Kwakweli vijana msioe, tafuta watoto ufanye mambo yako yatakupa furaha, kuoa ni kujivika mabomu makubwa sana na kujisogeza karibu na kifo, hata Wanasayansi wakubwa wenye akili timamu hawakuoa, if you want to achieve grater things tafuta mwanamke mwenye akili au usioe kabisa...
Pitapita zangu baada ya shughuli nimekaa na mwana mmoja tunapanga mipango bodaboda ikashuka imebeba mdada mida ya saa 12 jioni, nikamwambia boda akirudi anipitie...

Alivyorudi akanambia broo unajua nini? Nikamjibu sijui!!! Broo sidhani kama nitaoa nikamuuliza kwanini? akajibu unamuona huyu mdada nimeshuka nae? Nikamjibu ndio, akasema huyu binti amekuja sokoni kuemea buhongwa hapo akapigiwa simu na hawara yake akaacha kapu la mboga kwa muuza mboga akadaka boda chap ili hawai kuchezea kongamano. Nikamuuliza amejuaje ni mke wa mtu? akasema anamjua vizuri alafu kavaa na pete, then akamwambia boda baada ya d.k 15 atampigia amfate amchukue.....

nikwamwambia boda wazo lako ni sahii imagine hapo mwanamke anarudi home mkavuuu kabeba kapu la mboga kumbe katoka kuchezea "boloyang"

Kuoa ni kujivika mabomu kudadeki
Kwa hiyo huyo mwanamke mmoja kabeba dhambi za wanawake wote?

Acha ushamba dogo
 
Wanaume punguzeni umbea.....
Sasa kwanini msitulie?Unakuta mtu anajiachia anagongwagongwa,sijui hajui kua heshima yake inashuka?
Mbaya zaidi unakuta mtu ana uke unatoa harufu mbaya,lakini anagawa kinoma na ameolewa,kwanini msitulie au muamue muwe singo madhas?
Kuolewa halafu unakua unaachiaachia hovyo,ni kujidhalilisha wewe mwenyewe na mume wako pia,pamoja na watoto wako,bora uzalishwe,watoto wachukuliwe na baba,wewe ubaki unagawa tu.
Najiuliza hata hizo dakika 15,mwanamke anaridhika au ni tamaa tu?
Vifo vikitokea,analaumiwa mwanaume,ambaye amefanywa mjinga muda mrefu,kaja kugundua baadae.Inasikitisha sana.Zikivuja kua mke wa flani anagongwa kinoma,mkisikia,mnasema watu wambea,mbona mkifanya mambo mazuri,mkitangazwa mnafurahia?
 
Back
Top Bottom