huko utwitani na facebook hakuna wapiga kura, wapiga kura wengi hawajuhi hata kama kuna kitu kinaitwa tweeter duniani, wao wanachotaka ni hospitali, maji, umeme nk....upinzani wakigundua umuhimu wa watu hao haki ya Mungu ushindi utakuwa wa kumwaga!
Point kubwa sana hii
 
Mh Mgombea wa kiti cha urais alikuwa akitoa amri kuwataka wamletee mgombea flani mda mwngine kwa jazba wakati wa kampeni hapo ndo mlipopotoka.

Kwa jicho la tatu zilikuwa zinaenda moja kwa moja kwa wateule wake Nec wakurugenzi ,Polis n.k
Majibu mmeona
 

Hili Iinahitaji akili tu ndogo ya kawaida kujua hili limeletwa kwa makusudi tu mabaya ya kueneza uongo.. Kura za Rais siyo lazima zilingane na kura za ubunge kwa kila jimbo au kituo. Jua kuna kura zinazoweza kuharibika upande mmoja na zisiharibike upande wa pili.

Kwa mfano, Mpigakura anaweza kupiga kura sahihi kwa Rais lakini kura yake ikaipiga kimakosa kwa mbunge na namna tofautitofauti na hivyo kura yake kwa mbunge isihesabiwe wakati kura yake kwa Rais ilihesabiwa. Hivyo unahitaji upige mahesabu ya kura ngapi ziliharibika Kawe kwa Rais na kwa mbunge vilevile.

LINGINE ni behaviour za mpiga kura. Mwingine anaweza kumpigia kura Rais na asipige kwa mbunge, au akajaza karatasi ya kura ya Rais na akasahau kujaza karatasi ya mbunge au diwani na kuzirudisha bila kujazwa. Kumbuka kila karatasi linawekwa kwenye box lake separately. Hivyo, kuna vitu vingi vya kuangalia na siyo kuja na hitimisho la kitoto hivi.
 
hwa wajinga wanaishi USA bila shaka, huku kwetu kwa Magufuli ukipiga kura sehemu ambayo hukujiandikisha(kama ulijiandikisha nje ya jimbo hilo la uchaguzi) unampigia kura rais tu!

Okay, kwa hiyo watu zaidi ya laki walitoka maeneo mengine kwenda kupiga kura kwenye maeneo hayo yenye tofaut laki+ ????
 


Mimi sio mshabiki wa kisiasa watu wa kawe walimchoka halima, binafsi nilishuhudia halima anazomewa na wananchi hadi aibu. Hata matokeo siyashangai. Tukija iringa kwa msigwa mama yangu yupo kule anakwambia msigwa kupita ilikua ngumu sana alishapoteza direction .

Swali lingine mtu unajiuliza hata kama umeiba kura mtu amekuzidi kura 160k yani mtu aibe kura zote hzi?? Haimake sense chadema kaeni chinii mjue shida ipo wapi, jipangeni sio kulalamika wakati kura hukupig.
 
Kuzomewa kwenye kampeni mbona ni kitu cha kawaida sana? Huoni wizi wa kutisha wa kura fake!?
Mimi sio mshabiki wa kisiasa watu wa kawe walimchoka halima, binafsi nilishuhudia halima anazomewa na wananchi hadi aibu. Hata matokeo siyashangai. Tukija iringa kwa msigwa mama yangu yupo kule anakwambia msigwa kupita ilikua ngumu sana alishapoteza direction . Swali lingine mtu unajiuliza hata kama umeiba kura mtu amekuzidi kura 160k yani mtu aibe kura zote hzi?? Haimake sense chadema kaeni chinii mjue shida ipo wapi, jipangeni sio kulalamika wakati kura hukupig.
 
Kuzomewa kwenye kampeni mbona ni kitu cha kawaida sana? Huoni wizi wa kutisha wa kura fake!?


Onesha hzo kura feki, Kinondoni ni jimbo kubwa sana naweza sema tanzania nzima. Mwenyew nilipiga kura ya urais huku japo sikujiandikishia kinondoni
 
Back
Top Bottom