Chance ndoto
JF-Expert Member
- Mar 8, 2017
- 3,168
- 7,652
Boooooooooooooooooom🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Vipi mkuu.....still loading🎰loading
Tuwape draw hawaGame ya Dortmund PSG, over 1.5 ❌ GG ❌, over 2.5❌ away over 0.5❌ lazima ukimbie na pupi kichwani😪
Hiyo imeshacheza Jana nilikuwa namaanisha hizo option zoote watu waliweka hakuna iliyotokea, zaidi ya kutokea 1x, home team over 0.5, labda na masoko mengine huko chini chiniTuwape draw hawa
Mwenye grupu la wasap la kupeana tips za betting naomba link au aniadd. ila hlo grupu liwe la wote kuchati sio Yale ya only admin