Sikiliza rafiki, nakubali ni UFALA tena mkubwa sana pia mimi vivyo hivyo ni FALA sana.

Ila naomba unisaidie tu kunionyesha ujanja wako ulipo, ili niwe nalala na mamilioni kila siku kama wewe.

By the way, hii ni dalili ya depression, nervous, illiteracy na destitution. After all, you can't buy my time, I'm a little distant from you in all aspects.

Be met with a psychiatrist for your psychopath and apprehension. Be advised you dumb ass

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
Nimeshangaa sana aisee!
Jamaa anasema ni ufala odds 2 wakati watu huwa wanatafuta mpaka odds 1.50!
Mfano mimi jana nilitafuta odds 1.45 kwa mechi 2 za simba na yanga na nikaweka hela ambayo kwa kipato changu ni ndefuu na ikatoa.
 
Tip 2

Motherwell FC vs
Rangers - away win

Fenerbahce Istanbul vs
Galatasaray Istanbul - ov 1.5

Cape Town City FC vs
Mamelodi Sundowns - away over 0.5

Neftchi Baku PFC vs
FK Kapaz - home win either half

Hapoel Hadera FC vs
Maccabi Haifa FC - away win either half

3.53 Odds

well tukutane mpesa na tukanunue ma wine na ma kuku ya kutosha for tomorrow
 
Mwingine huu nimekuja kuona leo asubuh kuwa umetick....nilikua nishakata tamaa maana hali ilikua mbaya
 

Attachments

  • Screenshot_20231224_094429_SportyBet.jpg
    Screenshot_20231224_094429_SportyBet.jpg
    72 KB · Views: 9
Edited BE82ED2
Uwe unatengeneza code zako mwenyewe na wewe!...

Sio kukimbilia kuedit edit code za wanaume wengine! Mamamayo!!! Situmi code tena kenyooko!

Kila nnapotuma code nikichungulia naona maedit yako sili!...

Siku ya 6 leo sili....! zaidi kuambulia Cashout uchwara za kuendelea kusustain kwenye gemu ...

Code ambazo kiuhalisia ilikuwa Nile!... Ukitia jicho lako tu!.... Mechi ya kwanza inachana!
 
Kuna option ya both teams to score both halves - No/No nimeistudy nimeiona ina lipa zaidi. Twende yao kipindi cha mwisho wa mwaka.
Angalizo - hii option usiende nayo vilabu vya Ujerumani na Uhispania; huko wanafungana sana kijinga.
Nina mkeka unaanza leo wa hii option, odds milioni 1 na laki mbili. Nimetia elfu 25, ni wa mechi 32.
 
Hivi kwa akili ya kawaida unahisi wewe una pesa ya kutapeliwa na mimi serious? Kwa hizo stake zako za 100 na 200?

Sawa tufanye mimi ni wakala wa Kanji then? nani nimewahi muomba pesa humu ajitokeze aweke ushahidi? Huoni kuwa kuna kiasi kikubwa cha ujinga kichwani mwako kiasi cha kujinasibisha na wanawake kwa kutumia DP za kike? unataka kutongozwa?

Unakijua kipato changu kwa siku, week na mwezi? yaani wewe mjinga mmoja uko huko Mbagala Chalambe, hata kuandika tatizo, uje utapeliwe na mimi ninaevuta pumzi moja na kina Bilgate na Elon Musk. Unamaanisha mimi sina hata huruma ya kuwahurumia masikini design yako?

Naomba tuweke hapa ushahidi wa vipato vyetu ili tuone nani ana shida na pesa hadi atapeli. Unadhani na bet kwa njaa? Hiyo laki unaona kubwa?mbona ndio stake zangu na naipata kwa kufanya kazi kwa masaa 2 tu kati ya 10 ninayofanya kwa siku?

Ndio maana JITU BANDIA anawatukana kila siku humu jukwaani kuna wapumbavu wengi mno.

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
Nakubali tajiri
 
Tip 2

Motherwell FC vs
Rangers - away win

Fenerbahce Istanbul vs
Galatasaray Istanbul - ov 1.5

Cape Town City FC vs
Mamelodi Sundowns - away over 0.5

Neftchi Baku PFC vs
FK Kapaz - home win either half

Hapoel Hadera FC vs
Maccabi Haifa FC - away win either half

3.53 Odds

well tukutane mpesa na tukanunue ma wine na ma kuku ya kutosha for tomorrow
wacha namimi niumize kichwa jana nimkufata nikaishia kupigwa za uso
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom