Makamanda kama kawaida yetu kesho tutaenda pamoja na rais wetu mtarajiwa kuujaza uwanja wa taifa.

Tutaenda muwaonyesha Mataga kua Lissu ana watu.
 
Baada ya mumeo Bashite kufurushwa toka dsm naona unawaya waya tu

Simujuhi umebumtaja..
Turudi ku leo.. 😃😃😃
Umeshakulia.. kujaza ndoo?

Mumeshushuka.. mutamukaa musubiri.. tukio tena.. mupo hoi kwa buleo.. ila 😃😃😃

Awamu hii ya haki oyeeeeeeeee
 
Ndio mjue polisi walivyokuwa wastaarabu na walivyovumilia kuna abiria wanaweza kosa ndege zao leo watu hawana ustaarabu kabisa njia zote wanapita wao awajali shughuli za wengine; uwanjani wamejazana sijui ata abiria wengine waliingilia wapi.

Unaweza elewa furaha ya wana CDM lakini wajifunze ustaarabu kuna maisha ya wengine nje ya excitement zao hapo sasa wakitawanywa si watasema wanaonewa wakati clearly kuna breach of peace.
Angalau umekiri kuna nyomi, wenzako walikuwa wanasema Chadema huwa wanaandamana mitandaoni tu.
 
Zile kura milioni sita walipiga hao hao malofa malofa wana muda mwingi sana kuliko ma boss na ndio wapiga kura,
Malofa ya mwaka huu yameamka,yamechoshwa na chama cha walevi na wazinzi na udikteta wa mwenyekiti wao na yatakuwa busy kutimiza kauli ya Mheshimiwa JPM ya hapa kazi2.
 

Bajameni.. kata wewe..
Leo kuhuzuni msiba na kufuraha ya chama tawala..
Bamewaweza..
.
IMG-20200726-WA0027.jpg
 
Mkuu, LISU hana madhara kwa sasa. Tumeshamzingira kila kona. CHADEMA kwa sasa imeshapoteza mvuto wa kisia
Ilishakufa au ilishapoteza mvuto? Maana mlisema 2020 itakuwa imefutika. You keep changing your statements like lunatics.
 
Back
Top Bottom