Ombi Umoja Wa Mataifa Kuhusu Ufisadi

peacekwawote

Member
Jun 21, 2008
11
0
kutokana Na Upuuzi Unaoendelea Tanzania Sasa Nimeazimia Kuomba Umoja Wa Mataifa Watutumie Jeshi Ili Kuwakamata Mafisadi. Maana Mwanyika Na Mwema Wameshashindwa Kazi.
Ripoti Nne Za Madini Zimeshakamilishwa Na Kupelekwa Kwa Wale Jamaa Tunaowapaga Nchi Wachezee;wapi?
Ripoti Ya Lowasa Kuhusu Maghorofa Iliishia Wapi?
Tena Wananiudhi,ati Pesa Za Epa Si Za Serikali?
Basi Kama Serikali Inaweza Kuchezea Kodi Zetu Ili Kuchunguza Upotevu Wa Pesa Za Watu Binafsi Basi Kila Mwananchi Atakayekuwa Na Mashaka Na Akaunti Yake Serikali Imletee Wakaguzi Toka Nje
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom