Uhuru wa Palestina wanukia. Waziri wa baraza la vita la Israel asema Netanyahu haeleweki na Hamas haishindwi

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,183
10,920
Maamuzi ya kudai uhuru kivitendo iliyofanya Hamas yanaanza kuzaa matunda japo yamepatikana kwa gharama kubwa sana ya vita kuliko vita vyote.

Waziri muhimu katika baraza la kuongoza vita nchini Israel,Gadi Eisenkot amesema malengo halisi ya vita kati ya Israel na Hamas hayako wazi na anayeyajuwa zaidi ni Benjamin Netanyahu.

Pamoja na kauli waziri Gadi ambaye mtoto wake aliuliwa na Hamas mwezi uliopita huko Gaza ameongeza kwa kusema kuishind Hamas ni kitu ambacho sio kweli.Akaongeza kwa kutaka uitishwe uchaguzi haraka ndani ya mwezi mmoja kama kwamba anapendelea Benjamin Netanyahu aondoshwe kwenye madaraka kwa kuletea janga nchi yao.

Maelezo hayo ya wazi ya waziri huyo ameyatoa mara baada ya Benjamin Netanyahu kujibu hoja za viongozi wa Marekani juu ya haja ya kuundwa kwa taifa la Palestina sambabmba na kuwepo kwa taifa la Israel na kama ilivyopendekezwa kwenye maazimio kadhaa huko nyumoa
Katika majibu yake Benjamin Netanyahu alisema hakuna wa kumzuia kuwamaliza Hamas na hatoruhusu kuundwa kwa taifa la Palestina.

Majibu hayo ya waziri Gadi yanakuja wakati jeshi la Israel likizidi kupata fedheha huko Gaza na kuongezeka kwa mapigano kaskazini ya nchi hiyo kati yake na Hizbullah na kwa upande mwengine kubadilika kwa makundi ya upinzani ukingo wa mashariki ambapo sasa makundi hayo yamekuwa yakiongezeka nguvu na kupigana vita vikali na jeshi la IDF

Israeli government divisions deepen as cabinet minister says defeating Hamas is unrealistic

Watanzania wengi ni malimbukeni na wahanga wakubwa wa seikolojia, hauwezi kuleta habari za braabraa wakati huko watu wanakufa kama njugu

Unaandika haya ili yakusaidie nini, ili upate faida? Na faida hiyo ikufaidi nini, hata Mungu anasikitika sana kuona wapambe wa mauwaji wakiendelea kuwatia moyo wanaouliwa maelfu kwa maelfu eti waendelee tu kupigana kwa kufa

Upumbavu sana huu, kwa nini msiwashari wafanye mazengumzo ili yaishe?
 
Maamuzi ya kudai uhuru kivitendo iliyofanya Hamas yanaanza kuzaa matunda japo yamepatikana kwa gharama kubwa sana ya vita kuliko vita vyote.

Waziri muhimu katika baraza la kuongoza vita nchini Israel,Gadi Eisenkot amesema malengo halisi ya vita kati ya Israel na Hamas hayako wazi na anayeyajuwa zaidi ni Benjamin Netanyahu.

Pamoja na kauli waziri Gadi ambaye mtoto wake aliuliwa na Hamas mwezi uliopita huko Gaza ameongeza kwa kusema kuishind Hamas ni kitu ambacho sio kweli.Akaongeza kwa kutaka uitishwe uchaguzi haraka ndani ya mwezi mmoja kama kwamba anapendelea Benjamin Netanyahu aondoshwe kwenye madaraka kwa kuletea janga nchi yao.

Maelezo hayo ya wazi ya waziri huyo ameyatoa mara baada ya Benjamin Netanyahu kujibu hoja za viongozi wa Marekani juu ya haja ya kuundwa kwa taifa la Palestina sambabmba na kuwepo kwa taifa la Israel na kama ilivyopendekezwa kwenye maazimio kadhaa huko nyumoa
Katika majibu yake Benjamin Netanyahu alisema hakuna wa kumzuia kuwamaliza Hamas na hatoruhusu kuundwa kwa taifa la Palestina.

Majibu hayo ya waziri Gadi yanakuja wakati jeshi la Israel likizidi kupata fedheha huko Gaza na kuongezeka kwa mapigano kaskazini ya nchi hiyo kati yake na Hizbullah na kwa upande mwengine kubadilika kwa makundi ya upinzani ukingo wa mashariki ambapo sasa makundi hayo yamekuwa yakiongezeka nguvu na kupigana vita vikali na jeshi la IDF

Israeli government divisions deepen as cabinet minister says defeating Hamas is unrealistic

Shida yenu mdiyo hiyo. Kumbe wengi hata hamuelewi madai ya pale ni yapi lakini mmejivalisha usemaji.
 
Netanyhau kagoma kabisa kuundwa kwa two state na biden ni mnafki sana kwamba wataangalia, marekani shoga yake ni israel hizo drama waazocheza hakuna litalofanyika
 
Usual propaganda from masjid ubwabwa located at the Dar es salaam neighborhood called Tandika kwa Machambia Chupa and we're used to this type of propaganda.
 
Mimi niko kwenye mlengo wowote unaotembeza kichapo dhidi ya magaidi ya dini ya kiislamu, iwe Wahindu, Butha, Wayahudi, yeyote anayetembeza hicho kichapo niko naye.
Tunajua umeolewa na myahudi wa Ethiopia na umeshazaa vitoto 6. Sasa ngoja kidogo huo uso uukatae mkorogo. Lzm uanze kutukana wayahudi weusi fasta
 
Back
Top Bottom