Sijaelewa kuhusu kulipia group?

Mimi sichezi kamari kutafuta million 100.

Na bet kupata Tsh. 100,000 mpaka 200,000 kila wiki.

Nina siku ambazo napata loss, lakini loss zangu ni ndogo na ni loss ambayo haili mtaji wangu bali hela nilizo shinda wiki nzima.

Mfano siku 7 sasa na nina ushindi wa unit zaidi ya 10.87. Kama unit yangu ni Tsh.10,000, nina ushindi wa Tsh. 108,700.

Sikumbuki lini nimetumia hela yangu kubet.

Naona hii topic ni ndefu sana na watu wajaelewa jinsi ya kubet na bankroll, unit, edging, alternate n.k

Betting kamari na betting kwa kufanikiwa week to week ni vitu tofauti. Topic ndefu mkuu
Mimi nilianza kukufuatilia ila ukanifelisha ile siku nimekuambia utume codes za sportybet ukatuma invalid code
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom