Kijana husika na kichwa hapo juu.

Kumekuwa na wimbi kubwa Sana la vijana wa kileo nikiwemo Mimi kwamba katutaki kuoa kutokana na masekeseke mengi waliyonayo hawa mademu.

Ila ukweli mchungu ni kwamba tutaoa Tu.. tutake tusitake tujiandae tu Kwa hilo hakuna namna sasa.

Narudia tena... TUTAKE TUSITAKE TUTAOA TUUU.

NI WAY OUT.
Yaani ww akili huna kabisa...unalazimisha vitu, hamna sheria inayotaka uoe au kuolewa...sio sheria, umelewa mipombe yako unakuja fanya hitimisho lako...

Kaa tulia.
 
Tusipangiane maisha ohooo

Formula ishabadilika nikuzalisha upate mtoto uishi maisha ya uhuru

Sio ulikuwa wapi?
Unafanya nini?
 
Mamtu maongo ongo haya bana mie sipendagi utamu woooote ule wa kuji savia eti msioeeee!! hilo ni richoyo linataka lipate papuchi lenyewe tuu..mmeona uchoyo wa chakula hautosho sasa mmehamia huku??

kwani mkeo akiliwa na wewe si wende mbele huko ukaleeee!! shida iko wapi??...Km kufa kwa nini uuawe na mtu dhaifu huyo ngumi hujui krusha au.......wewe zembe sana unaogopa kufaaa tena na kajimwanamke??
 
Usipo oa utaolewa. Hivyo yani
wao wana weza kabisaaaa za kuingiza na za kutolea!! kwa raha zooote wasije huku kutuharibia tunawaomba sana!! Lkn wanaume fanyeni hivi kwa wale Msio taka kuoa;

Mtafute rafikio mlio shibana hasa akiwa mgumu mroge.......sasa hapo mfanye kwa zamu zamu leo huyu mke kesho yule mume!! mpaka mmalize ngwee! wenzenu ndo wanafanya hivooo!
 
😁😁😁😁 Wanaume waliooa wanajua kuombea na kushauri wenzao waingie, Wapo kama jamaa wa Qnet tu. Wana upendo sana na wenye kupenda kushare fursa na wenzao, Wanataka wote tutajirike.
 
Kijana husika na kichwa hapo juu.

Kumekuwa na wimbi kubwa Sana la vijana wa kileo nikiwemo Mimi kwamba katutaki kuoa kutokana na masekeseke mengi waliyonayo hawa mademu.

Ila ukweli mchungu ni kwamba tutaoa Tu.. tutake tusitake tujiandae tu Kwa hilo hakuna namna sasa.

Narudia tena... TUTAKE TUSITAKE TUTAOA TUUU.

NI WAY OUT.
Huk ni ukwel mchungu.....na pia mkae (ambao hamjaoa).....Ubachelor ni gharama sana iwe ni kifedha (kichumi), kihisia na hata muda........Mtakuja kunishuhudia hili utakapoamua kuoa
 
Back
Top Bottom