Israel imeshakubali kusitishwa vita, kinachosubiriwa ni jibu la Hamas

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,200
10,947
Katika hali ya kuchanganyikiwa na vita vya Gaza Israel imeelezwa kukubali kimsingi vita visitishwe ili irejeshewe mateka wake.

Hali ya kuchanganyikiwa kwa Israel kumeonekana hapo juzi ambapo iliwamiminia mabomu mazito kutoka angani na kuwapiga kwa risasi watu zaidi ya mia waliokuwa wakisubiri misaada huko kaskazini ya Gaza.

Kingine kinachowachanganya ni kuona maeneo yote waliyopita na kudhani wamewamaliza Hamas wamegundua bado yana wapiganaji hao wenye silaha na wanaoendelea kuleta maafa kwa askari wake.

Leo Jumamosi IDF imetangaza kupoteza askari wake watatu eneo la Khan Younis ambalo jeshi hilo lilikwishatoa tangazo la kudhibiti eneo hilo.

Maafisa wa ngazi za juu wa ikulu ya Marekani wamesema kimsingi Israel imeshakubali kusitishwa kwa vita kati yake na Hamas kwa muda wa wiki sita.Kipindi hicho kitaambatana na kuachiwa huru kwa mateka wa Israel wanaoendelea kushikiliwa na Hamas

Baada ya kueleza hayo afisa mmoja kati yao akaongeza kuwa mpira sasa uko kwa Hamas.

Six-week ceasefire ‘basically accepted’ by Israel, waiting on Hamas, US official says

US: Israel Has Agreed To The Framework For A Gaza Cease-fire, Now Awaiting Hamas' Decision

Vita hii Israel anepigwa saba na Hamasi na miji yake kuharibiwa.
Wasalaam aleikum
 
Kwani mwandishi.kosa ni nini? Yeye kaandika.habari.kwa mujibu wa source ambazo ameweka,.matatizo.ya akili na imani za watu.kuna uhusiano gani!!! Acha ujinga wewe.
Umeamua kuwa mtetezi wakili wa Shetani? huyo jamaa ametumia Taqiyya kwenye habari yake..Taqiyya ni uongo ulioruhusiwa na Allah pamoja na Mtume wake..yaani imani zao kudanganya sio dhambi alimradi wafanikiwe wanachokitaka iwe propaganda au kujipatia mali n.k

Mleta mada anasema Israel: nanukuu :-

''Katika hali ya kuchanganyikiwa na vita vya Gaza Israel imeelezwa kukubali kimsingi vita visitishwe ili irejeshewe mateka wake.
Hali ya kuchanganyikiwa kwa Israel kumeonekana hapo juzi ambapo iliwamiminia mabomu mazito kutoka angani na kuwapiga kwa risasi watu zaidi ya mia waliokuwa wakisubiri misaada huko kaskazini ya Gaza.
Kingine kinachowachanganya ni kuona maeneo yote waliyopita na kudhani wamewamaliza Hamas''

Hapo kadanganya... uongo huu ndio Allah anautaka na amefurahi huko alipo Mecca. Allah ni best deceiver Quran 3:54 Allah kwa kuwa ni Muongo tunatambua yeye ndie Iblis.. Kuran imeandika kuwa Aliyeshusha Quran ndie adui wa Jibril uislam ni uongo pia. full contradictions na Allah alisema mkikuta Quran ina contradiction basi sio yake... muslim wanatumia kwa kigezo gani quran waliyonayo sasa hivi? au huyo huyo bingwa wa uongo Allah anawachezea tu.. maana alisema kila kitu anapanga yeye sema Inshallah muslim.. mliokuwa program mnachezeshwa kama Game ya brick
 
Umetoka nje ya mada kabisa na unazungumza jambo usilolijua kuhusua Taqia.
Halafu unamtukana Allah anayekupatia riziki kuwa yuko Makka.
Jee si kweli kwamba Israel imetajwa kukubali kusitisha vita na inasubiriwa Hamas.
Huo uongo na unachokiita taqia viko wapi.
Wacha ujinga.!
 
Mimi ni mkristu wa RC, lakini kwenye dini hapana sioni uhusiano, tena waislam wa kweli ni wastaarabu sana
Tokea lini? Musilam wa kweli ni wale ISIS kule Iraq na Syria... wewe Mkatoliki wa aina gani? Unajua sababu ya Vita vya Crusade? bila vita ile Kusingekuwa na Catholic anymore.. even Mudy alishatuma barua kwa Utawala wa Roma kuwa Convert of die.. Utawala wa Uislam maeneo waliyoishi Waisrael na wakriso walilazimika kubadili dini kilazima au walipe kodi.. tokea lini Muslim aliyekamilika akawa na roho nzuri.. hawa tulio nao hawana nguvu tu ila wakishika dola vizuri ndio utawajua uislam ni nini? wanakuita hadi leo hii wewe ni kafiri yaani hukjui Mungu wao Allah wamepewa decree hadi kiama wasiwe marafiki nawe uonavyo sasa unavyoishi kwao ndio wanaita Taqiyya yaani uongo urafiki wa kinafiki kwa muda tu. na hii ipo mioyoni mwao... wakishasoma Madrassa tu ndio utawajua... Ukiishi Lushoto kule milimani wamewatenga Wakristo kuna chuki a wazi wazi
 
Mtu anayepigania ushoga anakuwa na akili nyingi sana au vipi ??
Mudy nyumbani kwake alikuwa anaishi na Shoga, Katika uislam adhabu ya Shoga ni kupigwa na Makobazi na Shoga la kiislam linaenda pepon kwa Allah, sababu Ushoga na Allah si Tatizo, Peponi kuna soko ambalo hamna kitu kinauzwa ila kuna picha za wanawake na wanaume only na wateja wa soko hilo ni wanaume, mteja akipenda picha basi anaingia na kumaliza haja zake.. so akikuta picha hata ya mudy anazama anafanya nae mapenzi gay sex... and uislam unapinga ushoga?
 
Katika hali ya kuchanganyikiwa na vita vya Gaza Israel imeelezwa kukubali kimsingi vita visitishwe ili irejeshewe mateka wake.
Hali ya kuchanganyikiwa kwa Israel kumeonekana hapo juzi ambapo iliwamiminia mabomu mazito kutoka angani na kuwapiga kwa risasi watu zaidi ya mia waliokuwa wakisubiri misaada huko kaskazini ya Gaza.
Kingine kinachowachanganya ni kuona maeneo yote waliyopita na kudhani wamewamaliza Hamas wamegundua bado yana wapiganaji hao wenye silaha na wanaoendelea kuleta maafa kwa askari wake.
Leo Jumamosi IDF imetangaza kupoteza askari wake watatu eneo la Khan Younis ambalo jeshi hilo lilikwishatoa tangazo la kudhibiti eneo hilo.
Maafisa wa ngazi za juu wa ikulu ya Marekani wamesema kimsingi Israel imeshakubali kusitishwa kwa vita kati yake na Hamas kwa muda wa wiki sita.Kipindi hicho kitaambatana na kuachiwa huru kwa mateka wa Israel wanaoendelea kushikiliwa na Hamas
Baada ya kueleza hayo afisa mmoja kati yao akaongeza kuwa mpira sasa uko kwa Hamas.

Six-week ceasefire ‘basically accepted’ by Israel, waiting on Hamas, US official says

US: Israel Has Agreed To The Framework For A Gaza Cease-fire, Now Awaiting Hamas' Decision

Wewe ni mpuuzi. Nyie ndiyo mnachochea vita
 
Mimi ni mkristu wa RC, lakini kwenye dini hapana sioni uhusiano, tena waislam wa kweli ni wastaarabu sana
Mtu anayepigania ushoga anakuwa na akili nyingi sana au vipi ??
Kwani mwandishi.kosa ni nini? Yeye kaandika.habari.kwa mujibu wa source ambazo ameweka,.matatizo.ya akili na imani za watu.kuna uhusiano gani!!! Acha ujinga wewe.
Hv nyie mna akili timamu kweli, kwan hamuon kuwa mada imeandikwa kishabiki ili kuikandamiza Israel.?

Mada zote zinazohusu hii vita ni lazima huyo mtoa mada ya kipuuzi awe upande wa Waislamu mana yeye n muislamu
 
Mimi ni mkristu wa RC, lakini kwenye dini hapana sioni uhusiano, tena waislam wa kweli ni wastaarabu sana
U-RC wako umeingiaje hapo, au unadhani ndio utaaminika wakati watu wanauona uhalisia duniani kote? Ni aidha umejitoa ufahamu, ama huujui uislam japo kidogo.

Hao waislam wa kweli ambao ni 'wastaarabu sana' wanapatikana wapi mkuu?

Unajua kama quran imejaa shari tupu na anayezitekeleza ndiye muislam wa kweli?

Kwa kukufahamisha tu, hao unaowaita waislam wa kweli kwa ustaarabu wao katika Islam ndio waislam wa mchongo.

Hayo mataifa ya kiislam yenye vurugu zisizoisha, makundi ya kigaidi yanayoua watu wa imani zingine, nk ndio waislam wa ukweli. Hao jirani zako wastaarabu hapo buza katika Islam wanatambulika ni wa mchongo sana.

Ama nimuite MK254 akupe maandiko ya quran kama supporting evidence
 
Ukiwa muislam ni lazima uwe na matatizo ya akili
Na ukiwa mkiristo moto unakungojea.

Usijaribu kuwatukana waislam vita ya Israel na Palestine Mayahudi siku zote ndio waliokuwa wanaanza kuwauwa waislamu wa palestina na kuwatesa ilifika mahali sasa wakasema basi, Israel haikuwa na eneo hata inch 1 katika ardhi ya palestina lakini leo wanataka ardhi yote waichukue wao baada ya kipande kidogo walichomilikishwa ni nchi US na Uingereza,

Jifunze hili siku zote: Ukiona muislamu anapigana jua haki yake imechukuliwa ama amedhulumiwa na kuonewa. fuatilia tokea dunia imeanza hakuna mahali muislamu alianzisha vita
 
Umeamua kuwa mtetezi wakili wa Shetani? huyo jamaa ametumia Taqiyya kwenye habari yake..Taqiyya ni uongo ulioruhusiwa na Allah pamoja na Mtume wake..yaani imani zao kudanganya sio dhambi alimradi wafanikiwe wanachokitaka iwe propaganda au kujipatia mali n.k

Mleta mada anasema Israel: nanukuu :-

''Katika hali ya kuchanganyikiwa na vita vya Gaza Israel imeelezwa kukubali kimsingi vita visitishwe ili irejeshewe mateka wake.
Hali ya kuchanganyikiwa kwa Israel kumeonekana hapo juzi ambapo iliwamiminia mabomu mazito kutoka angani na kuwapiga kwa risasi watu zaidi ya mia waliokuwa wakisubiri misaada huko kaskazini ya Gaza.
Kingine kinachowachanganya ni kuona maeneo yote waliyopita na kudhani wamewamaliza Hamas''

Hapo kadanganya... uongo huu ndio Allah anautaka na amefurahi huko alipo Mecca. Allah ni best deceiver Quran 3:54 Allah kwa kuwa ni Muongo tunatambua yeye ndie Iblis.. Kuran imeandika kuwa Aliyeshusha Quran ndie adui wa Jibril uislam ni uongo pia. full contradictions na Allah alisema mkikuta Quran ina contradiction basi sio yake... muslim wanatumia kwa kigezo gani quran waliyonayo sasa hivi? au huyo huyo bingwa wa uongo Allah anawachezea tu.. maana alisema kila kitu anapanga yeye sema Inshallah muslim.. mliokuwa program mnachezeshwa kama Game ya brick
weka akiba mkuu tunajua unautukana uislamu kwa sababu ni dini ambayo huenda hujaisoma na kuifahamu, au ulifahamu vibaya ndio mana tunakuomba sana kama huna cha kuandika katika hili kukaa kimya inatosha. Mungu atuongoze In Sha Allah.
 
Katika hali ya kuchanganyikiwa na vita vya Gaza Israel imeelezwa kukubali kimsingi vita visitishwe ili irejeshewe mateka wake.
Hali ya kuchanganyikiwa kwa Israel kumeonekana hapo juzi ambapo iliwamiminia mabomu mazito kutoka angani na kuwapiga kwa risasi watu zaidi ya mia waliokuwa wakisubiri misaada huko kaskazini ya Gaza.
Kingine kinachowachanganya ni kuona maeneo yote waliyopita na kudhani wamewamaliza Hamas wamegundua bado yana wapiganaji hao wenye silaha na wanaoendelea kuleta maafa kwa askari wake.
Leo Jumamosi IDF imetangaza kupoteza askari wake watatu eneo la Khan Younis ambalo jeshi hilo lilikwishatoa tangazo la kudhibiti eneo hilo.
Maafisa wa ngazi za juu wa ikulu ya Marekani wamesema kimsingi Israel imeshakubali kusitishwa kwa vita kati yake na Hamas kwa muda wa wiki sita.Kipindi hicho kitaambatana na kuachiwa huru kwa mateka wa Israel wanaoendelea kushikiliwa na Hamas
Baada ya kueleza hayo afisa mmoja kati yao akaongeza kuwa mpira sasa uko kwa Hamas.

Six-week ceasefire ‘basically accepted’ by Israel, waiting on Hamas, US official says

US: Israel Has Agreed To The Framework For A Gaza Cease-fire, Now Awaiting Hamas' Decision

Unaongelea askari watatu ambapo raia wa Palestine wanaendelea kupukutika Kama mchwa. Acha vita isimame mateka warudishwe then mtanange uendelee
 
Hamas kama Taliban wako makini kwenye mazungumzo.Mwisho wa yote watakachokipata ni kikubwa kuliko watakachoachia na itakuwa ni ushindi.
 
Back
Top Bottom