Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Tip 2

Motherwell FC vs
Rangers - away win

Fenerbahce Istanbul vs
Galatasaray Istanbul - ov 1.5

Cape Town City FC vs
Mamelodi Sundowns - away over 0.5

Neftchi Baku PFC vs
FK Kapaz - home win either half

Hapoel Hadera FC vs
Maccabi Haifa FC - away win either half

3.53 Odds

well tukutane mpesa na tukanunue ma wine na ma kuku ya kutosha for tomorrow
 
Mwingine huu nimekuja kuona leo asubuh kuwa umetick....nilikua nishakata tamaa maana hali ilikua mbaya
 

Attachments

  • Screenshot_20231224_094429_SportyBet.jpg
    Screenshot_20231224_094429_SportyBet.jpg
    72 KB · Views: 9
Edited BE82ED2
Uwe unatengeneza code zako mwenyewe na wewe!...

Sio kukimbilia kuedit edit code za wanaume wengine! Mamamayo!!! Situmi code tena kenyooko!

Kila nnapotuma code nikichungulia naona maedit yako sili!...

Siku ya 6 leo sili....! zaidi kuambulia Cashout uchwara za kuendelea kusustain kwenye gemu ...

Code ambazo kiuhalisia ilikuwa Nile!... Ukitia jicho lako tu!.... Mechi ya kwanza inachana!
 
Kuna option ya both teams to score both halves - No/No nimeistudy nimeiona ina lipa zaidi. Twende yao kipindi cha mwisho wa mwaka.
Angalizo - hii option usiende nayo vilabu vya Ujerumani na Uhispania; huko wanafungana sana kijinga.
Nina mkeka unaanza leo wa hii option, odds milioni 1 na laki mbili. Nimetia elfu 25, ni wa mechi 32.
 
Hivi kwa akili ya kawaida unahisi wewe una pesa ya kutapeliwa na mimi serious? Kwa hizo stake zako za 100 na 200?

Sawa tufanye mimi ni wakala wa Kanji then? nani nimewahi muomba pesa humu ajitokeze aweke ushahidi? Huoni kuwa kuna kiasi kikubwa cha ujinga kichwani mwako kiasi cha kujinasibisha na wanawake kwa kutumia DP za kike? unataka kutongozwa?

Unakijua kipato changu kwa siku, week na mwezi? yaani wewe mjinga mmoja uko huko Mbagala Chalambe, hata kuandika tatizo, uje utapeliwe na mimi ninaevuta pumzi moja na kina Bilgate na Elon Musk. Unamaanisha mimi sina hata huruma ya kuwahurumia masikini design yako?

Naomba tuweke hapa ushahidi wa vipato vyetu ili tuone nani ana shida na pesa hadi atapeli. Unadhani na bet kwa njaa? Hiyo laki unaona kubwa?mbona ndio stake zangu na naipata kwa kufanya kazi kwa masaa 2 tu kati ya 10 ninayofanya kwa siku?

Ndio maana JITU BANDIA anawatukana kila siku humu jukwaani kuna wapumbavu wengi mno.

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
Nakubali tajiri
 
Tip 2

Motherwell FC vs
Rangers - away win

Fenerbahce Istanbul vs
Galatasaray Istanbul - ov 1.5

Cape Town City FC vs
Mamelodi Sundowns - away over 0.5

Neftchi Baku PFC vs
FK Kapaz - home win either half

Hapoel Hadera FC vs
Maccabi Haifa FC - away win either half

3.53 Odds

well tukutane mpesa na tukanunue ma wine na ma kuku ya kutosha for tomorrow
wacha namimi niumize kichwa jana nimkufata nikaishia kupigwa za uso
 
Humu nyie mnao-stake mia mbili mbili acheni wivu na chuki ukiona mtu kaweka laki au milioni, tafuta mtaji punguzeni mbambamba
Kuna watu wana wivu wa kijinga sana mzee mtu kapost mkeka stake kaweka 100k kala payout ya 204k linakuja jitu linakuambia hiyo ni ndogo ..hivi kweli tutafika? Wakati na stake za jero jero zenye payout za mamilioni hajawahi kula.
 
Uwe unatengeneza code zako mwenyewe na wewe!...

Sio kukimbilia kuedit edit code za wanaume wengine! Mamamayo!!! Situmi code tena kenyooko!

Kila nnapotuma code nikichungulia naona maedit yako sili!...

Siku ya 6 leo sili....! zaidi kuambulia Cashout uchwara za kuendelea kusustain kwenye gemu ...

Code ambazo kiuhalisia ilikuwa Nile!... Ukitia jicho lako tu!.... Mechi ya kwanza inachana!
😂Sasa nikiedit afu nisipotuma ikashinda mtalalamika sikutuma...sio lazma uchukue edit yangu
 
Back
Top Bottom