Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

IMG_5352.jpg

IMG_5353.jpg
 
Wakuu hii option Ina Maana Gani?View attachment 2851531
Haina mkangajanyiko, Imenyoka kama ilivyo. Timu moja pekee (utakayochagua) ipate goli kila kipindi. Unachagua NDIYO au HAPANA.
Mfano jana mechi ya KMC v Simba
Only team 1 YES ingekuwa WON maana alipata goli vipindi vyote.
Ila kwa uchaguzi huo huo, simba angepata goli ile 1st Half, mkeka ungekuwa umechanika kwa ajili ya hilo neo ONLY.

Kwenye hizi option za mitego tunakuwa makini sana kuangalia maneno kama
AND na OR
ATLEAST au ONLY
EITHER na NEITHER. Yaani mtu unabeti lakini unahisi kama unarudi darasani kwa mbali.
 
Humu was3nge wengi kweli, code mnazokula hampost humu afu ukila unakuja humu eti booom!! Bumu ya nyoko au umekuwa mwanachuo. Kama hujapost code ukila usipost pia ndio maana watu weusi hatuendelei Kwa ubinafsi
Ukweli 100 %.

Watu wanatamba kweli na wengine Wana akili za zama za giza eti Kuna watu wkiangalia mikeka inachanika.

Niwashukuru wachache humu hasa yule mwana Dada japo anatoa Odds chache zinakuwa na uhakina na huwa analeta mikeka miwili siku ikitiki anakuja na kwenu inakuwa imetiki yaani anayo ituma ndio anayobetia .
Wapo na ndugu Kama wawili jumla 3 pia ,
Ila baada ya hapo aisee ni shida.

Tatizo la Msingi tunatuma mikeka alafu tukiitumia hatupati ,ila mtu yuleyule aliyetuma anatuma mwingine alio kula ukweli kunakuwa na ualakini.
Tuna undugu na kanji sijui?
Mnatuangamiza sisi ili kanji afaidi?

Yote kwa yote tujirekebishe jamani tuungane ,wote tungekuwa ka yule Dada ambaye ni mgeni tungekuwa mbali.

Kwenye Magari Moshi ni kweli kule kwa Moto Lakini Kuna mikeka ukichukua kati ya timu 30 unapata timu 6 au pungufu kweli Kuna siku litafika
Japo mengine yana Matumaini utakosa 2 au tatu Matumaini yapo.
Asanteni ila tuungane tuwe wamoja
 
Back
Top Bottom