Tarehe 07/10 uliandika ukiwa na bashasha hivi hivi?Mayahudi hawanaga huruma na magaidi.Subiri uone mziki wao.Unaweza ukatupa idadi ya casualties?
Mazayuni hawana huruma na binadamy youote, wale ni mbwa waliolaaniwa na Mungu.
 
Bibi Tarabushi,Unashabikia?!!! Israeli wakianza Kuretaliate wewe na wavaa vipedo na misuli wenzako msianze kudai Israeli inaua raia wasio na hatia wanawake, watoto na wazee 🤔
 
Hezbollah wameanza mashambuluzi makali ya makombora Kaskazini mwa mazayuni, mpaka imewabidi mazayuni waombe msaada wa dharura kwa mabwana zao wamarekani.

Chanzo na jionee zaidi:


View: https://youtu.be/6CdbwszVYXI?si=qxT0dNuEUZ1I84B1

Vita ni biashara matron, October 7,ilipangwa itokee, ili Gaza ichakazwe, watu wahamishwe kwa nguvu! Ili ardhi ichukuliwe, watu wachimbe msfuta, sasa hii ya Lebanon, ni strategy tu, ili Lebanon ichapwe, wapelestina wakimbiziwe huko, wamuache muyahudi na Gaza yote, mosaad operatives ndani ya hizborah ndio wanafanya Yao,
Mfano kidogo kutoka bongo, umeishswahi kujiuliza, kwanini serikali ikitaka soko Fulani, kulihamisha, au kufsnya ukarabati, lazima liungue kwanza!!!
 
Hezbollah wameanza mashambuluzi makali ya makombora Kaskazini mwa mazayuni, mpaka imewabidi mazayuni waombe msaada wa dharura kwa mabwana zao wamarekani.

Chanzo na jionee zaidi:


View: https://youtu.be/6CdbwszVYXI?si=qxT0dNuEUZ1I84B1

Grandma usije Anza kulia maiti za watoto na kina Mama zikianza kuokotwa barabarani za waislam wenzako

maana kwa video footage iron dome ina intercept drones kalibu zote swali ni je Israel nayo ikituma hao miamba Yako Hezbollah wana air defence ya kuzuia mashamburizi?

Vip kuhusu target Hakuna Raia wasio na hatia watakao ripia gharama ya vita kwa damu zao?kuna vitu hushabikiwa na MTU mpumbavu TU hasa VITA
 
Grandma usije Anza kulia maiti za watoto na kina Mama zikianza kuokotwa barabarani za waislam wenzako

maana kwa video footage iron done ina intercept drones kalibu zote swali ni je Israel nayo ikituma hao miamba Yako Hezbollah wana air defence ya kuzuia mashamburizi?

Vip kuhusu target Hakuna Raia wasio na hatia watakao ripia gharama ya vita kwa damu zao?kuna vitu hushabikiwa na MTU mpumbavu TU hasa VITA
Hilo halitokei kwa mashaheed, utangoja sana.
 
Hilo hjalitokei kwa mashaheed, utangoja sana.
Good thing ulishangilia sana October 7 siku Moja tu ilikupa Furaha isiyo na kikomo but bad thing imebaki ni kilio tu apo Gaza strip kuzika watoto na kina Mama

Soon Tena waislam wenzako wateperekwa peponi kuinjoy kama mashaheed so hatutaki kusikia ngonjera za ceasefire
 
Sio watu wa mdomo mdomo mtupu.NI watendaji na wenye juhudi tena katika ya wakati mgumu.

Ni watu wanaomtukuza Mwenyezi Mungu hata wakijua kuna binadamu anasababisha mateso yao.

Wakipigwa wanarudisha kwa kadri wanavyoweza

Wakipata kingi wanakula na wakikosa wanashukuru na kugawana kidogo walichonacho

Mayahudi wakirudi nyuma wao wanasonga mbele.Wakivunja wao wanajenga.

Hayo ni machache tu na kwa juhudi zao.

Allah atawasaidia.

Doctors and medics repair parts of damaged al-Amal hospital​

 
Habari zilizotolewa na gazeti la Al Arabiya kuhusu majadiliano ya kusitisha vita zzinasema, muafaka kufikiwa ndani ya muda mchache ujao huko Cairo. Leo kunatarajiwa kufanyika maongezi huko Cairo.

Kamanda wa Hams Haniyeh amesema mpaka sasa hakuna jambo lingine kubwa (ni big issue) mradi wamekubaliana na masharti yetu yote "labda mazayuni wageuke tena".

Source:


View: https://www.youtube.com/watch?v=FRZNPxO10LA
 
1. Haya ni maneno yangu:

IMG_20240429_082119.jpg


2. Kwamba huyu ni Myahudi na tena ni Mmarekani?!

IMG_20240429_082325~2.jpg


3. Kumbe mzozo huu haukuanza Oct 7?!

IMG_20240429_082420.jpg


4. Kwamba na haya ni maneno yake?!

IMG_20240429_082506~2.jpg


5. Kumbe Natenyahu au Hawa waisiraeli koko wa pande za kwetu huku, wanadhani wataendelea kumlisha nani matango pori wapi, siku zote?!

6. Kwa hakika imeandikwa (matunduizi, mtumishi tulindane), Luka 19:40 pale:

Yesu akawajibu, “Nawaambia, hawa wakinyamaza, mawe yatapiga kelele.”
 
Hapo tunajidanganya warabu wanaojua ukweli wanalaumu hamas kwa kuleta madhira kwa wapalestina, huyo kijana wa Kiyahudi siku akichomwa kisu na hamas ndo ataelewa nini maana ya hamas, Israel imetoa condition ya kusitishwa vita endapo tu mateka wataachiwa, waliachia mateka tu siku hiyo hiyo vita inaisha ni kwa mjibu wa balozi wa Israel UN mr Girad.

Badala ya kuandamana ili hamas waachie mateka waliobaki ili Israel isitishi vita na kuachia wapalestina waliokamatwa tangua 7 October, sasa hamas wamekuja na sharti lingine ili waachie mateka wanataka taifa la Palestina liiundwe kwanza, ngoma bado mbichi Israel hayuko tayari kusikia kitu hicho, swali la kujiuliza kwa nini wasiunde taifa moja ? Na hayo makabila 2 arabs na Jews wakaishi kwa amani ndani ya nchi moja?
 
Hapo tunajidanganya warabu wanaojua ukweli wanalaumu hamas kwa kuleta madhira kwa wapalestina, huyo kijana wa Kiyahudi siku akichomwa kisu na hamas ndo ataelewa nini maana ya hamas, Israel imetoa condition ya kusitishwa vita endapo tu mateka wataachiwa, waliachia mateka tu siku hiyo hiyo vita inaisha ni kwa mjibu wa balozi wa Israel UN mr Girad. Badala ya kuandamana ili hamas waachie mateka waliobaki ili Israel isitishi vita na kuachia wapalestina waliokamatwa tangua 7 October, sasa hamas wamekuja na sharti lingine ili waachie mateka wanataka taifa la Palestina liiundwe kwanza, ngoma bado mbichi Israel hayuko tayari kusikia kitu hicho, swali la kujiuliza kwa nini wasiunde taifa moja ? Na hayo makabila 2 arabs na Jews wakaishi kwa amani ndani ya nchi moja?

1. Wewe muyahudi koko, "utaniambia nini?"

2. Utaniambia nini?

Utaniambia Nini - Professor Jay: Song Lyrics, Music Videos & Concerts
 
Back
Top Bottom