• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS
Quemu
Reaction score
81

Profile posts Latest activity Postings About

 • Quemu
  Karibu Kelly01... unanipa hongera ya nini tena?
  Binti Maringo
  Kho kho!...hope all is well and congrats....PM!..
  Kuhani
  Nambie Mkuu QM,

  Inakuwaje?

  Mimi niko poa, sikukuu ndo hiyo tena, kilindi cha recession ndo kimegubika maeneo eneo, you know how it is, basi ndo hivyo tena, Mkuu. Jamaa mmoja wa hapa husema mambo si mambo mkulima kala mbegu. Lakini ni poa, wengine tulikotoka huko vi-recession na vi-depression vipo constantly. Kwa hiyo ni poa tu yani.

  Sikukuu njema mwanangu QM.

  Much love bro.
  Steve Dii
  Mkulu, Nakutakia sikukuu njema. Uwe wa mafanikio. steved
 • Loading…
 • Loading…
 • Loading…
Top