Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Huyu ananirudisha nilipotoka Mimi sina shida na mtu sikuzote humu na hakuna asiye jua ila huyo kaingia 18 zangu....mwambie nishapigwa life ban 2017 na 2019 nikapigwa tena ban tena kwa sababu za wapumbavu kama Hawa walioingia angle yangu..bila kufikiri kwa kina.

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app

Kwahio kupigwa hio ban ndo unajiona nani mpka sasa
 
Hivi kwa akili ya kawaida unahisi wewe una pesa ya kutapeliwa na mimi serious? Kwa hizo stake zako za 100 na 200?

Sawa tufanye mimi ni wakala wa Kanji then? nani nimewahi muomba pesa humu ajitokeze aweke ushahidi? Huoni kuwa kuna kiasi kikubwa cha ujinga kichwani mwako kiasi cha kujinasibisha na wanawake kwa kutumia DP za kike? unataka kutongozwa?

Unakijua kipato changu kwa siku, week na mwezi? yaani wewe mjinga mmoja uko huko Mbagala Chalambe, hata kuandika tatizo, uje utapeliwe na mimi ninaevuta pumzi moja na kina Bilgate na Elon Musk. Unamaanisha mimi sina hata huruma ya kuwahurumia masikini design yako?

Naomba tuweke hapa ushahidi wa vipato vyetu ili tuone nani ana shida na pesa hadi atapeli. Unadhani na bet kwa njaa? Hiyo laki unaona kubwa?mbona ndio stake zangu na naipata kwa kufanya kazi kwa masaa 2 tu kati ya 10 ninayofanya kwa siku?

Ndio maana JITU BANDIA anawatukana kila siku humu jukwaani kuna wapumbavu wengi mno.

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
Una maneno mengi kama MC wa kitchen party
 
Hujagundua; Katika uandishi mwanzo wa sentence na baada ya kituo kikubwa huwa tunaanza na CAPITAL LETTERS. Huoni kuwa huna akili ikiwa hilo suala dogo tu kabisa linakushinda?

Nimekupa option chagua kitu chochote unachohisi unanizidi mimi, pesa, elimu, mwonekano, kazi, exposure au chochote kile tuweke vielelezo, ukinishinda chochote najiondoa JF mazima.

Wewe si umeniita mimi FALA? tulete uthibitisho ajulikane fala ni nani baina yetu.

Crackbrained and ill-considered keyboard warrior.

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
Ukisikia kuchanganyikiwa ndio huku
 
Which one do you prefer!? 👇👇
Screenshot_20231224-085349.png

Screenshot_20231224-085238.png


Screenshot_20231224-085315.png
 
Sikiliza rafiki, nakubali ni UFALA tena mkubwa sana pia mimi vivyo hivyo ni FALA sana.

Ila naomba unisaidie tu kunionyesha ujanja wako ulipo, ili niwe nalala na mamilioni kila siku kama wewe.

By the way, hii ni dalili ya depression, nervous, illiteracy na destitution. After all, you can't buy my time, I'm a little distant from you in all aspects.

Be met with a psychiatrist for your psychopath and apprehension. Be advised you dumb ass

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
Nimeshangaa sana aisee!
Jamaa anasema ni ufala odds 2 wakati watu huwa wanatafuta mpaka odds 1.50!
Mfano mimi jana nilitafuta odds 1.45 kwa mechi 2 za simba na yanga na nikaweka hela ambayo kwa kipato changu ni ndefuu na ikatoa.
 
Back
Top Bottom