Habari Wadau, Naombeni mnisaidie Hivi hii michezo ya madubwi Bora Kubashiri MTANDAONI kwenye simu kupitia makampuni ya Kubashiri kama vile sokabet au Bora Kubashiri kwenye madubwi yenyewe Yale halisia?
 
Leo pako ovyo
Mkuu hii break yetu,tupumzike Ili tuwahi odds za Mechi za kimataifa.

But zimewekwa Mechi kwa ajili ya Mateja au Waraibu wa Betting wasio Na break.Maana kama arostoo ya mla unga.

Huu mchezo usipokuwa Makini nao,unapoteza future na ukiwa unabet Umri unaona unaenda Fastaaa na uzee unakaribia.

But Acha tu Bet responsibly
 
Mkuu hii break yetu,tupumzike Ili tuwahi odds za Mechi za kimataifa.

But zimewekwa Mechi kwa ajili ya Mateja au Waraibu wa Betting wasio Na break.Maana kama arostoo ya mla unga.

Huu mchezo usipokuwa Makini nao,unapoteza future na ukiwa unabet Umri unaona unaenda Fastaaa na uzee unakaribia.

But Acha tu Bet responsibly
Leo watu wana alosto balaaa...!!!
 
Hivi hapa ndio inamaanisha odds ngapi? Maana sielewi
Screenshot_20231113-153137_Chrome.jpg
 
Kuna games zimejirudia kwa machaguo tofauti
Namaanisha hapo nilipoweka duara...je ni ni odds ngapi na kwa hiyo stake sijajua nitashinda jumla kiasi gani nikitoba?
Screenshot_20231113-153137_Chrome.jpg
 

Attachments

  • Screenshot_20231113-153137_Chrome.jpg
    Screenshot_20231113-153137_Chrome.jpg
    44.4 KB · Views: 4
Muhim na Angalizo:-

Tuwahini International Matches
Nimezifuatilia Odds zake Tangu Juzi naona zinabadilika mnoo hasa kushuka.

Nashauri watu tu concentrate hukoo.

Hizi matches nyingine zinazchezwa za Teams unaweza kuona inaongoza league ikana kupigwa na kibonde, but Ujue Teams za Taifa za wakubwa pamoja na
Under 17
Under 21

Wote wapo kwenye Teams za Taifa.Kwahiyo si muda Sahihi kucheza kubet nje ya Mechi za kimataifa.Ni USHAURI tu WADAU.
 
View attachment 2812330
Page hii hapa itafuteni telegram jamaaa nachunguza mikeka yao sijaona sehemu akiliwa sema anaweka mechi moja hela kubwa
huyu anaonekana kaspecialize kwenye prematch. anasaidia kwasababu anadili na alichospecialize.

siyo kama yule Mkenya Antonia Wallahi. Antonio kaspecialize kwenye inplay. alivyokuwa anapost inplay, watu walikuwa wanabutua sana na kumsifia. sijui akaona watu wanafaidi wanavyokopi inplay zake na kuwin?!. akabadilisha akawa anapost prematch. matokeo yake kila siku prematch zake zinachanika.
antonio wallahi.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom