Bomu lilirushwa likaangukia hapa

Bomu lilirushwa likaangukia hapa

Crashwise

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
22,227
Reaction score
8,760
CIMG6415x.jpg
Watoto waliokaa hapo juundiyo waliokufa na baadhi kuumia vibaya kwa bomu, ndiyo lilipo angukia..
CIMG6417x.jpg
kutoka kushoto mwenye-tshirt nyekundu ameumia vibaya sana na wapili kutoka kwake ndiyo Judy aliekufa pale pale na alie shika laptop nimwana JF mwenzetu....
 

Attachments

  • CIMG6417x.jpg
    CIMG6417x.jpg
    252.1 KB · Views: 2,253
Kwa maana hiyo Mh. Lukuvi anataka kutuaminisha kuwa CDM ilitaka viongozi wake wote wajiuwe ili wapate kura za huruma kutoka kwa wananchi. Naona dalili zote za nchi hii kuingizwa kwenye machafuko kwa kulazimishwa. Dhamana ya hii nchi bado ipo mikononi kwa watawala wenye dola halali kikatiba. Sasa sisi wananchi IMANI yetu tuifukize wapi?
 
lukuvi ni shetani.....akipinda chama chake kuliko hata mungu
 
Serikali inakosaje huruma na kupofushwa na uadui wa kisiasa jamani? Hawa watu wana kosa gani kuisikiliza CHADEMA ilhali mfumo wa vyama vingi umeruhusiwa kisheria? Waufute basi kama hawataki kushindwa
 
Damu ya huyu mama na wengine zitaimaliza kabisa CCM. Haitachua muda mwingi hiki chama na wadhalimu wake watabakia historia katika nchi yetu. Tuzidi kumwomba Mungu. Yeye hapangiwi cha kufanya ila anafanya kilicho cha haki.
 
Very clear.......hatuhitaji miliions tunahitaji kusamamisha upuuuzi huu wa kuuwana
 
Hivi MUNGU yupo??? na kama Yupo kwanini anaacha watu wake wahujumiwe na kuaawa kikatili namna hii??? Mbona biblia Inasema wazi watawala wa zamani walivyokutana na nguvu ya MUNGU na kushindwa hila zao. Mbona kuna waliopigwa mapigo saba na wakapotelea mbali??

MUNGU waonyeshe watu wako kuwa upo na hakuna aliye juu zaidi yako. hujuma hizi zinazopelekea mauaji kwa watu wasio na hatia MUNGU Tunahitaji majibu. Tuondolee watu hawa wanaosababisha huzuni mioyoni mwetu kwa kutuulia wapendwa wetu.

Maombi haya tuyaendeleze na MUNGU atajibu si muda mrefu.
 
"Tutaona, tuko Arusha kwa kazi maalumu kuhakikisha CCM ina shinda hata kama wananchi hawata tuchagua, na tutahakikisha wanaingia gharama kubwa ya kuishabikia CHADEMA." Mtela Mwampamba siku 2 kabla
 
Hivi hawa waliotupa mabomu walitaka waue watu wote hawa ili iweje?!!! Take note: Miguu ikipita katikati ya chemba za kinyesi ambazo ziko kwenye ardhi oevu anayepita hapo anaweza kuzama.
 
"Chadema ilianza na Mungu, Ipo na Mungu, na Itaendelea kuwa na Mungu" - Dr. Slaa.

Poleni sana Watanzania wote mliokumbwa na kadhia hii.
 
RIP Kamanda;
Myaonapo haya itambueni kuwa ukombozi u-karibu!
Mwisho wa manyanyaso na uonevu umekaribia sana sasa kuliko jana!
Tuendelee kushikamana bila hata kujali itikadi zetu za kisiasa au kidini!
Yana mwisho haya, na mwisho wake umekaribia sana.
Pole kwa majeruhi na wafiwa wote.
 
Hebu tungejaribu kuzikusanya hizi picha za baada,kabla na wakati wa tukio lenyewe toka kwa wadau mbalimbali waliokuwepo eneo la tukio si ajabu inaweza kutupatia mwanga juu ya kummbaini muhusika hasa wa hili tukio. Siasa za Tanzania zinatisha sana kwa kweli na huku tunapoelekea tunaiweka amani rehani wallahi!!
 
Aliyerusha alitokea kwa wapi mbele ya huo umati au? na kwanini alirusha upande wa wa wananchi hakurusha jukwaa kuu au alilenga kurusha jukwaa kuu lakini bomu halikufika?

Wenzetu wakichunguza wanaenda sambamba na kuangalia MOTIVE.
 
Hivi MUNGU yupo??? na kama Yupo kwanini anaacha watu wake wahujumiwe na kuaawa kikatili namna hii??? Mbona biblia Inasema wazi watawala wa zamani walivyokutana na nguvu ya MUNGU na kushindwa hila zao. Mbona kuna waliopigwa mapigo saba na wakapotelea mbali??

MUNGU waonyeshe watu wako kuwa upo na hakuna aliye juu zaidi yako. hujuma hizi zinazopelekea mauaji kwa watu wasio na hatia MUNGU Tunahitaji majibu. Tuondolee watu hawa wanaosababisha huzuni mioyoni mwetu kwa kutuulia wapendwa wetu.

Maombi haya tuyaendeleze na MUNGU atajibu si muda mrefu.

Kwa imani zetu tufunge......kwa kufanya maombi hakika hawa wauaji waaadhibiwa na Mungu adhabu ambayo hatujapata ona mfano wake.........wanaweza hata wakawa kwenye mkutano au kikao Mungu akawaadhibu wote....hata kwa tetemeko la Ardhi! Hawawezi kukwepa ghadhabu ya Mungu wauaji wote waliohusika na tukio hili.
 
Back
Top Bottom