Wakuu habari,

Mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu anazungumza na waandishi wa habari muda huu.

Hiki ndicho anachokisema (Updates)

-Wagombea ubunge wa chama chetu walikatwa, hii ni ishara moja kuwa uchaguzi wa mwaka huu ulikuwa na dosari

-Tumefanya kampeni nyigi kuliko zile za mgombea wa Chama cha Mapinduzi

-Msafara wangu wa Kampeni za urais ulikuwa na magari sita tu, magari mawili ya waandishi wa habari, na magari mengine manne, yakiwamo mawili ya walinzi

-Watanzania walitupokea kwa upendo mkubwa, walitupa maji, chakula mafuta
 
Wakuu habari,

Mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu anazungumza na waandishi wa habari muda huu.

Hiki ndicho anachokisema (Updates)

-Wagombea ubunge wa chama chetu walikatwa, hii ni ishara moja kuwa uchaguzi wa mwaka huu ulikuwa na dosari

-Tumefanya kampeni nyingi kuliko zile za mgombea wa Chama cha Mapinduzi

-Msafara wangu wa Kampeni za urais ulikuwa na magari sita tu, magari mawili ya waandishi wa habari, na magari mengine manne, yakiwamo mawili ya walinzi

-Watanzania walitupokea kwa upendo mkubwa, walitupa maji, chakula mafuta
 
Sasa hapo Lissu ndo ameongea nini?
yani yeye atoke ulaya moja kwa moja afike na kuitoa madarakani CCM iliyodumu zaidi ya miaka 20 kwenye nchi?

alafu kibaya zaidi anawaonyesha wazi wananchi kuwa watetezi na wanaomuunga mkono ni watu kutoka nje ya nchi,wakina Armstadam,kwamba yeye ni kibaraka wa wazungu?
alafu eti wampekura huyu lopolopo!?
Hata dikteta Nyerere alivyo pinduliwa na wanajeshi wazalendo!! Alikimbilia kuomba msaada wa wakoloni wa kiingereza ndio wakamrudisha madarakani!! Hata CCM kudumu madarakani mpaka leo ni kwa vile wamewakabidhi rasilimali zote mabeberu ya ulaya na China!!!
 
Kuna watu hawataamini ila kabla lowasa hajaletwa sisiemu mie nilikua mdau mzuri sana wa chadema. Chama kilikua kinaenda vizuri sana chini ya kamanda slaa.. walipompokea lowasa nikakata tamaa na kutowaamini, na muda huo huo kuna watu wa sisiemu nilikua nawakubali sana kama jpm, hivyo nilipoona upuuzi wa chadema nikamsapoti jpm na wala sijutii..
Mtu yeyote anaweza cheki comments zangu za 2015 kushuka...
Mimi sasa hivi nimeachana na siasa mazima, 2009 nilikuwa na moto si wa kitoto baada ya upuuzi ule wa 2015 nimeamua kuachana kabisa na siasa.
 
Tundu Lissu piga spana mabeberu watume drone mbili tu, kumng'oa huyu jamaa.

Hata wizi wa kura sio huu, jimboni watu wamejindikisha kupiga kura 125,000 kura zimepigwa 400,000.

Halafu wanajiita "WAPENZI WA MUNGU"?
Mnapata wapi ujasiri wa kuwategemea mabeberu.
 
Lowassa aliwabeba sana 2015, mkajihisi nyie ndio mlimbeba na kuanza kumbeza alipoamua kurudi CCM. Haya sasa mmejiona mlivyo weupee...upinzani wa kweli utatoka CCM sio huko kwa msiojielewa.

Congratulations in advance President Magufuli
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Mimi sasa hivi nimeachana na siasa mazima ,2009 nilikuwa na moto si wa kitoto baada ya upuuzi ule wa 2015 nimeamua kuachana kabisa na siasa.
2015 waliaribu kila kitu na itachukua muda kurudi ile levo kabla ya kumpokea Lowassa.
Ebu piga picha mziki wa CHADEMA ungekuaje sasa kama wasingefanya ule upuuzi...
 
Amewaambia watanzania sababu wamedhulumiwa waingie barabarani kwa maandamano kudai haki zao na yeye ameshaongea na amstadamu wake amsadie kuwasilisha malalamiko ICC

Hajasema waandamane sababu kura zake hazikutosha ila kasema yeye kazi yake amefanya na amemeliza sasa ni zamu ya watanzania kufanya maandamano.

Hajasema kama yeye na chama chake watashiriki kwenye hayo maandamano, hajapanga maandamano yaanze lini, yaanzie wapi.

Binafsi ninampongeza Tundu kwa kushiriki uchaguzi, ajue tuu watanzania ni watu makini sana

Mzee Jakaya alisema za kuambiwa changanya na zako😂😂
 
Back
Top Bottom