SQ7K8 basketball
coupon_42808455745_1138262.png

Nitafute ada,elfu 19 ya kuweka kwenye kibubu.ado ado
 
Jana nimembamiza vibaya kanji. Nimekula kama laki 3. Game ya City na Chelsea peke yake imenipa laki 2. Nilianza kuweka 50 itoe over 1.5 half time ikatoa. Nilivyoona Chelsea anaongoza nikatia laki kumpa City double chance ashinde au draw full time ikatoa. ilivyokua 1-1 nikatia tena 50 yapatikane magoli over 3.5. nayo ikatoa. Mipunga 3 ndani ya game 1.
washkuru Chelsea
 
Habari Wadau, Naombeni mnisaidie Hivi hii michezo ya madubwi Bora Kubashiri MTANDAONI kwenye simu kupitia makampuni ya Kubashiri kama vile sokabet au Bora Kubashiri kwenye madubwi yenyewe Yale halisia?
 
Leo pako ovyo
Mkuu hii break yetu,tupumzike Ili tuwahi odds za Mechi za kimataifa.

But zimewekwa Mechi kwa ajili ya Mateja au Waraibu wa Betting wasio Na break.Maana kama arostoo ya mla unga.

Huu mchezo usipokuwa Makini nao,unapoteza future na ukiwa unabet Umri unaona unaenda Fastaaa na uzee unakaribia.

But Acha tu Bet responsibly
 
Mkuu hii break yetu,tupumzike Ili tuwahi odds za Mechi za kimataifa.

But zimewekwa Mechi kwa ajili ya Mateja au Waraibu wa Betting wasio Na break.Maana kama arostoo ya mla unga.

Huu mchezo usipokuwa Makini nao,unapoteza future na ukiwa unabet Umri unaona unaenda Fastaaa na uzee unakaribia.

But Acha tu Bet responsibly
Leo watu wana alosto balaaa...!!!
 
Kuna games zimejirudia kwa machaguo tofauti
Namaanisha hapo nilipoweka duara...je ni ni odds ngapi na kwa hiyo stake sijajua nitashinda jumla kiasi gani nikitoba?
Screenshot_20231113-153137_Chrome.jpg
 

Attachments

  • Screenshot_20231113-153137_Chrome.jpg
    Screenshot_20231113-153137_Chrome.jpg
    44.4 KB · Views: 4
Muhim na Angalizo:-

Tuwahini International Matches
Nimezifuatilia Odds zake Tangu Juzi naona zinabadilika mnoo hasa kushuka.

Nashauri watu tu concentrate hukoo.

Hizi matches nyingine zinazchezwa za Teams unaweza kuona inaongoza league ikana kupigwa na kibonde, but Ujue Teams za Taifa za wakubwa pamoja na
Under 17
Under 21

Wote wapo kwenye Teams za Taifa.Kwahiyo si muda Sahihi kucheza kubet nje ya Mechi za kimataifa.Ni USHAURI tu WADAU.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom