Kichaka12
JF-Expert Member
- Dec 11, 2018
- 297
- 259
Shida ya Hawa watu wanauza code na sio lazima ushinde. Unaliwa twice
View attachment 2812330
Page hii hapa itafuteni telegram jamaaa nachunguza mikeka yao sijaona sehemu akiliwa sema anaweka mechi moja hela kubwa