Wakuu habari za usiku,Nilikuwa na mkeka wa jackpot ya sportpesa zilibaki game mbili za jana na zimeshinda ila mkeka umefutwa katika history yangu,nichukue hatua gani pls,atakayefanikisha atapata mgao maana dau lilikuwa karibu 570m
Umebutua jackpot ya gemu 13?
 
Ndio ila mkeka umetoweka aupo kwenye rekodi yoyote
Ile jackpot ina mil 600 kasoro. Bila shaka utaipata mkuu, hakikisha simu iko full chaji utaitwa ukakabidhiwe, hela kubwa lazima uende palepale, full makamera! tena kama uko mkoani wanakuja kukuchukua na chopa.
Umeuaga umasikini kama ni kweli.
Mtu wa mwisho kubutua ni jamaa wa sumbawanga mil 200.
 
Aggrrrr
Screenshot_20230603_233115_Chrome.jpg
 
Ile jackpot ina mil 600 kasoro. Bila shaka utaipata mkuu, hakikisha simu iko full chaji utaitwa ukakabidhiwe, hela kubwa lazima uende palepale, full makamera! tena kama uko mkoani wanakuja kukuchukua na chopa.
Umeuaga umasikini kama ni kweli.
Mtu wa mwisho kubutua ni jamaa wa sumbawanga mil 200.
Sasa kwann mkeka aupo popote
 
Hivi kwa nn kipindi cha pili huwa na magoli ya kisengesenge kwenye baadhi ya mechi,,,,,
Sa Monaco ndo katufanyaje wazee wa DC
 
Wakuu habari za usiku,Nilikuwa na mkeka wa jackpot ya sportpesa zilibaki game mbili za jana na zimeshinda ila mkeka umefutwa katika history yangu,nichukue hatua gani pls,atakayefanikisha atapata mgao maana dau lilikuwa karibu 570m
Ukibet jackpot wanakutumia mkeka kwenye meseji kwenye simu yako kwani hiyo mikeka uliyobeti haukutumiwa meseji ya mikeka yako??
 
Wakuu habari za usiku,Nilikuwa na mkeka wa jackpot ya sportpesa zilibaki game mbili za jana na zimeshinda ila mkeka umefutwa katika history yangu,nichukue hatua gani pls,atakayefanikisha atapata mgao maana dau lilikuwa karibu 570m
Mm navyojua kama ukitaka kuona mkeka wako unaenda pale kwenye filter halafu unaclear filters ndo inakuja ile jackpot yako. Nimewahi kupata access hiyo baada ya kushinda bonus ya 11/15 .
 
Wakuu habari za usiku,Nilikuwa na mkeka wa jackpot ya sportpesa zilibaki game mbili za jana na zimeshinda ila mkeka umefutwa katika history yangu,nichukue hatua gani pls,atakayefanikisha atapata mgao maana dau lilikuwa karibu 570m
Unaingia kwenye bet history kama kawaida then unagusa kule juu kulia kwenye filter (chujio) then unachagua hapo kwenye pick an option kisha unachagua won. Unamalizia na apply filter. Hapo utauona mkeka View attachment 2645271
Screenshot_20230604-003644_SportPesa.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom