Na tukishaona oa tuachanana tu tutake tusitake hii ni formula
 
Kwakweli vijana msioe, tafuta watoto ufanye mambo yako yatakupa furaha, kuoa ni kujivika mabomu makubwa sana na kujisogeza karibu na kifo, hata Wanasayansi wakubwa wenye akili timamu hawakuoa, if you want to achieve grater things tafuta mwanamke mwenye akili au usioe kabisa...

Pitapita zangu baada ya shughuli nimekaa na mwana mmoja tunapanga mipango bodaboda ikashuka imebeba mdada mida ya saa 12 jioni, nikamwambia boda akirudi anipitie...

Alivyorudi akanambia broo unajua nini? Nikamjibu sijui!!! Broo sidhani kama nitaoa nikamuuliza kwanini? akajibu unamuona huyu mdada nimeshuka nae? Nikamjibu ndio, akasema huyu binti amekuja sokoni kuemea Buhongwa hapo akapigiwa simu na hawara yake akaacha kapu la mboga kwa muuza mboga akadaka boda chap ili awahi kuchezea kongamano. Nikamuuliza amejuaje ni mke wa mtu? Akasema anamjua vizuri alafu kavaa na pete, then akamwambia boda baada ya d.k 15 atampigia amfate amchukue.....

Nikwamwambia boda wazo lako ni sahihi imagine hapo mwanamke anarudi home mkavuuu kabeba kapu la mboga kumbe katoka kuchezea "boloyang"

Kuoa ni kujivika mabomu kudadeki
 
Acha woga kijana utu uzima dawa usiogope kuvaa bomu
 
Kumbe unaishi buhongwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…