Hata 1. Kauliwa na huko anatesekaMbona sources nyingine zinasema ni 9 ?
Hamas wamewavizia, na kuwaua wanajeshi 9 wa Israel na wengine kujeruhiwa wengi idadi ya vifo inaweza kuongezeka
Wanaukumbi. #BREAKING Vikosi 18 vya Hamas ambavyo Netanyahu viliharibu kaskazini na kusini mwa Gaza vilitangaza kuwa 'vimevamia, kuwaua wanajeshi 9 na kuwajeruhi wengine, kulenga vifaru 3 vya Merkavah na kulipua mabomu yaliyotekelezwa na vikosi vya uokoaji vilivyofuatana' huko Al-Zinah...www.jamiiforums.com
Unamjua kahtaan wewe?Nawe ulikua house girl huko?
Mimi mtanzania na nimeishi Oman.
Leta ushahidi hapa kutoka serikalini kuwa kuna house girl aliwahi kuteswa Oman.
Balozi wa Tanzania alifanya ziara kwa wale wote wenye kujirekodi unafiki akatoa taarifa kwenye vyombo vya habari kuwa walikuwa wote Waongo Wanaotafuta umaarufu wa kijinga kwenye mitandao.
Matokeo yake wakafukuzwa kazi.
Leo hii wako buza wameshapigwa mimba na wavuta bange.
Unafiki umewatia adabu .
Ile kula bure na kulala bure na mshahara 700,000 kwa mwezi imeisha fasta.
Anateseka wapi au unaeteseka ni wewe Mdigo uliyepuliziwa ujinga.Hata 1. Kauliwa na huko anateseka
Early info zilidai ni 9 lakini baadae vyombo kama aljazeera wamecomfirm kuwa ni 14Mbona sources nyingine zinasema ni 9 ?
Hamas wamewavizia, na kuwaua wanajeshi 9 wa Israel na wengine kujeruhiwa wengi idadi ya vifo inaweza kuongezeka
Wanaukumbi. #BREAKING Vikosi 18 vya Hamas ambavyo Netanyahu viliharibu kaskazini na kusini mwa Gaza vilitangaza kuwa 'vimevamia, kuwaua wanajeshi 9 na kuwajeruhi wengine, kulenga vifaru 3 vya Merkavah na kulipua mabomu yaliyotekelezwa na vikosi vya uokoaji vilivyofuatana' huko Al-Zinah...www.jamiiforums.com
Aljazeera si wamefukuzwa Gaza?Early info zilidai ni 9 lakini baadae vyombo kama aljazeera wamecomfirm kuwa ni 14
Kenda nchi ya watu kuua watoto. Anateseka huko alikoAnateseka wapi au unaeteseka ni wewe Mdigo uliyepuliziwa ujinga.
Alete wapi?
Matusi ni ibada kwenu wagalatia.Nawe ulikua house girl huko?
Unateseka ukiwa wapiWe mpuuzi umekula daku?
Watu wanafinywa huko saa hii we unaleta upumbafu
We mkolosai husikii raha mpk umtaje mufti kahtaan.
Neno Ajemi asili yake ni kutoka ktk Lugha YA KIARABU. ( العجميه.) Na kiswahili maana yake ni (WASIOKUWA WAARABU)
SAsa vipi waarabu na WASIOKUWA WAARABU wakawa sawa?;🤣🤣
Ndo maana waungwana wanasema USINGIZI WA MWENYE ELIMU ni BORA kuliko ibada ya siku nzima ya MJINGA.
Alete wapi?
Hawa watoto wa kanisani hawana lolote zaidi ya chuki zilizoko ndani ya damu zao.
Wao wala hawabagui nani wa kuchukia muhimu awe Muislamu tu.
Biashara ya UTUMWA wametuletea Wazungu na Meli ya kwanza KUBEBA WATUMWA illitwa (MV JESUS).
USHAHIDI HUU ulioandikwa na hao hao WAZUNGU 👇
The Good Ship Jesus | The Beginning of the Slave Trade
Jesus of Lubeck (Name of first Slave Ship to Grace the America’s.)What has come to be referred to as “The Good Ship Jesus” was in fact the “Jesus of Lubeck,” a 700-ton…kathrynmckinney.wordpress.com
Leo Wazungu wanalazimisha NDOA ZA JINSIA MOJA DUNIA NZIMA na PAPA WA VATICAN KAUNGA MKONO LAKINI Huwezi kuona huyo Embezzler au mgalatia yyt anawalaumu au kuwakashifu WAZUNGU.!
Ingekuwa NDOA ZA JINSIA MOJA Zinatetewa na waarabu Hapa JF Kusingekalika.
Wangetukanwa WAISLAMU WOTE DUNIANI kuwa ni wachafu .
Lkn MZUNGU YEYE KWA HAWA WAKRISTO ni Mtu Saafi siku zote hata akiwapakaa kinyesi usoni.
Ukafiri ni balaa kubwa mno.