Ameita waandishi wa habari eti anasema huu siyo uchaguzi ni uharamia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kwa hiyo serikali na wananchi wake waliandaa uharamia siyo uchaguzi...huyu jamaa anadharau sana yani.

Eti anaomba jumuiya za kimataifa na za kikanda kama EAC na SADC ziingilie kati.. Anadhani kwamba hizi jumuiya ndiyo waamuzi wa Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania eti eee..

Aende The Huge...maana akiwa Tunduma pale kwenye kampeni zake alijaza uwanja sana akaanzaa kumtukana Rais na Majenerali wa Jeshi kuwa wakicheza na uchaguzi huu wataishia The Huge... Aende sasa tuone kama watakuja kuitoa serikali iliyowekwa na watanzania Madarakani.

Kujua sana kwako sheria kusikufanye uwadharau Watanzania...si umeona sasa walichokufanyia kwenye Box la Kura...
 
Mgombea wa CCM alibebwa na rekodi yake

Mgombea wa Chadema hakuwa na cha kuonesha zaidi ya maneno matupu.
 
Kila mwenye akili anajua kuwa Tanzania hatukuwa na uchaguzi.

Kila sehemu ni vituko vitupu. Kuna maeneo mawakala wa vyama vya upinzani walikataliwa kuingia, kuna maeneo mawakala wa vyama vya upinzani walifukuzwa, na waliogoma walikamatwa na kupelekwa kusikijulikana. Kuna maeneo mawakala wa upinzani hawakuruhusiwa kuingia asubuhi, wamekuja kuruhusiwa mchana. Kuna maeneo, mawakala wa upinzani wamezuiwa kushiriki zoezi la ujumlishaji.

BADO KUNA MTU YEYOTE MWENYE AKILI TIMAMU ANAYEAMINI TANZANIA TULIKUWA NA UCHAGUZI?

Sent using Jamii Forums mobile app
Baseless allegations. Watanzania tumeamua
 
Amewaambia watanzania sababu wamedhulumiwa waingie barabarani kwa maandamano kudai haki zao na yeye ameshaongea na amstadamu wake amsadie kuwasilisha malalamiko ICC

Binafsi ninampongeza Tundu kwa kushiriki uchaguzi
Amedhurumiwaje sasa,mbona ajaeleza?
watanzania wamemtia adabu huyu kibaraka,tena na bado anazidi kujikuwadisha sijui kwa U.N,U.S,comonwelth yani ndo anazidi kujiaribia kwa watanzania.
 
Ili CHADEMA ifufuke Lissu apewe uenyekiti anafaa kwa amsha amsha na ukamanda alionao
Yeye na Heche huyu Mbowe tayari gari lishafika mwisho mwisho
Yani tokea awekewe Sabaya pale kakimbizwa kimbizwa kipindi chote na Jimbo kaliacha sasa
Waje huku Wafanye harakati za kweli sio kupinga pinga kosoa kosoa tu hata vitu vya msingi
 
Kwenye maandamano na yeye atakiwepo???

Anyway..kuna wakati mtu unapata hasira had unataman kungekuwa na vikundi vya kigaidi
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Yeye ataandamania Brusels kule Belgium alafu Mange Kimambi anaandamania kule Carlifonia, USA.
Alafu nyie Wabongo mnaaandamania hapa ili mpigwe mfe πŸ˜‚
Ila any way pole mkuu inaonesha unaumia sana ila Usiombee ugaidi mkuu huko siyo poa 😎
 
Hata dikteta nyerere alivyo pinduliwa na wanajeshi wazalendo!! Alikimbilia kuomba msaada wa wakoloni wa kiingereza ndio wakamrudisha madarakani!! Hata ccm kudumu madarakani mpaka leo ni kwa vile wamewakabidhi rasilimali zote mabeberu ya ulaya na china!!!

Nyerere amewahi kupinduliwa ?
Lini mbona aliondoka madarakani kiamani kabisa πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Akiongea na vyombo mbalimbali vya habari vya ndani na nje, Tundu Lissu ambaye ni mgombea urais kupitia CHADEMA amesema kutokana na ukiukwaji mwingi wa sheria na kanuni za uchaguzi hayatambui matokeo hayo na amewataka wananchi kujiandaa kuchukua hatua zozote zile ikiwemo kuandamana kudai haki yao.

Amezitaka jumuia za kimataifa AU, UN, Commonwealth, EU, nchi za Marekani na Ulaya, marafiki, nchi jirani na watu mbalimbali kutoyatambua matokeo hayo.

Amezitaka jumuia za kimataifa kuwachukulia hatua wote waliohusika na kuvurugika kwa uchaguzi wakiwemo viongozi wa NEC, viongozi wa vyombo vya dola wao binafsi na taasisi zao.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom