiwa kutoa kauli Kali kwa serikali hi ya Kikwete ambayo imeshindwa kulinda Amani ya raia wake. Mnapokaa kimya bila...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mtakumbuka Iddi Simba alifunguliwa mashitaka ya uhujumu uchumi hivi karibuni ajabu ya serikali ya CCM wala hakuwekwa ndani wala kupelekwa kituo cha polisi wakati kesi ya uhujumu uchumi moja kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mabalozi 11 wa mashina ya ccm jijini arusha pamoja na waachama 123 wa ccm leo wamekiama chama cha ccm mabalozi 10 kati ya 11wamejiunganachama cha chadema mmoja ameamua kuachana na siasa na...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Wana Jf, I stand to be corrected. Binafsi sijamsikia mahali popote kiongozi wa kampeni kwa upande wa CCM mkoani Arusha akitoa walau pole kwa wafiwa, majeruhi au kwa 'Watani' zake CHADEMA. Hii...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Wapendwa watanzania napenda kutoa tafakari zangu kwa kuhusisha mlipuko wa bomu la arusha na mjadala wa bajeti unaendelea hivi sasa kule bungeni. Wengi wameuhusisha mlipuko ule na nia ya kuvuruga...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwananchi Leo tarehe 19/6/2013
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ngd wanajamii, hivi kwaniini Tanzania viongozi hawana tabia ya kuwajibika? Au ndio kulewa madaraka ya kuteuliwa? Inasikitisha sana kuona waziri huyu kutokuwajibika hasa baada ya mfululizo wa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wana jamvi? Kwa hali ya uvunjifu wa haki za binadamu ilivyofikia nashauri kwa jamii ya kimataifa iingilie kati na kuzuia passport za kuasafiria za baazi ya viongozi wa CCM mfano Mwigulu na...
0 Reactions
0 Replies
941 Views
Kufuatia matumizi ya nguvu unayowaamrisha polisi wako na baadaye kukamata viongozi wa chama cha Demokrasia na maendeleo na kuwafikisha mbele ya mahakama, nina maswali matano ya kukuuliza ndugu IGP...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ikumbukwe kuwa CCM kabla ya uchaguzi mdogo wa udiwani ilikuwa inashikilia kata 20, Chadema 1 na TLP kata 1... Lakini baada ya Uchaguzi wa kata 22.. CCM imetetea kata 16 na kuanguka 4.. But Chadema...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Siku si nyingi zilizopita tangu Wabunge wa Chama cha Upinzani walipotangaza kutohudhuria vikao vya Bunge ili wakaungane na Wananchi wa Arusha katika shughuli za kuaga za miili ya marehemu wahanga...
1 Reactions
2 Replies
859 Views
Mbunge Joseph Mbilinyi Amepata ajali akiwa njiani kwenda Arusha. More details to followWanabodi, Nimepata taarifa kuwa Mbunge wa Mbeya Mjini Mh. Joseph Mbilinyi (Sugu) amepata ajali mbaya ya...
0 Reactions
124 Replies
14K Views
Ndugu wana JF, ni mejitahidi sana kunyamaza lakini sasa naona niongee maana najisikia kama vile moyo wangu unataka kuripuka kwa jinsi hali inavyoonekana. Kwanza kabisa napenda kutoa pole kwa...
15 Reactions
33 Replies
4K Views
Inaumiza sana. Ukisikia watu walioumia tukio la kinyama Arusha inaumiza. Mtoto anaona Mtu aliyevaa nguo za polisi anampiga Risasi, mtoto huyu daima atawaonaje polisi. Mpaka lini unyama huu...
10 Reactions
83 Replies
10K Views
Back
Top Bottom