Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 51,636
- 23,071
Akirudi atujulishe hivihivi sisi kama watanzania wapenda betting tumeupokea na kuukubali uamuzi wake tunamtakia heri aendako na arudipo nako tutamtakia heripia
Akirudi atujulishe hivihivi sisi kama watanzania wapenda betting tumeupokea na kuukubali uamuzi wake tunamtakia heri aendako na arudipo nako tutamtakia heripia
Tulia kwanza kuna mkeka wangu unapumua 😂😂Akirudi atujulishe hivihivi sisi kama watanzania wapenda betting tumeupokea na kuukubali uamuzi wake tunamtakia heri aendako na arudipo nako tutamtakia heripia
Leo kanjii katupasuaaaa haswaa yanii ni mpasukooo
Mikeka 22 iko kwenye dustbinMpaka muda huu sidhani kama kuna mkeka bado unapumua.
Kuna mkeka aliwekaMpaka muda huu sidhani kama kuna mkeka bado unapumua.
Kuna mkeka aliweka AfisaUbashiriMwandamizi jumatatu wa betpower bado unapumua mpka sahz, zmetiki19 kat ya 49 bado tunaendlea kuusikiliziaMpaka muda huu sidhani kama kuna mkeka bado unapumua.
hamna kitu hapo....Mimi nilianza kukufuatilia ila ukanifelisha ile siku nimekuambia utume codes za sportybet ukatuma invalid code
pole mdada..usisahau kuwa maisha ni vitaNmegundua betting is not my thing, hii mikeka yote nakopig JF,wamama tuendelee kupika tu wababa tuwaachie kubet
Mikeka 22 iko kwenye dustbin
Mikeka 22 iko kwenye dustbin
Mimi nilianza kukufuatilia ila ukanifelisha ile siku nimekuambia utume codes za sportybet ukatuma invalid code
Kwenye nguzo kabsa mzee main switch inawashika22 what.. we ni kama nyota Yako ya betting ilzimwa kwa main switch 😂😂 alafu ulikuwa una stake ngp
Mmmwenyewe code zako sijawah kupataPole, Nimetuma codes mara 3 zote zinafanya vizuri na watu wanafwatilia. Jaribu ku clear cache zako.
Codes zipo 👉 BahatiBillionaire