Hamas yasema haitawaachilia tena mateka hadi Israel ikomeshe vita

Malaria 2

JF-Expert Member
Oct 17, 2023
2,648
3,936
Hamas inasema kuwa makundi ya Wapalestina yamepinga matarajio ya kuachiliwa zaidi kwa mateka hadi Israel ikubali kumaliza vita Gaza.

Katika taarifa ya Kiarabu iliyosambazwa kwenye Telegram, Hamas ilisema: "Kuna uamuzi wa kitaifa wa Palestina kwamba kusiwe na mazungumzo kuhusu wafungwa au makubaliano ya kubadilishana mateka isipokuwa baada ya kusitishwa kikamilifu kwa uchokozi."wa Israel.

Haijulikani ni mirengo gani mingine ya Palestina inayohusishwa na kauli hiyo. Islamic Jihad, kikundi kidogo katika Ukanda wa Gaza, pia kinawashikilia mateka wa Israeli.

Mazungumzo ya kufikiwa kwa makubaliano mapya kuhusu vita hivi sasa yanafanyika mjini Cairo, Misri, ingawa mazungumzo ya awali siku ya Jumatano hayakuzaa matunda, huku Hamas wakiripotiwa kusema kuwa hawatakubali kusitishwa tena kwa muda kwa mapigano.

Wakati wa usitishaji mapigano wa siku sita mwishoni mwa Novemba, mateka 105 wa Israel waliachiliwa kwa kubadilishana na Wapalestina waliokuwa katika magereza ya Israel. Takriban mateka 120 wa Israel wanaaminika kuwa bado wako wanashikiliwa Gaza.

Israel imekataa mara kwa mara usitishaji vita wa kudumu na Hamas, huku waziri wa usalama wa taifa Itamar Ben Gvir akisema kwenye mtandao wa X kwamba kusitisha vita kwa majeshi ya Israel kabla ya Hamas kushindwa na mateka wote kurejeshwa kungekuwa ni "kushindwa".
 
Attachments

  • 1703166742752.gif
    1703166742752.gif
    42 bytes · Views: 5

View attachment 2849107

AFPCopyright: AFP

Israel ni sikio la kufa, imekataa kushindwa kwenye makaratasi sasa iinakwenda kushindwa kimapambano na kwa aibu kubwa
 
Hamas ni wapumbavu
Leo hii Hamas inalilia kusitishwa vita tena na kiongozi wao anasafiri kabisaa tena anaenda Misri kwa ajili ya kuomba usuluhishi wa kusitisha vita😂🤣😁😆 kweli hamna mkate mgumu mbele ya chai🤣😂😅.Yaan Hamas hataki tena vita vya kupigania uhuru 😆🤣😂 dah mbona kajichokea mapema sanaa si wapambane mpake wapate ardhi wanayodai yao😆🤣😂😁
 
Israel nao si iwateke wapalestina na kwenda kuwafungia yaani jino kwa jino, huwezi kujadiliana na magaidi wanaoteka hadi vibibi vizee vya miaka 90 na watoto wadogo.
 
Pole sana , pia hauna huruma na wapalestina, Gaza imerudi nyuma miaka 30 iliyopita, kule Gaza kila nyumba ni kilio na kusaga meno, karibia kila familia kuna msiba , nyumba zimeharibika, vita ikiendelea ndani ya miezi 6 tutaongea mengine, tupazee sauti hamas iachie mateka na Israel isitishe vita, ona wale hamas wanavyovuliwa nguo na kudakwa na wanajeshi wa Israel ! Huna hata huruma, ni mjinga pekee anaweza kuamini Hamas wataishinda Israel na wanaweza kumuondoa Israel pale middle East, hata kama nchi za kiarabu zikiungana ili kuifuta Israel hawezi kukubali nchi iteketee, lazima alipue boom la nuclear, tuombe vita iishe.
We una huruma na hao wapalestina?

Alafu aliye kwambia kuwa mateka waliachiwa basi na vita itaisha,unajua ni malengo gani yaliyo tangazwa na Netanyau kipindi ana ingia gaza?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hivi kwa kibano kinachotokea kwa Hamas unategemea Israel anajali mateka?
Kama hana haja na mateka kwann anafanya majadiliano ya kuwaachia baada ya kushindwa kuwapata?

Alafu nyinyi si ndo mlikuwa mnataka Urusi ishinde Ukraine yenye ukubwa karibia sawa na Tz na yenye rundo la silaha za kisasa kutoka kwa mashoga.
Lakini leo hii taifa lenu pendwa mlio kuwa mnashinda humu mnalikuza sasa ni miezi 3 linapambana na wahuni wasiozidi 30,000 wenye silaha za kienyeji kwenye kieneo sawa na nusu ya kigamboni walicho kizunguka kila sehemu na hakuna dalili yeyote ya kuwashinda.

Au mlidhani vita ni kukata mauno na kutikisa matako?.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hivi kwa kibano kinachotokea kwa Hamas unategemea Israel anajali mateka?
Hamas hataki tena vita anataka viishe🤣😆😅😂 hatari sana kiongoz wao yuko Misr analialia anamuomba Misri aishawishi Israel iache kipondo maana sio poa.
 
Leo hii Hamas inalilia kusitishwa vita tena na kiongozi wao anasafiri kabisaa tena anaenda Misri kwa ajili ya kuomba usuluhishi wa kusitisha vita😂🤣😁😆 kweli hamna mkate mgumu mbele ya chai🤣😂😅.Yaan Hamas hataki tena vita vya kupigania uhuru 😆🤣😂 dah mbona kajichokea mapema sanaa si wapambane mpake wapate ardhi wanayodai yao😆🤣😂😁
😄 Tatizo mmelala sana Israel na America ndio wanaomba vita visimame sio Hamasi, kwenda Egypt sababu ameombwa aende akasike offer anayo toa Israel kama ataikubali, sa Hamasi wamesema hakuna kusimamisha vita kama ni ya week au mwezi.

Waendelee kupigana au iwe vita ya kusimamisha kabisa.

Nani kakuambia ikisimama vita ndio hawawezi kukomboa Palestine?

Israel ataondoka tu hapo, hata wao wameisha fahamu, hapo hawapa kwenye usalama.

We ka unaimba nyimbo za kanisani hapa.
 
Hamas wamepata kipigo cha Karne ambacho hawatakuja kusahau,na watakuwa na adabu milele,kwasasa lingewaacha maana wamepigwa mpaka wametepeta.
 
Hamas hataki tena vita anataka viishe🤣😆😅😂 hatari sana kiongoz wao yuko Misr analialia anamuomba Misri aishawishi Israel iache kipondo maana sio poa.
😄 Acheni uwongo Misri ndio kaomba Hamasi waende kusikiliza offer aliyo toa Israel na America, kusema hakubali offer mpa vita isimame kabisa. Hamasi Target yake ni kumuingiza Natanyahu jela.

Nani kakuambia Hamasi atawacha vita na Israel, hio ni ndoto mnaota.
 
Back
Top Bottom