Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,736
- 12,831
Hivi kweli kuna watu wanatoa hela kununua odds?wamesema wewe ndo master...!! Aiseee matokeo ya leo yanaonesha ukweli kuwa Kumlipisha mtu hela ya group na kumnunulisha odd ni ungesee
Bado sihamini hiki kitu