KURA ZA MAONI KONDONI: ZAMARADI APATA KURA MBILI Mtangazaji zamaradimketema amepata kura mbili kinyany’anyito za kura za maoni jimbo la Kinondoni. Kura zilivyohesabiwa kwa uwazi mbele ya wagombea wote pamoja na wajumbe. Abbas Tarimba 171” Idd Azam 78 Kalapina 1
Mtulya vip ?
 
Screenshot_20200720-162017.png
 
Hiyo haisaidii maana Mwenyekiti keshasema kuwa kwenye kikao cha mwisho cha uteuzi anachoongoza yeye, wa kwanza kura za maoni Jimboni anaweza kuwa wa mwisho na wa mwisho akawa wa kwanza akateuliwa kutegemea Mwenyekiti alivyoamka siku ya uteuzi. Mwenyekiti ndo mwenye Chama, Serikali na Nchi uamuzi wake ni wa mwisho na haupingwi.
Uchaguzi ni maigizo
 
Kwahiyo watu wanaona bora wakacoment kule kuliko kupoteza muda kwenye mivyama ya siasa
Bora wafanye hivyo maana mwisho wa siku wanasiasa watakwambia hakuna adui/rafiki wa kudumu kwny siasa huku wao wanagonga cheers huku wananchi wanatoana macho.
 
Kule jimbo
Kama kura za wanachama sio zinazomteua kugombea kwanini wapitishwe katika hizi taratibu?
Jimbo la moshi mjini Mr shayo na Mr priscus walijiandaa kwenye utoaji wa rushwa kwa kipindi kirefu Sana.Hivyo ccm tusipoangalia majina hayo kwa ukaribu sana.chama kinaelekea mikono isiyo salama ya rushwa.Kinondoni Kura xinaendelea kuhesabiwa, Lukuvi anapeta
 
Back
Top Bottom