David Harvey
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 2,679
- 5,222
SQ7K8 basketball
Nitafute ada,elfu 19 ya kuweka kwenye kibubu.ado ado
Nitafute ada,elfu 19 ya kuweka kwenye kibubu.ado ado
Nmeipitia kama upepo mzee
washkuru ChelseaJana nimembamiza vibaya kanji. Nimekula kama laki 3. Game ya City na Chelsea peke yake imenipa laki 2. Nilianza kuweka 50 itoe over 1.5 half time ikatoa. Nilivyoona Chelsea anaongoza nikatia laki kumpa City double chance ashinde au draw full time ikatoa. ilivyokua 1-1 nikatia tena 50 yapatikane magoli over 3.5. nayo ikatoa. Mipunga 3 ndani ya game 1.
ujinga hautakuja uishe nchi hiiView attachment 2812330
Page hii hapa itafuteni telegram jamaaa nachunguza mikeka yao sijaona sehemu akiliwa sema anaweka mechi moja hela kubwa
Daah wapuuzi sanaSio kocha watimue hata timu nzima isishiliki Ligue. Mbwa koko wa mbagala hao mavi kabisa wamenikosesha mpunga wangu wa maana mechi 30 anachan yeye tu hata aibu hana
View attachment 2812330
Page hii hapa itafuteni telegram jamaaa nachunguza mikeka yao sijaona sehemu akiliwa sema anaweka mechi moja hela kubwa
sasa leo ndo siku ya kubet maana mechi chacheeLeo pako ovyo
hapa ukiliwaa kilio chake kikubwaa sanaa
Mkuu hii break yetu,tupumzike Ili tuwahi odds za Mechi za kimataifa.Leo pako ovyo
Leo watu wana alosto balaaa...!!!Mkuu hii break yetu,tupumzike Ili tuwahi odds za Mechi za kimataifa.
But zimewekwa Mechi kwa ajili ya Mateja au Waraibu wa Betting wasio Na break.Maana kama arostoo ya mla unga.
Huu mchezo usipokuwa Makini nao,unapoteza future na ukiwa unabet Umri unaona unaenda Fastaaa na uzee unakaribia.
But Acha tu Bet responsibly
Kuna games zimejirudia kwa machaguo tofautiHivi hapa ndio inamaanisha odds ngapi? Maana sielewiView attachment 2812678
Namaanisha hapo nilipoweka duara...je ni ni odds ngapi na kwa hiyo stake sijajua nitashinda jumla kiasi gani nikitoba?Kuna games zimejirudia kwa machaguo tofauti