Inspekta Jenerali wa Polisi Kenya, Douglas Kanja, ameagiza maofisa watatu waliokuwa kazini wakati mtuhumiwa anapofariki akiwa kizuizini kusimamishwa mara moja (interdiction) ili kuruhusu uchunguzi kufanyika.
Maofisa hao ni anayerekodi taarifa katika Occurrence Book (OB), askari wa seli (cell...
Natumia nafasi hii kutoa mrejesho wa hoja iliyowasilishwa jukwaani kuhusu kero zilizokuwa zikijitokeza kufuatia kusitishwa kwa huduma za vyoo katika Kituo cha Mwendokasi Kivukoni.
Baada ya zoezi la ukarabati, nimebaini kuwa huduma zimerejea katika hali nzuri. Miundombinu imekarabatiwa, na kwa...
Anonymous
Thread
baada
huduma
katika
kituo
kituo cha mwendokasi
kivukoni
kusitishwa
mmoja
mwaka
mwaka mmoja
mwendokasi
mwendokasi kivukoni
vyoo
Katika hali isiyo ya kawaida mabasi yaendayo mikoani yamesitisha safari zake kwa siku ya kesho, sababu kubwa ikiwa nikuwapa fursa watu kupiga kura, nawaza watu hao ni akina nani kwa sababu kura sio lazima ipi hatma ya wale waliokata tiketi zao.
Ipo hivi serikali ya CCM inahakikisha kwamba...
Disclaimer:
Uzi huu umeandaliwa kwa madhumuni ya kutoa elimu na kuibua mjadala wa kitaalamu na kiraia kuhusu uamuzi wa TCRA dhidi ya JamiiForums. Yalichopishwa hapa hayapaswi kutafsiriwa kama ushauri rasmi wa kisheria, bali ni uchambuzi wa kisheria na kikatiba kwa lengo la kuelimisha na kujadili...
Honda Prelude ni sport car iliyotengenezwa kutokea 1978 na kusitishwa mwaka 2001, na sasa inarudi officially.
Inakuja na 2.0 L engine, ikiwa imeunganishwa na dual-motor hybrid system, ambavyo kwa pamoja vitakupa 200 hp na efficiency ya 20 km/L average.
Wanatumia CVT transmission ikiwa na...
Benki ya CRDB imetangaza kufunga huduma katika matawi yake yote kwa siku tatu kuanzia Septemba 5 hadi 7 mwaka huu.
Kufungwa kwa matawi hayo kunalenga kutoa nafasi kwa wataalamu kufanya maboresho na kuweka mifumo ya kisasa ili kuongeza ufanisi huduma zinazotolewa.
Kwa mujibu wa taarifa...
TAARIFA RASMI YA CHAMA CHA NLD
KUHUSU KUSITISHWA KWA SHAMRASHAMRA ZA KUMPONGEZA MGOMBEA URAIS MHE. DOYO HASSAN DOYO NA MGOMBEA MWENZA BI. CHAUSIKU KHATIBU, NA KUOMBA RADHI KWA USUMBUFU WOWOTE ULIOJITOKEZA
Chama cha National League for Democracy (NLD) kinapenda kutoa taarifa rasmi kwa waandishi...
Mimi ni miongoni mwa Wafanyakazi 1,299 waliokuwa Watumishi katika Mradi wa AFYA ENDELEVU chini ya BENJAMIN MKAPA FOUNDATION uliokuwa unafadhiliwa na USAID.
Baada ya USAID kufuta Mradi wa AFYA ENDELEVU kuanzia tarehe 24/3/2025, Taasisi yetu (Mkapa Foundation) ilitutumia notice ya kutupa taarifa...
Anonymous (d037)
Thread
benjamin mkapa
katika
kazi
kuachishwa kazi
kulipwa
kusitishwa
mkapa
mradi
nssf tanzania
stahiki
taasisi
wafanyakazi
Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimesema ratiba ya Mwenge wa Uhuru mkoani Tanga ndio ilikuwa sababu ya kuzitisha ziara yao ya Operesheni C4C iliyopangwa kufanyika katika mikoa yote nchini kwa siku 16.
Itakumbukwa Mei 21, katika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam, Katibu Mkuu wa...
Kwa kusitishwa kwa mapigano, Wairani wanashangaa kuendelea kutokuwepo kwa Khamenei Leo, 7:30 asubuhi 1 A Juni 14, 2025. (Picha na ATTA KENARE / AFP) Gazeti la New York Times linaripoti kuhusu hali ya wasiwasi inayozidi kuongezeka nchini Iran kutokana na kuendelea kutokuwepo Kiongozi Mkuu...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Seyed Abbas Araghchi, ameweka ujumbe hivi karibuni kwenye mtandao wa X akisema kwamba ikiwa Israel itaacha "uchokozi usio halali" Iran "haina nia ya kuendelea kujibu".
Araghchi alisema Israel lazima isitishe mapigano ifikapo 04:00 saa za eneo, ambayo imepita...
Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema, ametangaza kusitisha ghafla kipindi cha maombolezo ya kitaifa kwa aliyekuwa Rais wa nchi hiyo, Edgar Lungu, kufuatia mvutano unaoendelea kati ya serikali na familia ya marehemu kuhusu mipango ya mazishi yake
Akihutubia taifa Alhamisi usiku, Rais Hichilema...
Wakuu!
Bila uoga, Wananchi wengi wamejitokeza kuandika comments zenye ujumbe wa 'No Reforms, No Election' chini ya post ya salamu za kheri ya Sikukuu ya Eid al-Adha zilizotolewa na Rais Samia kupitia mitandao ya kijamii.
Badala ya kusherehekea ujumbe huo wa sikukuu kwa kawaida, baadhi ya...
ccm
comments
gani
hali
inaweza
instagram
kisasi
kuelekea 2025
kung'atuka
kura
kusitishwa
magufuri
makamu
mikutano
na rais
ndani
no reforms
no reforms no election
picha
post
rais
rekodi
samia
samia suluhu hassan
siku
spika
spika tulia
wake
wapinzani
wasiwasi
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa leo litapigia kura azimio la kutakao kusitishwa mara moja kwa mapigano huko Gaza.
Azimio hilo haliwekei masharti ya kusitisha mapigano kwa kuachiliwa kwa mateka waliosalia.
Kwa maneno mengine, inawaacha Hamas madarakani, wakiwa na silaha, na kuwashikilia...
Kama kawaida waafrika ni watu wanaopenda kutafuta visingizio kwa matatizo yanayowakabili ambazo mara nyingi wanajiletea wenyewe.
Mfano mzuri ni mgogoro uliopo nchini Congo unaohusisha serikali ya nchi hiyo na waasi wa M-23 ambao wengine wamekuwa wakidai kwamba huchochewa na wazungu japo hawatoi...
ACT Wazalendo imeguswa na uamuzi wa Serikali ya Marekani kusitisha kwa muda kwa mikopo na ruzuku za kusaidia huduma za afya duniani, hatua inayoweza kuathiri mamilioni ya Watanzania waliowekwa kwenye utegemezi wa huduma za afya zinazofadhiliwa na mashirika ya nje.
Tanzania, kama moja ya...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam imewaachia huru wafanyakazi wawili wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Johnson Kato (57) na Gasper Kimaro (30) waliokuwa wanakabiliwa na kesi ya kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu.
Mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Beda Nyaki, Wakili wa Serikali...
Katika hali ya kuchanganyikiwa na vita vya Gaza Israel imeelezwa kukubali kimsingi vita visitishwe ili irejeshewe mateka wake.
Hali ya kuchanganyikiwa kwa Israel kumeonekana hapo juzi ambapo iliwamiminia mabomu mazito kutoka angani na kuwapiga kwa risasi watu zaidi ya mia waliokuwa wakisubiri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.