Mgoyangi
Senior Member
- Feb 6, 2008
- 184
- 9
Juni 26 ni siku ya kupiga vita matumizi ya Dawa za kulevya. Nakumbuka Muungwana aliwahi kutangaza kuwa atakuwa ngangari katika kupiga vita dawa za kulevya na akasema majina ya vigogo wanaofanya biashara hiyo haramu anayo na tukasubiri kishindo, lakini hatukioni.
lakini pia kuna habari kuwa kuna vigogo wengi wankiwemo wanasiasa wanafanya biashara hii! Pia data kuhusu biashara hii hazifahamiki sana ukiacha hizi za Polisi kukamata vidagaa. Pia nimetafuta kujua vijana wangapi wa kitanzania wameingizwa katika biashara hii ya kusafirisha dawa hizi ni wangapi na huko nje ya nchi wangapi wanaozea kwenye jela wakati waliowatuma wanatanua kwenye viyoyozi, sijafanikiwa kupata. Akina nani/wangapi pia wanafanya biashara hii Bongo, pia sijapata. Mwenye nondo naomba anitupie.
Asante