Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Nimesoma hii habari hapa:http://www.freemedia.co.tz/daima/2008/6/25/habari22.php yenye kichwa cha habari hapo juu. Ni vyema suala hili likajadiliwa, mwenye ile habari ya awali ya nukuu ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kutokana Na Upuuzi Unaoendelea Tanzania Sasa Nimeazimia Kuomba Umoja Wa Mataifa Watutumie Jeshi Ili Kuwakamata Mafisadi. Maana Mwanyika Na Mwema Wameshashindwa Kazi. Ripoti Nne Za Madini...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hapa naona kama tunaletewa kiini macho hivi, Juzi Ludovick kasema Mkulo mwenyewe aelezee watu kayatoa wapi hayo kuwa pesa za EPA si za serikali wala BOT. Leo Ludovick kama vile kaletewa maono...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hii nimeitoa Tanzanet. Ina somo zuri toka kwa balozi wa zamani UK. Somo kama hili linaweza kuwa na maana hata hapa JF kama baadhi ya wakubwa ambao wako hapa wangelikuwa na courage ya kuweza kutoa...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Hivi karibuni nimekuwa najiuliza ni vipi nchi yetu inaweza kushirikisha vijana waliomaliza Form VI katika maendeleo ya jamii. Vijana wamalizapo Form VI huwa wana gap ya zaidi ya miezi nane kabla...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Kwa vile nimekuwa mtu wa mitini mara nyingi, inawezekana kuwa jambo hili limekisha ongelewa hapa kijiweni. Najua kuwa mwaka jana tuliwahi kuwa na thread ya kutathmini utendaji wa serikali ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Leo baada ya Lowassa kutoka kwenye Ukumbi na hasa baada ya maneno ya Dr. Mwakyembe ni wazi kuwa hawa ndugu zetu hawaaminiani tena. Chama chetu ambacho kimetulea na kutufikisha hapa; chama ambacho...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Juni 26 ni siku ya kupiga vita matumizi ya Dawa za kulevya. Nakumbuka Muungwana aliwahi kutangaza kuwa atakuwa ngangari katika kupiga vita dawa za kulevya na akasema majina ya vigogo wanaofanya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
The International Monetary Fund (IMF) has warned the United Republic of Tanzania of the negative impact of the rising oil prices on the country's economic development. The IMF said in its recent...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Seems trend ni same na hapa kwetu bara maana 31% of our tax collections ni exemptions,mwenye data atuletee maana najua hizo ni public records,so sad maana ni rushwa tuu na ujanja ujanja...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani mimi sasa nachanganyikiwa na sielewi kabisa nini ni nini nani ni nani na nani anatakiwa awe nani. Lilipotokea suala la EPA ambapo mabilioni ya Watz yamethibitika kuibiwa, serikali yetu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Na. M. M. Mwanakijiji BILA shaka kuna watu ambao baada ya uchunguzi kufanyika, watawajibishwa kutokana na kuporomoka kwa jengo la ghorofa kumi jijini Dar es Salaam Jumamosi iliyopita...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
kuna habari mbaya juu ya kuanguka kwa jengo la ghorofa tisa, karibu na elia complex barabara ya titi mohamed dsm, inasemekana jengo hili liliangukia pia jengo lingine. maafa yawezekana kuwa ni makubwa
0 Reactions
112 Replies
19K Views
Habari Leo Baadhi ya wabunge wa Mkoa wa Tabora wametishia kutounga mkono bajeti za baadhi ya wizara kutokana na kitendo cha serikali kushindwa kutekeleza ahadi zake hasa katika ujenzi wa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu tafadhali soma habari ifuatayo: Zimbabwe's Mugabe refuses to bow to world pressure By ANGUS SHAW, Associated Press HARARE, Zimbabwe - Saying the world can "shout as loud as they like,"...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Global Warming as Security Issue: Intelligence Report Sees Threat By SIOBHAN GORMAN June 26, 2008; Page A10 WASHINGTON -- One of the biggest conundrums facing lawmakers is that...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa CCM hii, tutarajie kuona vituko vingi zaidi Johnson Mbwambo Juni 25, 2008 Raia Mwema~Muungwana ni Vitendo WIKI kadhaa zilizopita Jaji Joseph Sinde Warioba, alitamka katika...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Buriani CCM, salamu nyingi kwa KANU, UNIP Samson Mwigamba Tanzania Daima~Sauti ya Watu TULIFUNDISHWA katika somo la Kiswahili tulipokuwa darasa la tatu wakati huo, kwamba kuna maneno ya...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Na. M. M. Mwanakijiji Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania YAH: Iongoze Afrika kupinga utawala wa kidhalimu wa Robert Mugabe Naomba husika na kichwa...
0 Reactions
46 Replies
7K Views
Speech given by British High Commissioner Philip Parham at the Queen's Birthday Party, Dar es Salaam, 7 June 2008 English Kasia and I are honoured and delighted to welcome you all here to...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Back
Top Bottom