Matokeo ya bets za 12-01-2024

1. Canisius -10 (NCAAB)

2. Iowa/Nebraska over 166 (NCAAB)

3. Kings +2 (NBA)

4. Rockets/Pistons over 226.5 (NBA)

5. Bulls/Warriors under 227 (NBA)

6. Clippers/Grizzlies over 227 (NBA)

7. Jazz Winner (NBA)

————————————————————

Loss ndogo: -1.6 unit

Mfano: kama ulikua una bet 1,000 kila bet umepoteza Tsh. 1,600.

Bado tuna ushindi wa wiki tunatumia hela za Kanji kubet, mtaji wetu umetulia.🫡
wamesema wewe ndo master...!! Aiseee matokeo ya leo yanaonesha ukweli kuwa Kumlipisha mtu hela ya group na kumnunulisha odd ni ungesee
 
I am happy to provide you with a brief description of the game Cyber Wolf by Endorphina.com, along with a link to a demo game 🫱 https://is.gd/DPGxpI 😋

Cyber Wolf is an exciting slot game from Endorphina that takes players into a world filled with creatures and high-tech features.

The game typically offers stunning graphics, engaging gameplay, and the chance to win big with its unique features.

You may explore this virtual world and share your comments on the game through various social platforms. Enjoy your gaming experience https://is.gd/DPGxpI!
nyumbu.wewe
 
wamesema wewe ndo master...!! Aiseee matokeo ya leo yanaonesha ukweli kuwa Kumlipisha mtu hela ya group na kumnunulisha odd ni ungesee

Sijaelewa kuhusu kulipia group?

Mimi sichezi kamari kutafuta million 100.

Na bet kupata Tsh. 100,000 mpaka 200,000 kila wiki.

Nina siku ambazo napata loss, lakini loss zangu ni ndogo na ni loss ambayo haili mtaji wangu bali hela nilizo shinda wiki nzima.

Mfano siku 7 sasa na nina ushindi wa unit zaidi ya 10.87. Kama unit yangu ni Tsh.10,000, nina ushindi wa Tsh. 108,700.

Sikumbuki lini nimetumia hela yangu kubet.

Naona hii topic ni ndefu sana na watu wajaelewa jinsi ya kubet na bankroll, unit, edging, alternate n.k

Betting kamari na betting kwa kufanikiwa week to week ni vitu tofauti. Topic ndefu mkuu
 
Screenshot_20240113-204516_Telegram.jpg
 
Mimi nilianza kukufuatilia ila ukanifelisha ile siku nimekuambia utume codes za sportybet ukatuma invalid code
 
Back
Top Bottom